Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Madiwani waliokataa ni wa Busanda siyo wa Geita nzima wengine wamekubali mkoa ugawanywe hivyo wengi wape!Magufuli alipoombwa kuugawa mkoa wa Tabora ambao unastahili zaidi kugawanywa kuliko huko Chato alijibu na kusema hawezi kugawa mikoa kwa sababu ni gharama, Pia alishaombwa kuugawa mkoa wa Morogoro na akatoa majibu hayo hayo...
Pointi kubwa hapa ni kukataa kugawa mikoa yenye uhutaji zaidi kwa kigezo cha gharama kisha kugawa mkoa wakeMadiwani waliokataa ni wa Busanda siyo wa Geita nzima wengine wamekubali mkoa ugawanywe hivyo wengi wape!
Yeye amegawa mkoa wake?? Kwani bado yupo? Mbona unamsingizia? Siku ya mazisho yake wanachato walimuomba Mama Samia na yeye ndiyo akawaahidi kuwa kama itakidhi masharti basi Chato itakuwa mkoa na sasa wako kwenye process. Usimsingizie Hayati Magufuli katika hili.Pointi kubwa hapa ni kukataa kugawa mikoa yenye uhutaji zaidi kwa kigezo cha gharama kisha kugawa mkoa wake
[emoji23][emoji23] wszee mnajua sana kujivua akili, yaani hujui kuwa hui mpango ulianzishwa jiwe akiwa hai?Yeye amegawa mkoa wake?? Kwani bado yupo?
Wewe nafikiri unalako jambo. Kama alianzisha umejuaje mbona hatukuona madiwani wanaijadiri issue hii?[emoji23][emoji23] wszee mnajua sana kujivua akili, yaani hujui kuwa hui mpango ulianzishwa jiwe akiwa hai?
i. Wale wazee wa chato walimuambia Samia, ama walidanganya?Wewe nafikiri unalako jambo. Kama alianzisha umejuaje mbona hatukuona madiwani wanaijadiri issue hii?
Amemsingiziaje kitu alichosema mwenyewe? Cha kumlaumu Mwendazake ni kuwa alikemea wazo la Nzega kuwa mkoa lakini ilipofika Chato akakaa kimya.Yeye amegawa mkoa wake?? Kwani bado yupo? Mbona unamsingizia? Siku ya mazisho yake wanachato walimuomba Mama Samia na yeye ndiyo akawaahidi kuwa kama itakidhi masharti basi Chato itakuwa mkoa na sasa wako kwenye process. Usimsingizie Hayati Magufuli katika hili.
hilo ni pendekezo la hayati usimsingizie maadam wetu.ona sukumagangs wanavyoshupalia hiloMagufuli alipoombwa kuugawa mkoa wa Tabora ambao unastahili zaidi kugawanywa kuliko huko Chato alijibu na kusema hawezi kugawa mikoa kwa sababu ni gharama, Pia alishaombwa kuugawa mkoa wa Morogoro na akatoa majibu hayo hayo.
Leo Hoi tunasikia mkoa wa Chato umegawanywa kilazima licha ya wananchi kutohitaji na madiwani wao kukataa, Samia nitamuona rais wa ajabu akitekeleza hili ombi na kuacha mikoa yenye uhitaji zaidi.
Sio kweli...Yeye amegawa mkoa wake?? Kwani bado yupo? Mbona unamsingizia? Siku ya mazisho yake wanachato walimuomba Mama Samia na yeye ndiyo akawaahidi kuwa kama itakidhi masharti basi Chato itakuwa mkoa na sasa wako kwenye process. Usimsingizie Hayati Magufuli katika hili.
Hapo nilipo-bold ni ushahidi tosha kwamba mchakato wa Chato kuwa mkoa ulianza enzi za Magu!!Nigusie kidogo, mambo ambayo ameyasema mzee wetu hapa, Mzee Bigambo... kwanza la Chato kuwa mkoa. Nataka niseme kwamba, nina taarifa mchakato umeanza. Niwaagize kumaliza mchakato huo katika ngazi zenu huku....