JPM anafikiri na amejihakikishia kuwa Watanzania wote ni Wajinga kama wewe.Tuna Rais anayejali mno wananhi.
Pongezi kwa Rais kuona hilo, kwa hakika lilikuwa kikwazo kikubwa kwa upatikanaji wa haki za watuhumiwa kwa wakati.
Kuna msemo unaosema mwisho wa ubaya aibuWalijipendekeza sana kwa mheshimiwa Rais Magufuli lakini ameshtuka the same as Kangi Lugola case
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani serikali inabambikizia watu kesi za utakatishaji hadi wa 500,000 halafu hiyo hiyo inajilaumu halafu wenye Stroke ya akili kama wewe mnakuja kusifu na kuabudu mbambikizaji?Tuna Rais anayejali mno wananhi.
Pongezi kwa Rais kuona hilo, kwa hakika lilikuwa kikwazo kikubwa kwa upatikanaji wa haki za watuhumiwa kwa wakati.
Hahaaaaa.........Yaani serikali inabambikizia watu kesi za utakatishaji hadi wa 500,000 halafu hiyo hiyo inajilaumu halafu wenye Stroke ya akili kama wewe mnakuja kusifu na kuabudu mbambikizaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kichwa changu cha habari kinavyouliza hivi Rais Magufuli "ameguswa" na nini hadi awakenee waendesha mashtaka wanaochelewesha upelelezi wa kesi zilizoko mahakamani, jambo linalosababisha watuhumiwa wengi kuendelea kupata mateso ya hali ya juu, kwa kuendelea kusota rumande kwa kipindi kirefu sana?
Tunajua kuwa wapo watuhumiwa wengi ambao wako mahabusu kwa kesi za kubambika za utakatishaji pesa, ambazo wao waendesha mashitaka wanajua kuwa hazina dhamana, hivyo kuzitumia kama "fimbo" ya kuwatesea watuhumiwa hao ambao hawana hatia.
Hebu tujaribu ku-imagine kwa mfano kesi ya mwandishi wa habari Erick Kabendera, huu ni mwezi wa 8, kila kesi hiyo inapotajwa hapo mahakamani, waendesha mashitaka hao, wanadai kuwa upelelezi hawajaukamilisha!
Hivi inawezekanaje kwa Polisi kupeleka kesi mahakamani, tena ya utakatishaji pesa, wakati upelelezi bado haukakamilika?
Hivi hiyo siyo njia tu ya kuwakomoa watuhumiwa hao wa utakatishaji pesa, kwa vile hao Polisi wanajua kuwa kesi hizo hazina dhamana?
Sasa Rais Magufuli amesema walaaniwe waendesha mashitaka hao, wanaosababisha mateso makubwa kwa watuhumiwa, kwa kuendelea "kuwasotesha" rumande.
Hata kama kwa mawazo ya wengi kuwa walidhani kuwa Jiwe ndiye "mastermind" wa kesi hizo, sasa keshawaruka futi 10,000.
Kwa hiyo kazi kwenu zigo lote la ubaya kawabakizia nyinyi Polisi waendesha mashitaka na akahitimisha kwa kusema mlaaniwe kwa kuwabambikizia kesi hizo za utakatishaji pesa mkiwa na lengo la "kuwakomoa" watuhumiwa hao ili waozee jela!
Nami niongezee kwa kumwomba Mungu wetu ili awalaani na kuwatia "uzezeta" hao Polisi wote wanaowabambikia kesi za utakatishaji pesa watuhumiwa kwa lengo tu la kuwasotesha kwa kipindi kirefu, watuhumiwa hao wasio na hatia.
Alaa kumbe Mkuu Mkaruka una maana kuwa yeye mwenyewe ndiyo "mastermind" wa hizi adha zote hizi zinazowapata hawa watuhumiwa wanaobambikiwa kesi za utakatishaji pesa?
Niliona baada ya kutamka meza kuu alipo CJ na wenzake, waliangaliana na body language yao ilikuwa inasema kwa uwazi kabisa. Tapeli.Defence tactics, hakuna lolote hapo. Muulize ya Lisu atoe comment! Kesho atasema Lisu hakutendewa haki kunyanganywa ubunge wake na kutotibiwa na Bunge. Hapo hapo alisema alitelekeza jimbo! Madikiteita wote wako hivyo! Mystery,
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said Mkuu SomocheRais aagize vyombo hivi visikamate mtu bila kuwa na ushahidi..kuna kesi nyingi mno zinalalamikiwa kwamba zinakomoa..kuumiza na kutesa..ni ukweli kwamba unapokamata mtu ana familia unasambaza yale mateso kwa ndg jamaa na familia yake.Jambo linaloleta hali ngumu.Matokeo yake kweli ni laaana .
Kwa hiyo hiyo huruma haikiwa kwa sehemu ya watu flani .... Akina Rugemarila wao hawaonewi huruma.....!!?Mheshimiwa Rais anasikitishwa sana na uonevu wanaofanyiwa Watanzania "wanyonge".
Leo!???K
Kuna msemo unaosema mwisho wa ubaya aibu
Hiyo ni *wake up call" ameitoa Mheshimiwa Rais, nanyi Jeshi la Polisi inabidi mjitathmini
Mkuu tambua tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu, pia ukiona nyani anamkana na kumtupa mwanaye ujue hali ya usalama Wa maisha yake uko matatani anaamua kujinasua mwenyew na kumtupa mwanaye.Kama kichwa changu cha habari kinavyouliza hivi Rais Magufuli "ameguswa" na nini hadi awakenee waendesha mashtaka wanaochelewesha upelelezi wa kesi zilizoko mahakamani, jambo linalosababisha watuhumiwa wengi kuendelea kupata mateso ya hali ya juu, kwa kuendelea kusota rumande kwa kipindi kirefu sana?