Rais Magufuli: Aliyetangaza ugonjwa wa ZIKA nchini alikuwa anatumika na ndiyo maana nilipomfukuza, waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi

Rais Magufuli: Aliyetangaza ugonjwa wa ZIKA nchini alikuwa anatumika na ndiyo maana nilipomfukuza, waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi

Of course kama mtu anaweza kutumika atangazie ulimwengu kuwa tanzania kuna epidemic wakati hata yeye mwenyewe haamini uwepo wake lazima imuume binadamu yeyote mtu kama huyo akiendelea kuaminiwa na yeyote popote kwa sababu hatujui huko mbeleni atafanya nini kwa faida ya watakaotaka kumtumia kwa maslahi yao
Hivi Dr Mwele unaamini kweli alikuwa anatumika na mabeberu ?

Je na yule mkurugenzi wa maabara nae alikuwa anatumika na mabeberu ?

Magufuli hupenda kutafuta vitu visivyo na maana kupata political mileage tu
 
Mh. Rais ni msema kweli. Najua huko alipo mwele nafsi itakuwa inamuuma kweli.
 
Why always kusema huyu dada? Kuna walakini? Alishamfukuza ameshapata kazi tena ya maana na ya kutambulika duniani. Mungu hamtupi mja wake. Kila siku ni kumsimanga Dr. Mwele tu kila kukicha Dr. Mwele. Men never naggy like this. Aibu.
Tena leo katumia lugha ya kitoto na ya dhihaka sana.
 
Viongozi wengi wa Kiafrika akili huwaridia wakitoka madarakani, kwa kujikuta walijitenga na wataalamu na kuambatana na uzushi wa kisiasa.
 
Ndio watanzania tulivyo roho mbaya, pia kuna wengine nao wana chuki na huyo Magufuli hutamani apatwe na baya lolote.
Kiongozi wa nchi hutakiwi kuonyesha wazi wazi kuwa una roho mbaya.

Sasa hivi Dr Mwele akipatwa na baya lolote watu watakuwa na speculations nyingi sana .
God forbid
 
Kiongozi wa nchi hutakiwi kuonyesha wazi wazi kuwa una roho mbaya.

Sasa hivi Dr Mwele akipatwa na baya lolote watu watakuwa na speculations nyingi sana .
God forbid
Sidhani kama kaonesha Roho mbaya Bali sisi ndio tumetafsiri hivyo, tunaweza kuwa sahihi ama sio sahihi.
 
😁😁😁😁Magufuli bhana hajui kupindisha maneno anakucha live 😄😄😄
 
Ndio MUNGU hakumuacha.
Akapewa cheo cha Director general of the national institute for medical research.
Till now and then hakuna mwenye concrete evidence kuwa alikuwa anatumika.
Alitolewa tu ili mtu fulani afaidike kisiasa.
I think yeye hakutumiwa labda kosa lake nikutangaza bila waziri kuhusika sio kila jambo tulaumu hujuma mtu akikosea. Ila Mwele ashukuru Mungu kutumbuliwa kulikuwa baraka ya ku mu push another level
 
Hii ilikuwa kama kumpiga chura teke ukizani umemuumiza makalio yake kumbe umemuongezea spidi ya kufika aendako.
Nadhan mshahara anaopata WHO kwa sasa ni mkubwa sana kuliko tule tusenti twa masimango from URT.
Mshahara wake ni zaidi ya million hamsini za kitanzania
 
  • Thanks
Reactions: amu
Nimejaribu kuwaza kwa kina, kabila la Mwele Malecela (kabila la wagogo) lilikuwa lina kosa gani katika hilo jambo mpaka Rais alibeze, kulikashfu na kulisimanga hivyo?

Nini mantiki ya Rais kusema "kwa bahati mbaya sana, Mwele ni mgogo" ?
Kwamba kuwa mgogo ni bahati mbaya ?
 
Hivi Dr Mwele unaamini kweli alikuwa anatumika na mabeberu ?

Je na yule mkurugenzi wa maabara nae alikuwa anatumika na mabeberu ?

Magufuli hupenda kutafuta vitu visivyo na maana kupata political mileage tu
Wewe jiulize mtu anayetangaza kuwa ugonjwa hatari umeingia nchini wakati ni uongo alikuwa na nia gani. Cha ajabu huyo mtu ni msomi na anajua fika kuwa hana mamlaka ya kutangaza uwepo wa huo ugonjwa hata kama ingekuwa kweli. Kama sio kutumika alikuwa na lengo gani. Huyo wa maabara ilitangazwa kasimamishwa kazi kwa kukosa umakini katika utendaji wake, wala hakufukuzwa
 
Back
Top Bottom