johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hao ni ndugu zetu wa kweli kuliko wanafiki mabeberu!Rais Magufuli ambaye pia ni mwenyekiti wa chama tawala CCM amekutana na viongozi wa chama tawala cha kikomunisti cha China.
Viongozi hao kutoka China wamempongeza Rais Magufuli kwa namna CCM inavyoongoza kwa ufasaha serikali zake mbili ya Muungano na ya Zanzibar.
Source Eatv habari!
Natumaini unakielewa unachokizungumzia hapa, na unaweza kukieleza kwaufasaha na sio bla bla tu za kujisikia mwenyewe.Hawa hawana maana chini ya XI. Utawala wote wa CHINA uko chini ya STATE sio PARTY tena. wamekuja kula bata tu.
Watanzania ni wapumbavu sijawahi kuona ndugu Yangu ,jiwe limeanguka na kupasuka kabisa, wanajiuliza waanzaje kuwaambia wananchi, movie inachezwa na LukuviHakuna kitu hicho. Jiwe anaumwa, anaumwa kweli kweli.
Labda nimalizie kwa sema kwamba nafasi ya CPC chini ya President Xi katika utawala wa CHINA na nafasi ya CCM chini ya Magufuri katika utawala wa Tanzania zimekuwa displaced. STATE ndio zinashika hatamu katika mataifa yote hayo mawili.Natumaini unakielewa unachokizungumzia hapa, na unaweza kukieleza kwaufasaha na sio bla bla tu za kujisikia mwenyewe.
Hapa unaizungumzia CCM, na sio 'The Communist Party of China.'
Wale ni marafiki wa rasilimali zetu undugu wa kuliwaHao ni ndugu zetu wa kweli kuliko wanafiki mabeberu!
Watakuwa wameenda kuomba msaada wa silaha.Urusi hana pesa za kuipa Africa zaidi ya silaha tumalizane kwa ujinga wetu kwa manufaa ya viwanda vyao vya silahaNimemuona Buhari na Kagame wako Urusi
Makinikeni sana.... Hizi post zina nia moja tuu... Kutaka kufahamu jamii inafahamu nini kwenye nini.....Eka picha tuone kama ni kweli
Hawa hawana maana chini ya XI. Utawala wote wa CHINA uko chini ya STATE sio PARTY tena. wamekuja kula bata tu.
Ikulu ipi ya chamwino au Lumumba?! Au ndani ya dreamliner?!
Tufahamishe, vipi kimenuka tena?!Makinikeni sana.... Hizi post zina nia moja tuu... Kutaka kufahamu jamii inafahamu nini kwenye nini.....