imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Wanamuogopa Mbowe kuliko Corona,Corona wanasalimiana kwa miguu lakini Mbowe wanaogopa hata akaribie kudaadeki Mbowe shujaa!!Mbona hakumuita Mbowe...!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamuogopa Mbowe kuliko Corona,Corona wanasalimiana kwa miguu lakini Mbowe wanaogopa hata akaribie kudaadeki Mbowe shujaa!!Mbona hakumuita Mbowe...!?
Tundu Lissu yupo CHADEMA, katwangwa risasi zaidi ya 16 mwilini, hapa unasema kakaa kisharishari.Mkuu wewe ulitaka nini kisikike masikioni mwako ndo ujue sio wanasiasa? Au ulitaka usikie Magufuli amtwanga Ngumi ya pua maalim seif ndo ufurahi,behave basi,siasa na mchezo ambao hautaki hasira maana siasa sio shuki kama walivyo kalilishwa wafuasi wa chadema,ndo maana wako kishari Shari tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua tofauti/maana ya KUAGA na KUHAMA..?Endelea kutoelewa hivyo hivyo,hivi ukiaga huko kwenu ina maana hurudi tena
Huo mchezo wake wa kijinga awafanyie Profedha Lipumba na Kiazi MbatatitaWanapoteza muda tu. Huyo haamini katika siasa za upinzani.
Wanamuogopa Mbowe kuliko Corona,Corona wanasalimiana kwa miguu lakini Mbowe wanaogopa hata akaribie kudaadeki Mbowe shujaa!!
Time huru ipi wakati tuna yo kwa mujibu wa katiba ya.nchi yetu?,au tume ya mabeberu?,
Tume huru ya nini wakati tuko huru, leo wenyeviti wa vyama makini wamekutana ikulu kupanga mikakati ya uchaguzi huru na wa haki tayari wameelewana wewe subiri mrejesho kutoka kwa mwenyekiti wako
Huu uzalendo umejifunzia wapi mkuuZitto karibu huku ushuhudie wanasiasa nguli wanaojua siasa. Wenzako matatizo ya nchi wanakaa chini na kuzungumza, wewe unaenda ugenini kuzungumza halafu unajiona mwamba wa siasa. Rudi darasani ukajifunze uzalendo.
Derogatory language huwa sizitaki, mambo ya tecno yanatoka wapi. Basi my tecno is a gift from your motherMkuu kwa maana hiyo wewe Na ushujaa wako nyuma ya smartphone ya tecno unamaarifa zaidi kuliko hapo ma PhD holders na maprofesa walioona ni vyema kwenda kufanya mazungumzo na mh rais? Je wewe ulitaka nini kifanyike? sacred wall,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo picha ikumbukeni.... Inaweza kuwa ni marais wawili wa baadae kwenye taifa letu.... Ikumbukeni sana hiyo picha
Ficha ujinga wako wewee..