Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Matokeo yake aliishia kufa mwenyeweNaona kuna KUNDI kubwa limeandaliwa kupinga na kubeza Mazungumzo Yanayoendelea Baina ya Rais Samia na MH.Mbowe humu JF...
Vipi CWT yenu?Chadema inajifia yenyewe
Kwani upinzani ni CHADEMA pekee?Lile Li gia lililopigwa Angani La Lowasa ambalo lilififisha kbs moyo wa upinzani kwa waTz ulikuwa bado hujazaliwa..?
Chadema imehamia ChamwinoVipi CWT yenu?
Lakini CWT hamjawahi kwendaChadema imehamia Chamwino
Chadema habari ingine Kaka.Chadema inajifia yenyewe
Ndivyo mnavyodanganyanaChadema habari ingine Kaka.
Watu walipelekewa open cheki za BOT wajaze hela wanazotaka wakachagua kwenda Segerea unafikiri mchezo.
Wewe hapo cheki ya milioni tano tu utaitukana CCM.
Usiifananishe CWT na mambo ya kijingaVipi CWT yenu?
Mara imekufa mara inajifia mara itakufa, sasa nini ni nini?Chadema inajifia yenyewe
Jiwe alitaka kuiua CDM akaishia kufa yeyeChadema wamejia wenyewe kwa kutokusimamia wanachikiamini JPM anahusikaje hapo? Ikiwa miaka nenda rudi mlimshambulia mzee Lowasa kwa kumsingizia mambo kibao kisha kama kwenu mkampokea, ikiwa miaka nenda rudi mlipiga vita utoroshwaji wa malvasia zetu kama JPM kukomesha
Pamoja na kuzuia vyombo vya habari 2020 visiwatangaze bado mlikula kichapo mpaka mkaacha kuhesabu kura mkakimbilia kura za kwenye mabegi na Bob Marley.Lile Li gia lililopigwa Angani La Lowasa ambalo lilififisha kbs moyo wa upinzani kwa waTz ulikuwa bado hujazaliwa..?