Rais Magufuli ameamua nchi ifungue sura mpya ya kimaendeleo kuelekea 2025


Kuendeleza siyo vibaya, ni jukumu kuendeleza Mazuri ambayo "wenzie" wamemuanzishia, ndiyo maana ya serikali, ni uendelevu wa mipango. Kama REA ingekwama basi hilo lilikuwa lake maana 2016 raisi alikuwa yeye

Kuhusu Hospitali ya Mloganzila, JK aliondoka madarakani 2015 kwa hiyo timeframe ya mradi ilikuwa lazima imkute raisi mwingine, hata ungekuwa wewe ndo raisi ungemalizia tu si kila kitu kipo, fedha imeshatafutwa shida ni kazi iendelee kufanyika

Sasa sisi tunachosema ni kwamba, Msitusumbue sana na Kelele za anajenga hiki, anajenga kile as if miradi kaibuni yeye na kaitafutia pesa yeye huko nje!. Mbona waliovianzisha hawakuwa na kelele saana kama sasa hivi?

Maana hiyo SGR na Stiegles haijafika hata nusu ya kazi lakini kelele nyingi utadhani mmeshakamilisha!
 
Daaah binadamu hana shukrani kelele ni za furaha sio kelele za majonzi......kelele za Ufisadi wa Richmond, Escrow, Rada n.k na kelele za kuzindua miradi ya Maendeleo ya Taifa yetu kwa manufaa yetu na wajukuu wetu kipi kwako ni bora
 
Kweli binadamu hana shukrani Comrade hata umfanyie nini
Mngejua tanzania tumeokoa pesa kiasi gan baada ya magufuli kuamua kutangaza tender world wide ama kweli watanzania sisi cjui tumerogwa na nani aisee
 
Waulizeni wakenya mradi wa sgr walijengewa na wachina leo hii wanalia wamejengewa hiyo reli kwa garama kubwa sana
Hao ni wakenya sisi ni watanzania, wao walijengewa na wachina kwa makubaliano yao na sisi tunajenga na Waturuki kwa makubaliano yetu
 
Watanzania bana amin nawambia achana na magufuli ni another level nchi alikoitoa ni mbali sana nchi hii ilikuwa imeondoka aisee
Waambie Comrade nchi ilikuwa mikononi mwa wajanja wachache wao ndio wamuaji na wanufaikaji wa rasirimali za Taifa Leo hali imebadirika Taifa letu limesimama katika misingi yake
 
Wakulima hatuna soko labuhakika la mazao yetu. Mbaazi ziliozea shambani msimu uliopita . Mustakabali wa korosho mpaka sasa ni kitendawili.

Hizi barabara si za kumkomboa mkulima kutoa mazao kijijini kupeleka tu makao makuu ya wilaya.

MKuu kasome tena pale juu sijaonapopote akizungumzia wakulima, nadhani wakulima sio kipaumbele chao.
 
Soko la nini vile? Bhahahahahaaaa
Wakulima hatuna soko labuhakika la mazao yetu. Mbaazi ziliozea shambani msimu uliopita . Mustakabali wa korosho mpaka sasa ni kitendawili.

Hizi barabara si za kumkomboa mkulima kutoa mazao kijijini kupeleka tu makao makuu ya wilaya.
 
Na wewe ukitukana unapata cheo
Hoja namba 2 ndege wakati mmezikimbizia ofisi ya raisi na hamruhusu hata CAG akague we bwege sana,Ajira karibu awamu 4 zimelala mtaani we unajipendekeza ati upate cheo.
 
Umetoa Ukweli Comrade wape Elimu wataelewa tu
 
Swali zuri hawawezi kukupa majibu Comrade
 
Ujenzi wa miundombinu unachochea na kurahisisha shughuli za kiuchumi za wananchi kuendeshwa vizuri Sana na kwa unafuu kama ulikuwa hujui ndio maana unapona post yangu imejaa ujenzi ujenzi ujenzi
 
Ukizungumzia kubuni hata Dr Slaa kwenye kampeni 2010 moja ya vipaumbele vyake ilikuwa ni hiyo reli, kwani mkataba wa bandari ya Bwagamoyo haukuwa umesainiwa? kwa nini haijajengwa basi? mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, SGR ya JK haikuwa na utofauti na hiyo ya Kenya, ya JPM ni yetu sisi na si ya wachina.
 
Tulia kaka nchi ipo kwenye direction ya kasi 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…