BUMIJA MOSES
Member
- Aug 27, 2020
- 75
- 85
Hakika,Naona kuna kundi kubwa limeandaliwa humu JF kupinga na kubeza Mazungumzo yanayoendelea baina ya Rais Samia na Mbowe.
Kundi hili ndio lile Kundi lililokuwa linashabikia kuwa Mbowe ni gaidi. Baada ya kupata aibu kwa kelele zile sasa wanaandika habari za uongo na uzushi dhidi ya Mbowe na CHADEMA.
Kifupi wanajitekenya na kujichekesha kwani Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA wana akili kubwa. Endeleeni kupuyanga umbea lakini usiku mtalala.
CHADEMA haifi, kama alishindwa Magufuli kuinunua CHADEMA nyinyi Mavuvuzeni hamuiwezi CHADEMA
CHADEMA BEI YAKE NI KAMA BEI YA KUINUNUA KLABU YA CHELSEA
Wacha waendelee na mawazo yao, ipo siku wataelewa. Siku zote Chadema inaendelea kujisimika kwenye jamii