Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,375
- 6,958
Viongozi wa upinzani kuweni makini Kuna mtu anawatumia kujisafisha ,use common sense to understand.
Mimi ni Mkristo. Nawapenda majirani zangu JPM na Maalim Seif kama nafsi yangu.Kati ya hao wawili, "Tanzania" unayempenda kwa moyo wote ni yupi? Au wote wawili ndio Tanzania?
Which opposition? still, seeing any opposition over the horizon?Opposition leader's should be very careful with the Satan now days , blood suckers never changes.
ccm ndiyo kikwazo kwa yote hayo!!!Hongera sana Kwa Rais wetu mpendwa JPM Kwa kuonyesha Upendo Na umoja Kwa viongozi wa vyama vingine, hiyo ndio siasa safi tunayo itaka siasa sio uadui, sisi wananchi tunahitaji kuona siasa ya maendeleo sio matusi au ugonvi.
Viongozi wengine wa kisiasa waige mfano huu wa Maalim Seifu na hata Mbatia. Tanzania ni nchi yetu sote tuijenge Kwa pamoja bila kubomoa.
Mungu Ibariki Nchi yetu Tanzania
Hahahaaa, nasikia kakimbia kiu Kule hakuna majiMkuu Shombe Bwana mkubwa alihamia mwaka jana oktoba au novemba. Hapo alikaa wiki moja tu.
Baada ya hapo akaenda zake Chato (kwa mapumziko???) Na desemba alikuwa kwenye sherehe za uhuru zilizofanyika mwanza (kwa mara ya kwanza!!!). Akaja dsm. Sidhani kama ataenda tena dom!!!
KUB ndiye kiongozi mkuu wa upinzani anayetambulika kisheria....huyo anatakiwa awe wa kwanza wakati wa kusaka maridhiano.
Cha kwanza ni kufuta ma-kesi yote ya kibambikiziana ya kisiasa yale ya uchochezi then tukae meza moja myajenge!!
BtN : Tume huru haikwepeki.
Kuuliza si ujinga. Hivi serikali pamoja na mkuu wa nchi wapo Dodoma au Dar es Salaam? Mbona kama shughuli zote za ofisi ya rais huratibiwa Dar es Salaam?
Hapo kila mmoja kaambiwa lake, angekutana nao kwa pamoja tungeamini ana nia njema.
Kuuliza si ujinga. Hivi serikali pamoja na mkuu wa nchi wapo Dodoma au Dar es Salaam? Mbona kama shughuli zote za ofisi ya rais huratibiwa Dar es Salaam?