Rais Magufuli akutana na Viongozi wa vyama vya Siasa nchini, Maalim Seif(ACT-Wazalendo), Prof. Lipumba (CUF) na James Mbatia (NCCR-Mageuzi)

Rais Magufuli akutana na Viongozi wa vyama vya Siasa nchini, Maalim Seif(ACT-Wazalendo), Prof. Lipumba (CUF) na James Mbatia (NCCR-Mageuzi)

Anabembeleza Urais baada ya kuupigania tulisema apa zitto kamuingiza mjini ila mkatutukana ndio mtajua.
 
Hakuna cha kuhamia Dodoma. Kawapiga wenzake chenga ya mwili. Dar kutamu eti!
 
The party owner aka zero brain hana jipya,kwanza hata elimu yako haijulikanani ni kiwango gani,the president jpm hana muda wa kuongeza na zero Brain

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hiyo phd ya uongo ambayo hata lugha aliyofundishiwa huyo dictator uchwara

Mbowe anaweza kuurudisha uchumi katika msitari ukiwaangalia hawa watu wawili Mbowe pamoja na elimu yake anaweza kupambana kimaisha kuliko Magufuli na Phd feki yake

Hiyo inakuonyesha kuwa Magufuli bila siasa angekuwa amechoka mbaya

Mbowe anavitega uchumi hadi Dubai na anaongea Kiingereza kwa ufasaha kabisa

Phd za kuandikiwa ndio zinamuumbua jiwe hadi kushindwa kwenda kwenye vikao vya Umoja wa mataifa kwa visingizio lukuki
 
Afu maalimu alikua anapepesuka walipokua wanagongesha miguu sijui ndo afya gogoro.

Kilichonishangaza walimponda sana JPM leo yupo ikulu anasifia shwain.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata alipoulizwa na waandishi wa habari nini kaongea na JPM, kamalizikia kumsifu JPM tu... Maalim nafikiri ni CCM
 
Hivi unafikiri wasipotoa senti.zao uchaguzi haufanyiki?,unajidanganya ,serikali na bunge lijalo la bajeti hupanga na kupitisha bajeti ya uchaguzi mkuu,ni takwa la kikatiba,kalagha bhaho!
Budget kupitishwa ndio HELA ?
 
Tehe, eti dictator uchwara,vipi alipokuwa analilia kwenda kuonana na rAis, hamkujua kuwa anaendaKuongea na diktator? Kiufupi CDM Hanna Sera,na serikali ya ccm imewashika pabaya,I tell you hamtapata hata mbuge mmoja next genera election.@imhotep,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndo aina ya siasa inayotakiwa kufanywa na viongozi wetu wa kisiasa na kiserikali kuliko kila upande kuwa wababe kwa upande mwingine.

Haya ni maandalizi mazuri ya uchaguzi mkuu
 
Hata alipoulizwa na waandishi wa habari nini kaongea na JPM, kamalizikia kumsifu JPM tu... Maalim nafikiri ni CCM
atakayeendelea kushabikia wanasiasa wa upinzani bongo itakuwa hamnazo kabisaaaa!!
 
Back
Top Bottom