fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
Big up JPM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa yaani ana roho ya ajabu sana,anaonekana aliumia Huyu mama kupata hicho cheo,lkn pia unashangaa eti anajiweka karibu na mzee Malechela tena bila haibu jamani muogopeni munguWalimfukuza yule mama kwa kumuonea tu na Mungu amemlipa zaidi.
Moyo wa rais wetu umejaa chuki na visasi visivyo na maana.
Watanzania gani,labda mambumbumbu kama weweApande tu huko watanzania hatumhitaji magonjwa ya mlipuko waziri wa afya ndie mwenye dhamana yeye akajiibukia tu na Zika yake hewa .Kuwa mtaalamu sio kuwa mwongo.
Aende kuwaongopea wazungu
Sasa mwambie na yeye ajitoe basiAmuonee wivu Nani muongo huyo WHO imejaza waongo ndio maana hata marekani imejitoa WHO Baada ya kugundua kuwa Ni taasisi iliyojaa waongo Kama huyo Mwele
Zika ilikuwepo lkn nani wa kusema na tayari mkuu amesema haipoKwani ZIKA kweli ilikuwepo? Au alipotika ikapotea au walipomtoa wakaidhibiti kimya kimya?
Wewe na babu yako mnafanana, mnafuruhia kuona watu kuteseka!!Na kuna mwingine anatumiwa na Mabeberu yupo Ulaya kutaka kuharibu amani ya Nchi yetu
Rais Magufuli amenukuliwa akisema haya..
Wakati tunaingia madarakani tuliambiwa Tanzania kuna ugonjwa wa Zika, aliyetangaza na aliyetumiwa kutangaza nikamfukuza kazi (bahati mbaya ni Mgogo); Baada ya kumfukuza yule Mgogo aliyesema Tanzania kuna Zika na waliomtuma wakamteua kuwa Mkurugenzi, mpaka leo miaka karibu mitano hapajawahi kuwa na kesi hata moja ya Zika hapa Tanzania.
Baada ya uzushi wa Zika kupita na kumfukuza kazi aliyesema kuna ugonjwa huo, tukakaa baadaye tukaambiwa kuna Ebola, walijua wakisema tuna Ebola Watalii hawatokuja, tukasema sisi hatuna Ebola wala Mjukuu au hawara yake Ebola, hatujaona Ebola wala nani amekufa kwa Ebola hapa Tanzania.
Pia soma
1. Rais atengua uteuzi wa Mkurugenzi NIMR Dkt. Mwele Malecela
2. Dkt. Mwele Malecela aula Umoja wa Mataifa. Kuongoza vituo vya magonjwa Afrika
3. Safari itasonga Kwa msaada wa Mungu: Dr. Mwele Malecela
4. NIMR: Asilimia 45 ya watoto wachanga wakutwa na Virusi vya homa ya ZIKA Tanzania
Ilikuwepo halafu ikayeyuka ghafla au bado ipo mpaka muda huu ila hatujui kama ipo?Zika ilikuwepo lkn nani wa kusema na tayari mkuu amesema haipo
Magufuli alikuwa bomu sana.Ilikuwepo halafu ikayeyuka ghafla au bado ipo mpaka muda huu ila hatujui kama ipo?
Waziri Mkuu mara mbili? Lini na lini? Nchi hii waliowahi kuwa Mawaziri wakuu mara mbili ni David Msuya na Edward Moringe Sokoine!Huyu ni mtoto wa Mzee John Samwel Malecella Waziri Mkuu mara mbili wa JMT na Makamu Mwenyekiti CCM Taifa mstaafu. Sio mtu mwepesi kama wanavyomchukulia