Willard Jonnes
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 361
- 753
Naelewa Mkuu unachokisema mkuu sasa mtu kwa role mpaka ya kufikia deputy secretary Wa UN still anarudi kuminyana na siasa za nchini? Tena wengine wanakuwa Appointed tu kuwa wabunge au vyeo vya kiserikali Anyway may be passionate au Patriot ila sasa kama bi mkubwa anakuja anachapa mpunga anasema hela ya mboga kule hakuna loope hole za kupiga vitu viko systematic watafute waliopo huko wakuambia maisha baada ya ku contract kuisha,afu WHO hizo ni Agency mojawapo ya UN zikewemwo UNICEF, UNDP, FAO Sema tu hizo agencies ni Autonomous ila ziko incorporate na UN kisheria kabisaKwa hiyo kama taxes ni kubwa ndio hawalipwi au?
Mama asha rose migiro alikuwa deputy secretary of UN from 2007 to 2012.
While WHO ni shirika nje ya UN. Stil linapata funds from UNSDG.
Haijalish taxes ni kubwa . Is how they get there...