Nsennah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2021
- 1,947
- 1,554
Mkimsimamisha awam ijayo mnaweza kutoboa kwa upepo ulivyo mtaanLissu ange deal na Lowassa wa nini? Mfano pesa imeibiwa Halmashauri sasa hapo usichukue hatua kisa nini? sio Kila ufisadi lazima uwe na baraka za Rais!! hata kipindi Cha JPM watu waliiba sana na ripoti za CAG zilionyeshwa hivyo ila unataka kukiri kuwa JPM aliwaruhusu??
Rais kuwa fisadi or not unaweza ukawa muadilifu hata kule Kenya Waziri Martha Karua alikua mkali kwa mafisadi ilihali nchi ilikua chini ya Wakikuyu majizi!! so hizo excuses za wanasiasa kuepuka lawama.
So Whether Rais angekua Lowassa or nani, CHADEMA kinge stick to it's principles zilizoipa heshima. In fact katiba mpya ingeshakua in place na uwajibikaji ungekua juu