Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kwa hiyo Magu akifanya genocide against international treaties civil servants wakae kimya kwa sababu wao small potatoes?Mikataba ya Kimataifa inaibana nchi, sio Dr. Mwele.
Dr. Mwele anatumwa na nchi kutekeleza mikataba husika kama ambavyo bosi wake anataka. Yeye Mwele anabanwa na mkataba wake na bosi wake, Magu administration...
Unafahamu precedent ya Nuremberg Trials inasema nini kuhusu hilo?
Unatoaje mfano wa Kyoto Protocol ambayo kwa sasa haijawa ratified na Marekani, wakati mimi nazungumzia obligations za nchi kutimiza mikataba ambayo nchi hiyo imeisaini?
Mbona unalinganisha vitu viwili tofauti?
Huyo Trump unayemsema umesikia juzi wazuri waje wa ulinzi Mark Esper amesema hakubaliani naye kuhusu utumiaji wa wanajeshi wa active duty kudhibiti raia wa Marekani wanaotimiza haki zao za kikatiba kuandamana?
Na msemajibwa Trump kasema Trump bado anamuamini huyu Waziri wa Ulinzi.
Sasa hata huo mfano wako wa Trump unaonesha kumbe Trump naye huwa anakuwa contradicted openly na watumishi walio chini yake, na badala ya kuwafukuza, anakubali kwamba anaendelea kuwaamini na kufanya nao kazi.
Jaribu tena.
Mfano wako umejaa false analogy, na hata nikiipotezea false analogy, Trump naye kakosolewa na mtumishi aliye chini yake, na kanywea.
Trump remains confident in Secretary Esper, White House says