Tetesi: Rais Magufuli ameshtukia njama za RC Mtaka na Naibu Waziri Mabula


Duh hii ndio reason behind the scene kweli mitandao inatumaliza. Alaaniwe mwasisi wa mitandao ya kifedhuli nchini

Nadhani reasoning ya mleta mada ipo hapo kwenye bold.
 
Hebu tupisheni huko na uvccm yenu.. Ngoja Magu awanyooshe.. Hakuna ujanja ujanja awamu hii.
 
Majungu tupu
 
Kila kitu kwa CCM ni siasa........kwao mambo ya kitaifa lazima siasa ziwekwe mbele.
Mleta mada anasema walikuwa wanataka kutumia mkutano huo kupenyeza yao.
 
Ndo maana mwenge unakosa mvuto sababu ya masiasa ya masisiemu ni hovyohovyo sasa huyo mother anautaka ukinara wa uvccm ngoja aje awaibie makura kama alivyo mfanya KIWIA mbona anaonekana kijeba kwenye uvccm bado yanki au sababu ya anavyo nyoa KISHABA RANKS mapanki
 
Kiwia ndio nani mkuu?
 
Mtaka ndio kawaalika? Na utaratibu wa huko nyuma ulikuwaje wakati wa uzimaji wa mwenge?
 
ccm wana tatizo si bure, kwa hiyo hata mwenge ni wao sio mali ya serikali tena.. mambo ya uvccm kwa nini yakafnyike kwenye shughuli za mwenge?! Sasa itabidi siku mwenge ukiingia mahali ccm tu ndio washughulike na moto wao vyama vingine viendelee na shughuli za kujenga nchi kwenye halmashauri zinazoongozwa na upinzani, maana hawa ccm ni wabinafsi sana kila kitu nchi hii chao,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…