Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 2,026
- 4,450
UNA MATATIZO YA AKILI???Watanzania,
Kuna nguvu kubwa imetumika kuhakikisha Rais Magufuli hatajwi kwenye UJENZI WA ikulu ya CHAMWINO.
Jamaa wameziba kuanzia TBC Hadi kwa muandaaji wa makala yule mama wa BBC. Hivi mnatuonaje wengine, yaliwashinda wengine wote, chuma kikaamua na leo imetimia rasmi,
Jiwe la msingi la UJENZI ameweka Magufuli, kwanini asitajwe?
Ahsante sana🙏UNA MATATIZO YA AKILI???
Kapime, hauko sawa kichwani, Nchi hii Barabara mbovu, pesa zinajengwa DAR, DOM na kanda ya Ziwa tu.Ahsante sana[emoji120]
Nashukuru sana 🙏Kapime, hauko sawa kichwani, Nchi hii Barabara mbovu, pesa zinajengwa DAR, DOM na kanda ya Ziwa tu.
Hii nchi ni kubwa Magufuli alipaswa kujenga nchi kwa usawa.
Mungu ni fundi.
Nani aliyeijenga hii Nchi kwa usawa.Kapime, hauko sawa kichwani, Nchi hii Barabara mbovu, pesa zinajengwa DAR, DOM na kanda ya Ziwa tu.
Hii nchi ni kubwa Magufuli alipaswa kujenga nchi kwa usawa.
Mungu ni fundi.
Pamoja na kutunza utamaduni mila na desturi zetu ila ngoma za kiafrika ni.mbayaaaa
Nyie nao punguzeni kudeka, Kila kitu lazima atajwe? Kwani kipindi JPM anazindua miradi ya Kikwete mfano Kinyerezi 2, Airport Terminal 3, BRT phase 3 n.k alimtaja JK?Hayati Magufuli akiwa katika matembezi ndani ya Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma - mwaka 2020.
Japo kuna watu hawa kumtaja hii leo kwa maslahi binafsi kwa kujizima data kwenye moja na mbili.
Lakini hii ndio maana halisi ya kazi Iendelee..👏
Hongera Sana Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan👏
Mwamba uyo hapooo akibarizi na kudadasi ndani ya Ikulu Chamwino.
View attachment 2629282
We sengey tuKapime, hauko sawa kichwani, Nchi hii Barabara mbovu, pesa zinajengwa DAR, DOM na kanda ya Ziwa tu.
Hii nchi ni kubwa Magufuli alipaswa kujenga nchi kwa usawa.
Mungu ni fundi.
Nyie nao punguzeni kudeka, Kila kitu lazima atajwe? Kwani kipindi JPM anazindua miradi ya Kikwete mfano Kinyerezi 2, Airport Terminal 3, BRT phase 3 n.k alimtaja JK?
Kipindi kile mliona Raha kejeli kutupwa kwa JK ilihali miradi yake aliizindua JPM ila Leo zamu yenu mnalia Lia.
Poleni sana Sukuma gang ila ndio mjifunze what comes around goes around.
Alafu watu wanasahau, Hayati Magufuli alikuwa bingwa wa kupuuza mengine waliyo yafanya watangulizi wake.....hapo sioni ajabu, baada ya Samia watakao fuatia watapuuza aliyo yafanya Samia Vilevile.Nyie nao punguzeni kudeka, Kila kitu lazima atajwe? Kwani kipindi JPM anazindua miradi ya Kikwete mfano Kinyerezi 2, Airport Terminal 3, BRT phase 3 n.k alimtaja JK?
Kipindi kile mliona Raha kejeli kutupwa kwa JK ilihali miradi yake aliizindua JPM ila Leo zamu yenu mnalia Lia.
Poleni sana Sukuma gang ila ndio mjifunze what comes around goes around.
Huoni ajabu wakati msingi kauweka jiwe.Alafu watu wanasahau, Hayati Magufuli alikuwa bingwa wa kupuuza mengine waliyo yafanya watangulizi wake.....hapo sioni ajabu, baada ya Samia watakao fuatia watapuuza aliyo yafanya Samia Vilevile.
Umeeleweka Sir'Nyie nao punguzeni kudeka, Kila kitu lazima atajwe? Kwani kipindi JPM anazindua miradi ya Kikwete mfano Kinyerezi 2, Airport Terminal 3, BRT phase 3 n.k alimtaja JK?
Kipindi kile mliona Raha kejeli kutupwa kwa JK ilihali miradi yake aliizindua JPM ila Leo zamu yenu mnalia Lia.
Poleni sana Sukuma gang ila ndio mjifunze what comes around goes around.
KIKWETE, ameunganisha hii nchi kwa barabara, wakati ule tulikuwa tunalazimika kupitia KENYA kwenda mikoa ya kanda ya Ziwa.Nani aliyeijenga hii Nchi kwa usawa.
Kama una cha kuongea ni bora ukafunga hilo domo lako. Sio unaropoka ropoka humu sio jalalani.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Povuuuu. Mi naongea Ukweli, nampenda sana Magufuli lkn hii haifanyi eti nimuone KIKWETE kuwa hakufanya kitu.We sengey tu