Rais Magufuli akutana na Viongozi wa vyama vya Siasa nchini, Maalim Seif(ACT-Wazalendo), Prof. Lipumba (CUF) na James Mbatia (NCCR-Mageuzi)

Tundu Lissu yupo CHADEMA, katwangwa risasi zaidi ya 16 mwilini, hapa unasema kakaa kisharishari.

Mbowe na wenzake, wapo CHADEMA, jela na mahakama imekuwa kama ndio nyumbani kwao, wewe unaona wamekaa kisharishari

Mwishowe tutasema mkuu 'digba' ndie "sharishari" mwenyewe huyo! Maana hajui maana ya hilo neno.
 
Endelea kutoelewa hivyo hivyo,hivi ukiaga huko kwenu ina maana hurudi tena
Unajua tofauti/maana ya KUAGA na KUHAMA..?
Sasa we jitoe ufahamu tu kama mtu aliyeponea chupuchupu kufa na CORONA
 
Wanapoteza muda tu. Huyo haamini katika siasa za upinzani.
Huo mchezo wake wa kijinga awafanyie Profedha Lipumba na Kiazi Mbatatita

Ila kwa Maalim Seif anamchekea huku akijiandaa kupiga ngumi nzito ya chembe ya Moyo mara Mzinza chalii teh tehee
 
The party owner aka zero brain hana jipya,kwanza hata elimu yako haijulikanani ni kiwango gani,the president jpm hana muda wa kuongeza na zero Brain
Wanamuogopa Mbowe kuliko Corona,Corona wanasalimiana kwa miguu lakini Mbowe wanaogopa hata akaribie kudaadeki Mbowe shujaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Time huru ipi wakati tuna yo kwa mujibu wa katiba ya.nchi yetu?,au tume ya mabeberu?,

Hiyo katiba ya nchi yetu imepitwa na wakati na tayari maoni yetu wananchi tulishayatoa kwenye rasimu ya Warioba, japo ccm walichakachua. Hivyo kuna katiba ya kupigia kura ambayo rais aliyepo madarakani haitaki kwa maslahi yake binafsi na chama chake.
 
Tume huru ya nini wakati tuko huru, leo wenyeviti wa vyama makini wamekutana ikulu kupanga mikakati ya uchaguzi huru na wa haki tayari wameelewana wewe subiri mrejesho kutoka kwa mwenyekiti wako

Uzuri sasa hivi hata wanachosema viongozi wa vyama tunapima, ndio maana unaona wananchi wengi hatujitokezi kupiga kura japo hao viongozi wanatushawishi tujiandikishe kupiga kura. Kwa maneno marahisi hao viongozi hawana ubavu wa kutulazimisha tufuate utashi na maslahi yao binafsi.
 
IDEGENDA,
Kwanza mimi sio mwanachama wa cdm bali shabiki wa kutupwa wa cdm. Sina popote ninapounga mkono Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti lakini naheshimu maamuzi ya waliomchagua kwa shingo upande. Kumbuka sisi wananchi tunaojitambua sio mali ya viongozi wa vyama vya siasa, japo vyama vya siasa ndio platform pekee ya kufanyia siasa hapa nchini.

Na ukitaka kuamini kuwa sisi wananchi tunaojitambua ni zaidi ya vyama vya siasa, ngoja kusiwe na tume huru ya uchaguzi kisha hivyo vyama vilazimishe kushiriki kama wataona idadi ya ukweli ya wapiga Kura. Halafu uone kama Mbowe, Maalim Seif, Mbatia nk iwapo wataweza kutushawishi kushiriki huo uhuni.
 
Wadau, leo Rais wa JMT, John Pombe Magufuli alikutana na wanasiasa kutoka vyama vya upinzani. Miongoni mwao ni Maalim Seif Sharif Hamad. Wakati wa kuagana, wawili hao waligongesheana miguu badala ya kushukana mikono.

Habari zinasema sababu ni kutii agizo la Wizara ya Afya, kwamba ili kuepusha maambukizi ya Virusi vya Corona, watu waache salamu kwa kushikana mikono na kukumbatiana. Sasa nikiwa Mnazi Mmoja, niwaona jamaa wawili nao wakigongesheana miguu. Nilipofika Tabata Segerea, nikawaona vijana wawili wanaosajili laini za simu kwa alama ya vidole, nao wakagongeana miguu.

Kama.haitoshi, kuna makonda wa daladala za Mbezi kupitia Kinyerezi, nao wakigonga miguu. Ndani ya daladala moja, abiria (siyo wote) nao walizungumzia kuhusu staili ya kuagana ya JPM na Maalim.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Derogatory language huwa sizitaki, mambo ya tecno yanatoka wapi. Basi my tecno is a gift from your mother
 
Kwenye kupumua(hewa) inakuaje au ndo huyu mama aliagizwa na makonda aseme alichokua anamwambia waziri mkuu kuhusu virus siku yakongamano lamadini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…