Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very shallow, not detailed.Kambi ya kutafuta uongozi UVCCM taifa inayoongozwa na mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka na naibu waziri wa Ardhi Angelina Mabula imepata pigo baada ya Rais kugundua kuwa kambi hiyo ilikuwa na mpango wa kutumia sherehe za mwenge kitaifa kumfanyia kampeni mgombea wao.
Wageni wote walialikwa kimkakati ikiwemo makatibu wa vijana wa wilaya pamoja na wakuu wa wilaya zote kwa kutumia mgongo wa Mtaka kutamba kuwa Magufuli anamsikiliza yeye kuhusu mambo ya UVCCM.
Kitendo cha Rais kuzuia wakuu wa wilaya kwenda Simiyu na yeye mwenyewe kuahirisha kwenda kinadhihirisha jinsi Mkuu wa nchi alivyo na mtandao mzuri wa taarifa na nia yake safi ya kukijenga chama.
Huyo mama jimboni kwake ilemela wananchi wamaishamchoka hata mwaka haujaisha...Ndo maana mwenge unakosa mvuto sababu ya masiasa ya masisiemu ni hovyohovyo sasa huyo mother anautaka ukinara wa uvccm ngoja aje awaibie makura kama alivyo mfanya KIWIA mbona anaonekana kijeba kwenye uvccm bado yanki au sababu ya anavyo nyoa KISHABA RANKS mapanki
Mtaka ni Mkuu wa mkoa kama walivyo wakuu wa mikoa wengine kote nchini mwenge ulikopita,kinachomtofautisha Mtaka na wkuu wengine wa mikoa mwaka huu ni kuwa Mbio za mwenge zinamalizikia mkoani kwake na hivyo kumfanya kuwa mwenyeji wa shughuli hiyo.Logistic za nani aalikwe kuhudhuria shughuli hiyo haizifanywi na ofisi yake,hili si jambo la kimkoa ni la kitaifa sana sana yeye atausik na kualika wageni wa mkoani tu pale pengine na vikundi vya ngoma.Hii ya kusema Mh Rais ameshituki ni kutaka tu kuendeleza sifa zile za ukasuku.Kambi ya kutafuta uongozi UVCCM taifa inayoongozwa na mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka na naibu waziri wa Ardhi Angelina Mabula imepata pigo baada ya Rais kugundua kuwa kambi hiyo ilikuwa na mpango wa kutumia sherehe za mwenge kitaifa kumfanyia kampeni mgombea wao.