Rais Magufuli: Aliyetangaza ugonjwa wa ZIKA nchini alikuwa anatumika na ndiyo maana nilipomfukuza, waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi

Mikataba ya Kimataifa inaibana nchi, sio Dr. Mwele.

Dr. Mwele anatumwa na nchi kutekeleza mikataba husika kama ambavyo bosi wake anataka. Yeye Mwele anabanwa na mkataba wake na bosi wake, Magu administration...
Kwa hiyo Magu akifanya genocide against international treaties civil servants wakae kimya kwa sababu wao small potatoes?

Unafahamu precedent ya Nuremberg Trials inasema nini kuhusu hilo?

Unatoaje mfano wa Kyoto Protocol ambayo kwa sasa haijawa ratified na Marekani, wakati mimi nazungumzia obligations za nchi kutimiza mikataba ambayo nchi hiyo imeisaini?

Mbona unalinganisha vitu viwili tofauti?

Huyo Trump unayemsema umesikia juzi wazuri waje wa ulinzi Mark Esper amesema hakubaliani naye kuhusu utumiaji wa wanajeshi wa active duty kudhibiti raia wa Marekani wanaotimiza haki zao za kikatiba kuandamana?

Na msemajibwa Trump kasema Trump bado anamuamini huyu Waziri wa Ulinzi.

Sasa hata huo mfano wako wa Trump unaonesha kumbe Trump naye huwa anakuwa contradicted openly na watumishi walio chini yake, na badala ya kuwafukuza, anakubali kwamba anaendelea kuwaamini na kufanya nao kazi.

Jaribu tena.

Mfano wako umejaa false analogy, na hata nikiipotezea false analogy, Trump naye kakosolewa na mtumishi aliye chini yake, na kanywea.

Trump remains confident in Secretary Esper, White House says
 
Naona hoja zimekukaukia.
Hata hivyo hujachelewa, enenda ukajisomee upate dondoo kidogo za psychology itakusaidia kupata uwezo wa kuchanganua mambo kwa hoja.
Wewe uliyesoma Psychology umesaidia nini Watanzania? Tuanzie na hata wa JF ambao wanahitaji msaada wa Kisaikolojia hujawahi hata kuwasaidia wakaja wakatoa ushuhuda hapa.

Wengine wameishia kujiua na wengine wanateseja na shida zao. Acheni wivu. Dr Mwele Msomi wa nguvu anajulikana uwezo wake dunia nzima. Na kitendo chake chakutia nia 2015 ndiyo chuki mpaka leo. Si tunaona hata kwa wenzake waliothubutu jinsi wanakiona cha mtemakuni?

Ngoja nibakize mengine.
 
Tena leo katumia lugha ya kitoto na ya dhihaka sana.
Haitasaidia. Uzuri wa msomi wa kweli never argue. Yuko anazidi kuchanja mbuga hana hana habari na lugha hizo. Mwanaume jambo likishasemwa linaisha haturudiirudii. Ila kama ni kurudia kwa huyu dada sijui kilichojificha. Imetosha.
 
Kwa hiyo Rais akisema wewe huna akili utaamini kwakuwa ana vyombo vingi vya kumpa habari?!
 
Afrika tunapigwa vita sana, na bila kuwa na majemedari kama Magufuli yaani marais wanaojitambua, tutaisha sote.
 
Amuonee wivu Nani muongo huyo WHO imejaza waongo ndio maana hata marekani imejitoa WHO Baada ya kugundua kuwa Ni taasisi iliyojaa waongo Kama huyo Mwele
nasadiki kabisa maneno yako
 
Apande vyeo asipande vyeo cha msingi ni kwamba alitimuliwa madarakani na raisi

Na serikali ikawa imefanikiwa kulikomboa taifa na wananchi wake toka katika magonjwa ya uongo yaliyo letwa kwa takwimu za kupikwa. tujiulize je kama raisi asinge fanya hivyo nchi ingekuwa katika hali gani kiuchumi na kisaikoloji baada ya wananchi kujazwa hofu inayo sababishwa na kuwepo kwa huo ugonjwa hewa (fake )

simpendi jpm ila kuna wakati tunapaswa kusimama pamoja na kuitetea nchi yetu tukiwa kama taifa...

kupanda vyeo kwa huyo mama katika taasisi anayofanyia kazi hakuna faida yeyote kwa taifa uki compare na hasara ambayo angeisababisha baada ya kutangaza uwepo wa UGONJWA wa zika ambao jpm anasema kuwa ilikuwa ni false information.
 
Roho mbaya ya kimaskini sana...so, ingependeza angekuwa hana kazi na ni ombaomba...
Apparently, research ilionyesha vimelea vipo..

Ndege za watalii nyingi na wamejaa airports na watalii wamejaa mbugani!

Tujifunze ku attack issues na problems, siyo ku attack watu, ni tabia mbaya SANA, uswahili level ya Ph.D.

Everyday is Saturday.......................... 😎
 
Kwanini humpendi JPM
 
Mwenzako anaamini majibu ya utafiti yanapingwa au yanakosolewa kwa utafiti. Sasa hilo halijafanyika.
 
Walimfukuza yule mama kwa kumuonea tu na Mungu amemlipa zaidi.

Moyo wa rais wetu umejaa chuki na visasi visivyo na maana.
Kweli walimuonea sana huyo mama na moyo wa Rais wetu umejaa Sana chuki na visasi visivyo na maana, Ila Mkuu tangu kasepa tuambie wapi hapa TZ Kuna EBOLA na ZIKA!!!
 
Kweli walimuonea sana huyo mama na moyo wa Rais wetu umejaa Sana chuki na visasi visivyo na maana, Ila Mkuu tangu kasepa tuambie wapi hapa TZ Kuna EBOLA na ZIKA!!!
Kwani alifukuzwa kwa sababu ya uwepo wa Ebola hapa nchini ?
 
Hii dunia ina siri kubwa sana kwa watu,mtu ana hangaikia ugari hata kwa kuzusha ugonjwa,tena ndani ya nchi yake ili kuwafurahisha weupe kwa kua wanamlipa lakini kumbe ni kutengeneza hofu ya taifa na yamkini kupigwa chanjo zenye magonjwa,yani mtu yuko tayali hata kuua ili yeye apate pesa, ila yote kwa yote JPM ni bingwa hapa Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…