harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,907
Tatizo unafikiri siasa ni vita vya mapanga na mikuki!Afu maalimu alikua anapepesuka walipokua wanagongesha miguu sijui ndo afya gogoro.
Kilichonishangaza walimponda sana JPM leo yupo ikulu anasifia shwain.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu, huo ndio upendo ambao Mungu alituagiza tupendaneKwan wametenda kosa kufanya hivyo?
Derogatory language huwa sizitaki, mambo ya tecno yanatoka wapi. Basi my tecno is a gift from your mother
Sasa hiyo phd ya uongo ambayo hata lugha aliyofundishiwa huyo dictator uchwaraThe party owner aka zero brain hana jipya,kwanza hata elimu yako haijulikanani ni kiwango gani,the president jpm hana muda wa kuongeza na zero Brain
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo tayari huu ugonjwa upo apa nchini?
Hata alipoulizwa na waandishi wa habari nini kaongea na JPM, kamalizikia kumsifu JPM tu... Maalim nafikiri ni CCMAfu maalimu alikua anapepesuka walipokua wanagongesha miguu sijui ndo afya gogoro.
Kilichonishangaza walimponda sana JPM leo yupo ikulu anasifia shwain.
Sent using Jamii Forums mobile app
Budget kupitishwa ndio HELA ?Hivi unafikiri wasipotoa senti.zao uchaguzi haufanyiki?,unajidanganya ,serikali na bunge lijalo la bajeti hupanga na kupitisha bajeti ya uchaguzi mkuu,ni takwa la kikatiba,kalagha bhaho!
ni mwendo wa kuamisha magoli tu!!!
CHADEMA tenaSi alisema ataenda kushitaki ICC kwamba uchaguzi wa Zanzibar umevurugwa?
Leo tena anasalimiana na rais kwa mbwembwe za miguu?
Tuamini lipi sasa sisi wana mabadiliko?
Kweli chadema majanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Malidhiano!Hata alipoulizwa na waandishi wa habari nini kaongea na JPM, kamalizikia kumsifu JPM tu... Maalim nafikiri ni CCM
atakayeendelea kushabikia wanasiasa wa upinzani bongo itakuwa hamnazo kabisaaaa!!Hata alipoulizwa na waandishi wa habari nini kaongea na JPM, kamalizikia kumsifu JPM tu... Maalim nafikiri ni CCM