Sunbae
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 254
- 176
Kambi ya kutafuta uongozi UVCCM taifa inayoongozwa na mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka na naibu waziri wa Ardhi Angelina Mabula imepata pigo baada ya Rais kugundua kuwa kambi hiyo ilikuwa na mpango wa kutumia sherehe za mwenge kitaifa kumfanyia kampeni mgombea wao.
Wageni wote walialikwa kimkakati ikiwemo makatibu wa vijana wa wilaya pamoja na wakuu wa wilaya zote kwa kutumia mgongo wa Mtaka kutamba kuwa Magufuli anamsikiliza yeye kuhusu mambo ya UVCCM.
Kitendo cha Rais kuzuia wakuu wa wilaya kwenda Simiyu na yeye mwenyewe kuahirisha kwenda kinadhihirisha jinsi Mkuu wa nchi alivyo na mtandao mzuri wa taarifa na nia yake safi ya kukijenga chama.