Rais Magufuli akutana na Viongozi wa vyama vya Siasa nchini, Maalim Seif(ACT-Wazalendo), Prof. Lipumba (CUF) na James Mbatia (NCCR-Mageuzi)

Rais Magufuli akutana na Viongozi wa vyama vya Siasa nchini, Maalim Seif(ACT-Wazalendo), Prof. Lipumba (CUF) na James Mbatia (NCCR-Mageuzi)

Opposition leader's should be very careful with the Satan now days , blood suckers never changes.
 
Kazi ya Mabeberu inaanza kuonekana. Ndio maana walikuwa hawana namna lazima wamfukuze Membe maana wanaona kabisa jicho la mabeberu lipo wazi muda wote.
 
AISEE MAGUFURI NI MSHAMBA MNO, HIYO PICHA NA MAALIM SEIF SHERIF ALIKUWA ANAJARIBU KUFANYA HI 5 AKAJIPATA AME NYOISHA MIKONO YOTE MIWILI TEH TEH TEH USHAMBA NI SHIDA
 
Kati ya hao wawili, "Tanzania" unayempenda kwa moyo wote ni yupi? Au wote wawili ndio Tanzania?
Mimi ni Mkristo. Nawapenda majirani zangu JPM na Maalim Seif kama nafsi yangu.

Ila Tanzania ni nchi imekuwepo kabla JPM hajawa Rais na itakuwepo akistaafu.

Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote
 
KUB ndiye kiongozi mkuu wa upinzani anayetambulika kisheria....huyo anatakiwa awe wa kwanza wakati wa kusaka maridhiano.

Cha kwanza ni kufuta ma-kesi yote ya kibambikiziana ya kisiasa yale ya uchochezi then tukae meza moja myajenge!!

BtN : Tume huru haikwepeki.
 
Hongera sana Kwa Rais wetu mpendwa JPM Kwa kuonyesha Upendo Na umoja Kwa viongozi wa vyama vingine, hiyo ndio siasa safi tunayo itaka siasa sio uadui, sisi wananchi tunahitaji kuona siasa ya maendeleo sio matusi au ugonvi.

Viongozi wengine wa kisiasa waige mfano huu wa Maalim Seifu na hata Mbatia. Tanzania ni nchi yetu sote tuijenge Kwa pamoja bila kubomoa.

Mungu Ibariki Nchi yetu Tanzania
ccm ndiyo kikwazo kwa yote hayo!!!
 
Mkuu Shombe Bwana mkubwa alihamia mwaka jana oktoba au novemba. Hapo alikaa wiki moja tu.
Baada ya hapo akaenda zake Chato (kwa mapumziko???) Na desemba alikuwa kwenye sherehe za uhuru zilizofanyika mwanza (kwa mara ya kwanza!!!). Akaja dsm. Sidhani kama ataenda tena dom!!!
Hahahaaa, nasikia kakimbia kiu Kule hakuna maji
 
Hivi ninyi wapi-mzani nani aliwadanganyeni kuwa tume huru itapatikana bila kuwa na mabadiliko ya katiba? Tume iliyopo inatambuliwa na katiba na tumekuwa nayo for about 60 years,I don't catch you well
KUB ndiye kiongozi mkuu wa upinzani anayetambulika kisheria....huyo anatakiwa awe wa kwanza wakati wa kusaka maridhiano.

Cha kwanza ni kufuta ma-kesi yote ya kibambikiziana ya kisiasa yale ya uchochezi then tukae meza moja myajenge!!

BtN : Tume huru haikwepeki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dodoma vumbi jingi
Kuuliza si ujinga. Hivi serikali pamoja na mkuu wa nchi wapo Dodoma au Dar es Salaam? Mbona kama shughuli zote za ofisi ya rais huratibiwa Dar es Salaam?

Sent using Nokia kitochi
 
Kuuliza si ujinga. Hivi serikali pamoja na mkuu wa nchi wapo Dodoma au Dar es Salaam? Mbona kama shughuli zote za ofisi ya rais huratibiwa Dar es Salaam?

Tehtehtehteh ni nje ya ada lakini ni swali linalofikirisha
 
Back
Top Bottom