Rais Magufuli ameleta mtazamo mpya wa Lugha ya Kiswahili?

Rais Magufuli ameleta mtazamo mpya wa Lugha ya Kiswahili?

Hivi alioongozana nao si nadhani wote wanaelewa English sasa Kiswahili ni kwa ajili yetu kwani anatuhutubia?
 
Rais wa Tz JPM yupo live akizindua soko la Tumbaku huko Malawi,anahutubia kwa kutumia lugha yetu ya Kiswahili huku kukiwa na mkalimani.

Je hii ni namna ya kulinda lugha na kuitangaza lugha?

Zikomo kwambili
"PhD fake".....usijaribu kugushi hii kitu inayotamkwa Phd, utadhalilika vizazi na vizazi....,
 
Hii aibu watoto wetu isiwakumbe, jamani huko vijijini shule za makanisa zifundishe lugha mbadala kwa watoto wasio na uwezo wa kwenda English Medium
 
Rais wa Tz JPM yupo live akizindua soko la Tumbaku huko Malawi,anahutubia kwa kutumia lugha yetu ya Kiswahili huku kukiwa na mkalimani.

Je hii ni namna ya kulinda lugha na kuitangaza lugha?

Zikomo kwambili
Hii ina maana moja tu....kuongea kingereza haimaanishi wewe umesoma sana au hujasoma.
 
Back
Top Bottom