Acha unafiki, mara wapinzani hatuwataki mara wanajua siasa. Hayo anayofanya zito ndio yanayopelekea watu wakapata akili ya kukaa na wapinzani wakazungumza. Hakuna maridhiano bila ncha ya upanga.Zitto karibu huku ushuhudie wanasiasa nguli wanaojua siasa. Wenzako matatizo ya nchi wanakaa chini na kuzungumza, wewe unaenda ugenini kuzungumza halafu unajiona mwamba wa siasa. Rudi darasani ukajifunze uzalendo.
Mpuuzi wewe huna akili. Kila kitu unatafsiri kama wanyama wenzako wasiojulikana.Si uingie msituni kama una jeuri, umejificha tu nyuma ya keyboard, bora hata wenzako wameongea uso kwa uso.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpuuzi wewe huna akili. Kila kitu unatafsiri kama wanyama wenzako wasiojulikana.
As usual. Sisi kawaida yetu ni kusubiri janga lije then ndo tuanzishe "task forces" za kukusanya michango kutoka kwa watu wema wenye mapenzi mema na sisi. Maandalizi pekee tuliyonayo ni kufanya maombi na kuwasihi raia wasisalimiane kwa kupeana mikono..wanasalimiana kwa miguu lakini MAANDALIZI ya kukabiliana na coronaviris ni SIFURI.
Misingi ipi ya katiba imevurugwa wewe?na usikute hata maana ya katiba hujui,ila kwa kuwa ukakalilishwa na mwenyekiti wako basi ndo ishakuwa nongwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kutoelewa hivyo hivyo,hivi ukiaga huko kwenu ina maana hurudi tenaHv huyu bwana mkubwa alitangaza KUHAMIA ikulu ya Dodoma kutoka Dar es salaam AU ikulu ya Dar es salaam kutoka Dodoma..?
Maana me sielewielewi guys.
Wasiojulikana mmeshajulikana siku za kuminywa makende zimekaribia.Wewe ndo mpuuzi,ambaye hutaki kuelewa maana mmezoea siasa za vurugu ndo maana umeambiwa kama huridhiki nenda msituni ,uone nini kitakukuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa usirukieruokie kila mtu usidhani watoto, tujadili kwa mantiki na weledi
1. Budget ya manunuzi ya ndege ilipangwa na nani? Kwanini
2. Budget ya uwanja wa ndege chato ilipangwa na nani kwanini
3. Nani alipiga marufuku kwa vyama vya siasa kufanya siasa ili
Kupata wanachama
Kinadi sera
Kufanya ukosowaji
4. Nini kimelikuta bunge la awamu ya tano kusitisha bunge live ili
A. Wananchi waone nakusikia uwakilishi wa wabunge wao
B. Waone nakusikia utekelezaji wa miradi iliona ubora wa serikali yao
C. Kutafakati ubora wa Mbunge mmoja mmoja ili uchaguzi unafuata wafanye maamuzi sahihi
Naomba majibu sahihi .....tukimaliza haya ninayo mengine.
Mkuu 'Freddie Matuja', wewe kama "Mkristo" sikutegemea uwe "MWONGO"!Mimi ni Mkristo. Nawapenda majirani zangu JPM na Maalim Seif kama nafsi yangu.
Anza kujifunza siasahiviii.. huyu MEKO si ndie alimsema SHEN kwa kitendo cha MAALIM kutompa mkono wa SALAM akasema angekuwa yeye angefuta huduma zote kwa MAALIM!
leo sasa badala ya kuacha kutoa mkono MAALIM kaamua kutoa MGUU kama salam na MEKO bila hiyana kapokea π€£ βπππ
You said it like it is, madam Rebeca83! Isipokuwa tu hapo kwa "KUZIRA".VIONGOZI WA UPINZANI MNGEZIRA NA HII MIKUTANO NA MAGUFULI,HAIWEZEKANI AWE ANAWACHEKEA NA KUWANYANYASA WAPINZANI WENZENU AT THE SAME TIME!!...INABIDI MUWE CONSISTENT NA MUMUONYESHE NO..HE CAN NOT PLAY YOU LIKE FOOLS!!!
Mkuu Mimi sirukii rukii kila mtu,ndo maana nilikuambia kuwa wewe huijui katiba yetu na hujui maana ya katiba,nyie wafuasi wa chadema rudini darasani mkasome somo la uraia upya ndo mje hapa jukwaani maana wakati mwingine hoja zenu ni zakitoto sana,hoja yako juu ya ununuzi wa ndege za shirika la ndege Tanzania pesa yake ilijadiliwa wapi au binge lipi lilipitisha bajeti hiyo inajibiwa na kahoja kadogo sana kuwa katiba inampa mamlaka rais ya kufanya chochote huu ya pesa za serikali na maana katiba inamtambua rais kama CHIEF AUDITOR Wa pesa za serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app