Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Baada ya Dr Mwele kuondoka mbona ubalozi wa Marekani ili tanga za tahadhari ya Tanzania kuficha taarifa za maambukizi ya Ebola?Unajivunia mtu mzushi. Ambae anatumika kuharibu hali ya hewa. Au kwa sababu ni hampendi magufuli. Mtu anakuzushia alafu umpende kweli? chuckie mbaya sana.
Mkuki kwa kunguruwe.
Wewe nichukie mimi nisichukie anaenifanyia tofauti.