Rais Magufuli akutana na Viongozi wa vyama vya Siasa nchini, Maalim Seif(ACT-Wazalendo), Prof. Lipumba (CUF) na James Mbatia (NCCR-Mageuzi)

Rais Magufuli akutana na Viongozi wa vyama vya Siasa nchini, Maalim Seif(ACT-Wazalendo), Prof. Lipumba (CUF) na James Mbatia (NCCR-Mageuzi)

Huyu hawezi kuwa mkweli, mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo.

..Jaji mkuu yeye

..Mwanasheria mkuu yeye

..Spika wa bunge yeye

Hawezi kujifanyia usuruhishi mwenyewe na akifaham 100% amevuruga misingi ya katiba

Siasa kazuwia
Bunge laivu kazuwia
Badgeti anapanga yeye
Viongozi wa upinzani kesi kibao za kutengeneza

Huyu hawezi kuwa mkweli, mbwa mwitu ndani ya ngozi ya kondoo.
 
Kweli nimeamini kuwa; Tunaenda ki strategic zaidi. Yakhee, hakuna hata juisi hapo kwa kumuogopa huyo korona au ndo kutokuwa intateini wengine?? Nahisi kaubaguzi flan hivi. Ni mawazo yangu tu lakini
 
Zitto karibu huku ushuhudie wanasiasa nguli wanaojua siasa. Wenzako matatizo ya nchi wanakaa chini na kuzungumza, wewe unaenda ugenini kuzungumza halafu unajiona mwamba wa siasa. Rudi darasani ukajifunze uzalendo.
Acha unafiki, mara wapinzani hatuwataki mara wanajua siasa. Hayo anayofanya zito ndio yanayopelekea watu wakapata akili ya kukaa na wapinzani wakazungumza. Hakuna maridhiano bila ncha ya upanga.
 
macho_mdiliko,
Hilo changa la macho halafu mnasema mnaibiwa kura wakati mnapewa bia moja tu mnajiponza mnajipeleka wenyewe bila kubakwa
 
Attachments

  • VID-20200208-WA0000.mp4
    1.3 MB
Misingi ipi ya katiba imevurugwa wewe? na usikute hata maana ya katiba hujui, ila kwa kuwa ukakalilishwa na mwenyekiti wako basi ndo ishakuwa nongwa. adolay,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..wanasalimiana kwa miguu lakini MAANDALIZI ya kukabiliana na coronaviris ni SIFURI.
As usual. Sisi kawaida yetu ni kusubiri janga lije then ndo tuanzishe "task forces" za kukusanya michango kutoka kwa watu wema wenye mapenzi mema na sisi. Maandalizi pekee tuliyonayo ni kufanya maombi na kuwasihi raia wasisalimiane kwa kupeana mikono
 
Hawa watu hovyo kabisa. , Mbatia na Malim! of course Lipumba ni wasted /spent force. Historia ni mwalimu mzuri, Abdu Jumbe alimwambia Nyerere kuwa anaomba aende Uganda aongee na Idd Amin kuhusu ujirani mwema. Nyerere akamwambia usipoteze muda wako maana Idd Amin ni kigheukgeu.

Basi akaenda kwa Idd Amin, akarudi na kuleta mrejesho " Nimeongea Idd Amin ameahidi kubadirika na mazungumzo yetu yalikuwa yenye Baraka kubwa za Mungu! Ameahidi ataacha chokochoko dhidi ya Tanzania an atakuwa JIRANI mwema.

Nyerere akamwambia kuwa sina comment maana Idd amin haaminiki.Within a few days akavamia kagera. Nyerere akamwita Abdu Jumbe akasema Can you make any comment ? Nasikia Jumbe alipangusa machozi!
 
Mkuu kwa maana hiyo wewe Na ushujaa wako nyuma ya smartphone ya tecno unamaarifa zaidi kuliko hapo ma PhD holders na maprofesa walioona ni vyema kwenda kufanya mazungumzo na mh rais? Je wewe ulitaka nini kifanyike? sacred wall,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Misingi ipi ya katiba imevurugwa wewe?na usikute hata maana ya katiba hujui,ila kwa kuwa ukakalilishwa na mwenyekiti wako basi ndo ishakuwa nongwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe jamaa usirukieruokie kila mtu usidhani watoto, tujadili kwa mantiki na weledi

1. Budget ya manunuzi ya ndege ilipangwa na nani? Kwanini

2. Budget ya uwanja wa ndege chato ilipangwa na nani kwanini

3. Nani alipiga marufuku kwa vyama vya siasa kufanya siasa ili
Kupata wanachama
Kinadi sera
Kufanya ukosowaji

4. Nini kimelikuta bunge la awamu ya tano kusitisha bunge live ili
A. Wananchi waone nakusikia uwakilishi wa wabunge wao

B. Waone nakusikia utekelezaji wa miradi iliona ubora wa serikali yao

C. Kutafakati ubora wa Mbunge mmoja mmoja ili uchaguzi unafuata wafanye maamuzi sahihi

Naomba majibu sahihi .....tukimaliza haya ninayo mengine.
 
Hv huyu bwana mkubwa alitangaza KUHAMIA ikulu ya Dodoma kutoka Dar es salaam AU ikulu ya Dar es salaam kutoka Dodoma..?
Maana me sielewielewi guys.
Endelea kutoelewa hivyo hivyo,hivi ukiaga huko kwenu ina maana hurudi tena
 
VIONGOZI WA UPINZANI MNGEZIRA NA HII MIKUTANO NA MAGUFULI,HAIWEZEKANI AWE ANAWACHEKEA NA KUWANYANYASA WAPINZANI WENZENU AT THE SAME TIME!!...INABIDI MUWE CONSISTENT NA MUMUONYESHE NO..HE CAN NOT PLAY YOU LIKE FOOLS!!!
 
Mkuu Mimi sirukii rukii kila mtu,ndo maana nilikuambia kuwa wewe huijui katiba yetu na hujui maana ya katiba,nyie wafuasi wa chadema rudini darasani mkasome somo la uraia upya ndo mje hapa jukwaani maana wakati mwingine hoja zenu ni zakitoto sana,hoja yako juu ya ununuzi wa ndege za shirika la ndege Tanzania pesa yake ilijadiliwa wapi au binge lipi lilipitisha bajeti hiyo inajibiwa na kahoja kadogo sana kuwa katiba inampa mamlaka rais ya kufanya chochote huu ya pesa za serikali na maana katiba inamtambua rais kama CHIEF AUDITOR Wa pesa za serikali.
Wewe jamaa usirukieruokie kila mtu usidhani watoto, tujadili kwa mantiki na weledi

1. Budget ya manunuzi ya ndege ilipangwa na nani? Kwanini

2. Budget ya uwanja wa ndege chato ilipangwa na nani kwanini

3. Nani alipiga marufuku kwa vyama vya siasa kufanya siasa ili
Kupata wanachama
Kinadi sera
Kufanya ukosowaji

4. Nini kimelikuta bunge la awamu ya tano kusitisha bunge live ili
A. Wananchi waone nakusikia uwakilishi wa wabunge wao

B. Waone nakusikia utekelezaji wa miradi iliona ubora wa serikali yao

C. Kutafakati ubora wa Mbunge mmoja mmoja ili uchaguzi unafuata wafanye maamuzi sahihi

Naomba majibu sahihi .....tukimaliza haya ninayo mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni Mkristo. Nawapenda majirani zangu JPM na Maalim Seif kama nafsi yangu.
Mkuu 'Freddie Matuja', wewe kama "Mkristo" sikutegemea uwe "MWONGO"!

Utanisamehe kwa maandishi yangu haya yasiyopendeza.

Ni hilo tu mkuu wangu kwa sasa!
 
hiviii.. huyu MEKO si ndie alimsema SHEN kwa kitendo cha MAALIM kutompa mkono wa SALAM akasema angekuwa yeye angefuta huduma zote kwa MAALIM!

leo sasa badala ya kuacha kutoa mkono MAALIM kaamua kutoa MGUU kama salam na MEKO bila hiyana kapokea 🤣 ✌😂😂🙄
Anza kujifunza siasa
 
VIONGOZI WA UPINZANI MNGEZIRA NA HII MIKUTANO NA MAGUFULI,HAIWEZEKANI AWE ANAWACHEKEA NA KUWANYANYASA WAPINZANI WENZENU AT THE SAME TIME!!...INABIDI MUWE CONSISTENT NA MUMUONYESHE NO..HE CAN NOT PLAY YOU LIKE FOOLS!!!
You said it like it is, madam Rebeca83! Isipokuwa tu hapo kwa "KUZIRA".
 
Mkuu Mimi sirukii rukii kila mtu,ndo maana nilikuambia kuwa wewe huijui katiba yetu na hujui maana ya katiba,nyie wafuasi wa chadema rudini darasani mkasome somo la uraia upya ndo mje hapa jukwaani maana wakati mwingine hoja zenu ni zakitoto sana,hoja yako juu ya ununuzi wa ndege za shirika la ndege Tanzania pesa yake ilijadiliwa wapi au binge lipi lilipitisha bajeti hiyo inajibiwa na kahoja kadogo sana kuwa katiba inampa mamlaka rais ya kufanya chochote huu ya pesa za serikali na maana katiba inamtambua rais kama CHIEF AUDITOR Wa pesa za serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app

Umeelewa ulichoulizwa? Jibu kama mwenye Akili timamu

Back
Top Bottom