Rais Magufuli ameleta mtazamo mpya wa Lugha ya Kiswahili?

Rais Magufuli ameleta mtazamo mpya wa Lugha ya Kiswahili?

Raisi magufuli ni mmoja kati ya watanzania wenye kiwango cha juu kabisa tunapo ongelea uzalendo,kwenye awamu ya tano tumeona jitihada za kukuza na kupanua wigo wa lugha ya kiswahili hadi bunge la Africa kuamua kutumia kama lugha ya mawasiliano,huu ni mwendelezo wa kizalendo kwa raisi wetu kutumia lugha ya kiswahili kuhutubia akiwa kwenye ziara mbalimbali heko jpm.
 
Rais wa Tz JPM yupo live akizindua soko la Tumbaku huko Malawi,anahutubia kwa kutumia lugha yetu ya Kiswahili huku kukiwa na mkalimani.

Je hii ni namna ya kulinda lugha na kuitangaza lugha?

Zikomo kwambili
Heri azungumze Kiswahili, jana "alizungumza" Kizungu baada ya kupokelewa and it was embarrasing to watch my president(PhD) doing a speech in such a terrible English!
 
Ili Rais Magufuli aweze kweli kustahili sifa ya kukuza kiswahili, itabidi afanye zaidi ya kuhutubia kwa kiswahili katika dhifa za kimataifa. Kuna mengi ya kufanya katika kuimarisha kiswahili, hasa katika maeneo ya kuimarisha fani ya ushairi, tenzi na ngonjera ambayo siku hizi imefifia sana kulingansha na enzi zile za nyuma. kutafuta wenye vipaji katika Kiswahili na kuwapa msaada unaohitajika ili waweze kufanya mengi na ya kuliinua taifa letu. watu wa aina ya akina Mnyampala, Shaaban Robert, nk. mpaka hivi sasa wakenya ndio wanaongoza kwa kufundisha Kiswahili huko nje, wakati kiswahili chao mmhhh... kwa hiyo tunahitaji kukuza kswahili sanifu. Magufuli aoneshe njia katika hilo. siyo lazima yeye mwenyewe aandike Tenzi na Tungo kama Mwalimu Nyerere, lakini anaweza kuweka nguvu kubwa kuwawezesha wenye vipaji vyao.

Vinginevyo wale wanaomkejeli kwamba anaongea kiswahili huko nje kwa kuwa hana lugha ingine fasaha ya kuongea zaidi ya kisukuma, watakuwa wameshinda.
 
Rahisi wa kwanza asiyejua ng'eng'e, tena ameisha wahi kuwa mwalimu!
Najaribu kuwaza tu mkuu,hakika nchi hii Mungu atuhurumie wenzetu wote waliotawaliwa na Waingereza wanapenda lugha yao ya taifa na kiingereza pia kwa maana ya kuifundishia na hawana tatizo la hilo ila hapa ukishindwa kiingereza utasikia lugha ya mkoloni hiyo teh,teh,teh...........
 
Heri azungumze Kiswahili, jana "alizungumza" Kizungu baada ya kupokelewa and it was embarrasing to watch my president(PhD) doing a speech in such a terrible English!
Unaweza ukawa sahihi lakn cha msingi na sekondari n kwamba " lugha siyo kipimo cha elimu au uelewa wa mtu"

Kuwa Rais haikufanyi ww ujue kila kitu ,you can be a Phd holder and still unable to ponderize things using English , English is our second language ,we learn it for educational purpose only ,being so our mother tongue has a great influence not only in kiswahili (national language ) but also in foreign languages .
 
Rais wa Tz JPM yupo live akizindua soko la Tumbaku huko Malawi,anahutubia kwa kutumia lugha yetu ya Kiswahili huku kukiwa na mkalimani.

Je hii ni namna ya kulinda lugha na kuitangaza lugha?

Zikomo kwambili
HAKUNA MWAKA AMBAO WATANZANIA WALIINGIA MKENGE KAMA MWAKA 2015.MUNGU TUEPUSHE NA ADHABU KALI MOTONI
 
Mhe rais Dr John Pombe ni kiongozi mzalendo pekee wa taifa hili aliyebaki nashauri mwakani usifanyike uchaguzi wa Rais
Huwezi amini amesoma Bachelor, Master na PhD kwa kingereza lakini hawezi kuunda sentensi ya kingereza😆😆😆
 
Mhe rais Dr John Pombe ni kiongozi mzalendo pekee wa taifa hili aliyebaki nashauri mwakani usifanyike uchaguzi wa Rais
Uzalendo ni kuzungumza Kiswahili?
 
Back
Top Bottom