Tetesi: Rais Magufuli ameshtukia njama za RC Mtaka na Naibu Waziri Mabula

Sunbae

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2015
Posts
254
Reaction score
176
Kambi ya kutafuta uongozi UVCCM taifa inayoongozwa na mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka na naibu waziri wa Ardhi Angelina Mabula imepata pigo baada ya Rais kugundua kuwa kambi hiyo ilikuwa na mpango wa kutumia sherehe za mwenge kitaifa kumfanyia kampeni mgombea wao.

Wageni wote walialikwa kimkakati ikiwemo makatibu wa vijana wa wilaya pamoja na wakuu wa wilaya zote kwa kutumia mgongo wa Mtaka kutamba kuwa Magufuli anamsikiliza yeye kuhusu mambo ya UVCCM.

Kitendo cha Rais kuzuia wakuu wa wilaya kwenda Simiyu na yeye mwenyewe kuahirisha kwenda kinadhihirisha jinsi Mkuu wa nchi alivyo na mtandao mzuri wa taarifa na nia yake safi ya kukijenga chama.
 
Kila kitu kwa CCM ni siasa........kwao mambo ya kitaifa lazima siasa ziwekwe mbele.
 
Kwani Anthony Mtaka ndiye aliwaalika?
 
Kila kitu kwa CCM ni siasa........kwao mambo ya kitaifa lazima siasa ziwekwe mbele.

Ndugu hii siyo taarifa ya chamA kumbuka mleta mada kasema "tetesi " punguza kupa..yuka
 
Duh,sasa huyo Mtaka alitaka kujisafisha ama?
Ngoja niendelee kusikilizia maana imesemwa hii ni tetesi labda taarifa kamili itakuja
 
Kwahiyo kwa kuzuiliwa hao watu kwenda kwenye sherehe za kuzima mwenge ndo huo mgogoro utakuwa umesuluhishwa? Vijana wa umagambani (Lumumba) ni ZERO kabisa. Kwanza hata ulichoandika hakieleweki.
 
Ndio yule Herry James aliyetumbuliwa UDAS AU?
 
Kwahiyo huyo mwenyekiti uvccm naye ni lazima atoke chato ?
 
Magamba tupatieni huo ubuyu ,kuhusu mlivyo wazuri kwa figisu
 
Mwenyekiti wa ccm hajiwezi kabisa kuna mgogoro unafukuta atashangaa kaanza na yeye kutengeneza esrow mara thelathin ya jakaya ili kujiimarisha vinginevyo ajiandae kung,olewa
 
Duh hii ndio reason behind the scene kweli mitandao inatumaliza. Alaaniwe mwasisi wa mitandao ya kifedhuli nchini
 
Mwenge wa Serikali hayo ya jampa ya kijani yanafuata nini Simiyu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…