Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Ndio kawaida ya maSadistKilichomumiza Magufuli ni huyo mama kupewa kazi WHO.
Alitaka akimfukuza ateseke
Hivi Dr Mwele unaamini kweli alikuwa anatumika na mabeberu ?Of course kama mtu anaweza kutumika atangazie ulimwengu kuwa tanzania kuna epidemic wakati hata yeye mwenyewe haamini uwepo wake lazima imuume binadamu yeyote mtu kama huyo akiendelea kuaminiwa na yeyote popote kwa sababu hatujui huko mbeleni atafanya nini kwa faida ya watakaotaka kumtumia kwa maslahi yao
Kilichomumiza Magufuli ni huyo mama kupewa kazi WHO.
Alitaka akimfukuza ateseke
Tena leo katumia lugha ya kitoto na ya dhihaka sana.Why always kusema huyu dada? Kuna walakini? Alishamfukuza ameshapata kazi tena ya maana na ya kutambulika duniani. Mungu hamtupi mja wake. Kila siku ni kumsimanga Dr. Mwele tu kila kukicha Dr. Mwele. Men never naggy like this. Aibu.
Ndiyo lilikuwa lengo lake kwa sababu anapenda kusujudiwa.Ahaaaa ahaaaa, alitaka akimfuza kazi akamuombe msamaha kama kina Nape, Kinana nk.
Kiongozi wa nchi hutakiwi kuonyesha wazi wazi kuwa una roho mbaya.Ndio watanzania tulivyo roho mbaya, pia kuna wengine nao wana chuki na huyo Magufuli hutamani apatwe na baya lolote.
Msemakweli mpenzi wa Mungu GENTAMYCINE πππRais wangu Magufuli nakukubali sana hasa ' Kiutendaji ' na ' Kiuthubutu ' pia lakini una tatizo la kupenda ' Kuropoka ' hovyo jitahidi mno ubadilike.
Sidhani kama kaonesha Roho mbaya Bali sisi ndio tumetafsiri hivyo, tunaweza kuwa sahihi ama sio sahihi.Kiongozi wa nchi hutakiwi kuonyesha wazi wazi kuwa una roho mbaya.
Sasa hivi Dr Mwele akipatwa na baya lolote watu watakuwa na speculations nyingi sana .
God forbid
I think yeye hakutumiwa labda kosa lake nikutangaza bila waziri kuhusika sio kila jambo tulaumu hujuma mtu akikosea. Ila Mwele ashukuru Mungu kutumbuliwa kulikuwa baraka ya ku mu push another levelNdio MUNGU hakumuacha.
Akapewa cheo cha Director general of the national institute for medical research.
Till now and then hakuna mwenye concrete evidence kuwa alikuwa anatumika.
Alitolewa tu ili mtu fulani afaidike kisiasa.
Huko anakula salary ndefu maana ni director sio mchezoKilichomumiza Magufuli ni huyo mama kupewa kazi WHO.
Alitaka akimfukuza ateseke
Mshahara wake ni zaidi ya million hamsini za kitanzaniaHii ilikuwa kama kumpiga chura teke ukizani umemuumiza makalio yake kumbe umemuongezea spidi ya kufika aendako.
Nadhan mshahara anaopata WHO kwa sasa ni mkubwa sana kuliko tule tusenti twa masimango from URT.
Kwamba kuwa mgogo ni bahati mbaya ?Nimejaribu kuwaza kwa kina, kabila la Mwele Malecela (kabila la wagogo) lilikuwa lina kosa gani katika hilo jambo mpaka Rais alibeze, kulikashfu na kulisimanga hivyo?
Nini mantiki ya Rais kusema "kwa bahati mbaya sana, Mwele ni mgogo" ?
Mwenyezi Mungu kamkunia Nazi inaitwa hyoTena sasa hivi amepanda tena cheo ni Director wa magonjwa ya kuambukiza yuko Geneva.
Wewe jiulize mtu anayetangaza kuwa ugonjwa hatari umeingia nchini wakati ni uongo alikuwa na nia gani. Cha ajabu huyo mtu ni msomi na anajua fika kuwa hana mamlaka ya kutangaza uwepo wa huo ugonjwa hata kama ingekuwa kweli. Kama sio kutumika alikuwa na lengo gani. Huyo wa maabara ilitangazwa kasimamishwa kazi kwa kukosa umakini katika utendaji wake, wala hakufukuzwaHivi Dr Mwele unaamini kweli alikuwa anatumika na mabeberu ?
Je na yule mkurugenzi wa maabara nae alikuwa anatumika na mabeberu ?
Magufuli hupenda kutafuta vitu visivyo na maana kupata political mileage tu
Hii kauli ya kwamba " bahati mbaya Dr mwele ni mgogo " alimaanisha nini ?Sidhani kama kaonesha Roho mbaya Bali sisi ndio tumetafsiri hivyo, tunaweza kuwa sahihi ama sio sahihi.