Rais Magufuli: Aliyetangaza ugonjwa wa ZIKA nchini alikuwa anatumika na ndiyo maana nilipomfukuza, waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi

Rais Magufuli: Aliyetangaza ugonjwa wa ZIKA nchini alikuwa anatumika na ndiyo maana nilipomfukuza, waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi

Kwa hiyo kama taxes ni kubwa ndio hawalipwi au?
Mama asha rose migiro alikuwa deputy secretary of UN from 2007 to 2012.
While WHO ni shirika nje ya UN. Stil linapata funds from UNSDG.
Haijalish taxes ni kubwa . Is how they get there...
Naelewa Mkuu unachokisema mkuu sasa mtu kwa role mpaka ya kufikia deputy secretary Wa UN still anarudi kuminyana na siasa za nchini? Tena wengine wanakuwa Appointed tu kuwa wabunge au vyeo vya kiserikali Anyway may be passionate au Patriot ila sasa kama bi mkubwa anakuja anachapa mpunga anasema hela ya mboga kule hakuna loope hole za kupiga vitu viko systematic watafute waliopo huko wakuambia maisha baada ya ku contract kuisha,afu WHO hizo ni Agency mojawapo ya UN zikewemwo UNICEF, UNDP, FAO Sema tu hizo agencies ni Autonomous ila ziko incorporate na UN kisheria kabisa
 
Kwenye janga la corona tu kuhusu vipimo alikurupuka bila kutumia akiri,
Sasa huyo uanafikili yuko sawa?
Ana mapenzi na mabeberu.
Kwenye janga la corona alikurupuka ... once again how?
Do you know team inayohusika iko chini ya director qa infectious desease.. na sio directory yake?
+ kwenye team inayodili na corona kuna zaid ya mashirika matatu.. and bad news is yeye haongozi hiyo team.
So your accusation are invalid.

Pili nimekumba ushahid wa accusation zako kuwa alitumika.. lakin naona unakata chenga.
 
Anampaisha sana kwa kuendelea kumzungumzia miguu anayotumia Mzee sio mizuri kwenye hili gemu angeachana nae tuu...kila mtu na maisha yake harafu wanataka tuimbe wimbo wa mabeberu wote wakati misaada mingi inakuja kwa jina la wahisani kutengeza jamii yenye maneno ya kibaguzi ni kukosa hekima na busara tuliyojijengea miaka nenda rudi...
Inawezekana unazungumzia kweli lakini if you can read btn the line kuna ujumbe umekusudiwa kupelekwa kwa watu kupitia yeye...
 
Na ndo maana NUHU baada ya kuijenga safina aliamua kuchukua wanyama badala ya wanadamu kisa, roho mbaya !!
Duh...!
Mkuu hapo umemsingizia Nuhu,
Mungu aliyekuwa anampa Nuhu maelekezo ya nini afanye anakuona ujue!
 
Walipo mtimua kibarua walidhani ataenda kuomba suluhu kama kina Nape lkn mama wa watu akapata shavu la nguvu na sasa anakula kuku bila wasi wasi
Kuna kitu zaidi ya hiyo Zika na jinsi maneno yanavyoendelea kutoka watu wazima tushapata majibu wacha tupotezee mbona waliofukuzwa kazi ni wengi anaendelea kutajwa huyo tuu...
 
Hapo ndiyo ujue kuwa mungu siyo Athumani
Ndio MUNGU hakumuacha.
Akapewa cheo cha Director general of the national institute for medical research.
Till now and then hakuna mwenye concrete evidence kuwa alikuwa anatumika.
Alitolewa tu ili mtu fulani afaidike kisiasa.
 
Kwa nini Dr Mwele kuwa “mgogo ni bahati mbaya”?

Jibu ni rahisi tu.

Angekuwa kabila jingine ambalo sio pendwa ingekuwa rahisi kumtimua bila kuumiza dhamira(conscience).
 
Yaani hata wewe empty bucket unamnanga huyo mama? Ama kweli duniani maajabu hayawezi kwisha
Apande tu huko watanzania hatumhitaji magonjwa ya mlipuko waziri wa afya ndie mwenye dhamana yeye akajiibukia tu na Zika yake hewa .Kuwa mtaalamu sio kuwa mwongo
Aende kuwaongopea wazungu
 
Mzee ana roho ya korosho Huyu..

Riziki ya binadamu,mtoaji ni Labana
Sisi tungepewa hili, jukumu tungenyima

Jamani wenye roho mbaya na wapenda kusujudiwa muache hiyo tabia..Mtoa ridhiki na anayepaswa kusujidiwa ni MUNGU tu.
 
Wote waliosoma syllabus za zamani walifundishwa chuki kuwachukia wazungu rejea nyimbo za mchakamchaka, mashuleni, majeshini,nk.Sababu akili zao zilifungwa kwenye box hivo si ajabu kuhisi kila siku wanalogwa tu
 
Rais Magufuli amenukuliwa akisema haya..

Wakati tunaingia madarakani tuliambiwa Tanzania kuna ugonjwa wa Zika, aliyetangaza na aliyetumiwa kutangaza nikamfukuza kazi (bahati mbaya ni Mgogo); Baada ya kumfukuza yule Mgogo aliyesema Tanzania kuna Zika na waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi, mpaka leo miaka karibu mitano hapajawahi kuwa na kesi hata moja ya Zika hapa Tanzania.

Baada ya uzushi wa Zika kupita na kumfukuza kazi aliyesema kuna ugonjwa huo, tukakaa baadaye tukaambiwa kuna Ebola, walijua wakisema tuna Ebola Watalii hawatokuja, tukasema sisi hatuna Ebola wala Mjukuu au hawara yake Ebola, hatujaona Ebola wala nani amekufa kwa Ebola hapa Tanzania.

View attachment 1469678
Pia soma
1. Rais atengua uteuzi wa Mkurugenzi NIMR Dkt. Mwele Malecela

2. Dkt. Mwele Malecela aula Umoja wa Mataifa. Kuongoza vituo vya magonjwa Afrika

Aiseee Dr Mwele ana moyo wa chuma kweli yaaani hata hamjibugi "MASHUDU" yake.
 
Why why why it's too micro, may be bcoz she too had a word on corona test kits,
 
Kwakweli ninajivunia Dr Mwele, na sisi tunawatambia Wakenya na Wanigeria kuwa Kuna Mtanzania pale mmoja wa Madirector.
Unajivunia mtu mzushi. Ambae anatumika kuharibu hali ya hewa. Au kwa sababu ni hampendi magufuli. Mtu anakuzushia alafu umpende kweli? chuckie mbaya sana.
Mkuki kwa kunguruwe.
Wewe nichukie mimi nisichukie anaenifanyia tofauti.
 
Back
Top Bottom