Rais Magufuli: Aliyetangaza ugonjwa wa ZIKA nchini alikuwa anatumika na ndiyo maana nilipomfukuza, waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi


This nigga cant get outta of this woman....

He cant help it!

This bitch murders him moyoni mwake so bad,he cant help it ila kumuongelea kila siku!

This shows this nigga is emotionally very weak as a man!

Pia,who is he tumuamini?

An evidence kua alikua anatumika?Kama anao hua ushahidi atuwekee hapa tuupime!

I wonder mtu anageuka anakua mtu wa mipasho!

What a tragic loss!
 
Apande tu huko watanzania hatumhitaji magonjwa ya mlipuko waziri wa afya ndie mwenye dhamana yeye akajiibukia tu na Zika yake hewa .Kuwa mtaalamu sio kuwa mwongo
Aende kuwaongopea wazungu
Mwele aliteleza tu maana ilikuwa utafiti so kumshikia bango as if wengine hawakosei wao ni perfect
 
Tena sasa hivi amepanda tena cheo ni Director wa magonjwa ya kuambukiza yuko Geneva.
Kazi imemshinda Kama director was magonjwa ya kuambukiza . Corona imemkuta akiwa mkurugenzi kashindwa ku I handle vizuri . Marekani imejitoa ikiisema WHO kushindwa kutoa taarifa mapema za Corona. yeye Kama mkurugenzi alitakiwa atoe taarifa mapema hakutanya hivyo matokeo marekani imejitoa kwa uzembe wa huyo mkurugenzi Mwele wa magonjwa ya kuambukiza na marekani imefuta mchango wake wa dola milioni 400 kwa WHO kutokana na uzembe wa Mwele
 
Wao wakifanya utafiti wakaona kuna viashiria vya uwepo wa ugonjwa huo na hata kwenye ile ripoti yao walisema kuna viashiria vya Zika.

Uliona hata siku moja Dr Mwele akiitisha press kutangaza kuwa Tanzania kuna ugonjwa wa Zika ???
 
Mambo mengi mda mchache
 
Walikuwapo huko UN akina tibaijuka lakini bado walikuja kula vijicenti vya mboga.
Chezea pesa wewe, huko aliko makato ya kodi si mchezo.
Wengi hurudi kutafta ubunge ka prestige Sasa mtu ka Mo dewji, Rostam na wao walifata Nini maana hyo hela sio ya kutisha
 
Ni sawa na mkiachana wapenzi halafu usikie ex wako kapata mpenzi fire zaidi yako roho inaumaje[emoji1]ndo jiwe sasa kutwa kumnanga dada Mwele.
 
Huyu ni mtoto wa Mzee John Samwel Malecella Waziri Mkuu mara mbili wa JMT na Makamu Mwenyekiti CCM Taifa mstaafu. Sio mtu mwepesi kama wanavyomchukulia
Anampaisha sana kwa kuendelea kumzungumzia miguu anayotumia Mzee sio mizuri kwenye hili gemu angeachana nae tuu...kila mtu na maisha yake harafu wanataka tuimbe wimbo wa mabeberu wote wakati misaada mingi inakuja kwa jina la wahisani kutengeza jamii yenye maneno ya kibaguzi ni kukosa hekima na busara tuliyojijengea miaka nenda rudi...
 
Wengi hurudi kutafta ubunge ka prestige Sasa mtu ka Mo dewji, Rostam na wao walifata Nini maana hyo hela sio ya kutisha
wanaingia ili baadhi ya biashara zifanyike kwa mgongo wa mbunge na kukwepa Kodi na kulindwa baadhi ya madudu na pia kuwa jikoni ili kupata baadhi ya tenda korofi...
 
WHO nini bna emu mtafuteni Tibaijuka na Rose mingiro ndo watawambia Hizi communities zilivo, taxes ni kubwa sana huko
 
Si alimfukuza, kwani tatizo liko wapi dada wawatu alikaa kimya akaendelea na maisha yake!
 
Acha uzwazwa,Rais alikuwa yupo kwenye muktadha wa kuelezea magonjwa ya mlipuko sasa hapo lazima aanze kwa kujenga hoja kuanzia kwenye ugonjwa wa zika.
Zwazwa mamako,

Kwani ilikuwa kuna ulazima wa kumtaja Malecela kwa dharau na kejeli namna ile ?

Hili ni tukio la tatu anamtaja huyu mama kwa kejeli na dharau ndani ya mwaka mmoja tu.
Why always Malechela ?
 
Nitakupa majibu sahihi hapa hapa.

Dr.Mwele Malecela alitangaza nini?
Dr. Mwele Malecela alitangaza matokeo ya utafiti uliofanywa na wataalamu kadhaa wa afya kutoka hospitali kadhaa hapa Tanzania wakishirikiana na NIMR. Dr.Mwele hakutangaza mlipuko wa homa Zika hapa Tanzania bali alitangaza matokeo ya awali ya utafiti wa kisayansi, uliofanyika kwa miaka isiyopungua mitatu. Utafiti ule haukufanywa na Dr. Mwele Malecela, bali yeye kama mkurugenzi mkuu wa NIMR aliongea na waandishi wa habari kutangaza matokeo yale kwa sababu ya uzito na umuhimu wa utafiti ule. (Kifupi sana, wakurugenzi wa taasisi za kitafiti duniani hufanya vile ili kuongeza thamani ya taasisi wanazoziongoza kwa kutumia tafiti maana watu wengi watahamasika kuusoma huo utafiti au kuutumia kama rejea katika kazi zao za kitafiti, kitaaluma na kikazi). Yote kwa yote, utafiti ule tayari ulikuwa umechapishwa kidunia (Published) hivyo hata Mwele Malecela asingetangaza bado dunia ingejua. Pia tusisahau, hatua zote za wizara zilifuatwa kabla ya kufanyika utafiti ule, wizara ikatenga pesa za kufanya ule utafiti, na uongozi nzima wa wizara ilikuwa bega kwa bega na NIMR mpaka matokeo ya utafiti yalipotangazwa kwa umma.

Utafiti ulihusu nini?
Utafiti ulichunguza wakina mama waliojifungua watoto wenye vichwa vidogo ikiwa kama walikuwa wamepata maambukizi ya Zika kabla ya kujifungua watoto. Na sampuli za damu zilizopimwa zilileta matokeo yalionyesha idadi kubwa miongoni mwa hao wakina mama ni kweli walikuwa na maambukizi ya Zika.

Nini lilikuwa kosa la Dr. Mwele Malecela?
Hakuna kosa lolote kisheria, kisayansi au kitafiti ambalo alilifanya Dr.Mwele Melecela. Kosa pekee alilolifanya lilikuwa katika mlengo wa kisiasa. Yaani Rais hakupendezwa na kutangazwa hadharani matokeo ya utafiti ule hivyo Dr.Mwele Malecella akaadhibiwa kisiasa kwa kufukuzwa kazi. Kitu pekee ambacho Rais hakijui (hataki kukikubali?) ni kuwa, Utafiti ni mali ya jamii na sio mali ya mtu, hivyo kufanya utafiti wowote na kuficha matokeo au kuchakachua matokeo ni kosa kubwa kisayansi au kitafiti.

Kwa kumalizia tu ni kuwa tunapaswa kufahamu kuwa Utafiti hupingwa kwa utafiti, Dr.Mwele aliongea kwa kutumia utafiti na wanaotaka kumpinga waje na utafiti, tuache tafiti zipingane zenyewe.
 
Hapo ndipo nimeshangaa.
Wagogo wana kosa gani?
Mheshimiwa anataka kutuaminisha kuwa, mtu kuwa mgogo ni laana, duni, mkosi?
Rais kakosea sana kutumia hii statement hii anamaanisha wagogo ni rahisi kutumiwa na mabeberu.

Je professor Kabudi ambaye ni waziri wake wa mambo ya nje naye ni mtu duni kwa sababu ni mgogo ?

Kauli hii inaonyesha namna gani rais wetu hajastaarabika hata kidogo.
 
Kila ujinga wa mtu katika Taifa hili lazima lipate washabiki, Ni kweli ilitangazwa kuna ugonjwa wa Zika, je ni kweli ulikuwepo??
Serikali kupitia NIMR ilifanya utafiti kuchunguza wakina mama waliozaa watoto wenye shida ya vichwa kuwa vidogo ikiwa kama walipata Zika wakati wakiwa wajawazito. Na matokeo yakaonyesha ni kweli wengi wao walipata Zika.

Sasa utafiti ulisema hivyo, ikiwa hatuamini hayo matokeo ya utafiti tulipaswa kufanya utafiti mwingine na uje na matokeo tofauti, na sio kumsimanga aliyetangaza matokeo ya utafiti.
 
Magufuli ni mshenzi. Rais aliyekula kiapo kulinda umoja wa nchi anaendekeza ukabila?

Mawazo yake yamejaa ukabila.

Akimuina Mtanzania hamuoni kama Mtanzania, anamuona kama Mgogo, Msukuma, Mchaga etc.
 
Tuliumizwa sana tu, mwana maapinduzi asiyejali makunyanzi amesema no haibiwi mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…