Tetesi: Rais Magufuli ameshtukia njama za RC Mtaka na Naibu Waziri Mabula

Tatizo la hii nchi shuguli za kiserikali zinageuka na kuwa za chama,hakuna mipaka.
 
Very shallow, not detailed.
 
angelina mabula....jimbo lake tu limemshinda,lile shirika la mchechee kila siku linaalikwa lichangie hiki,mara kile,sasa sijui kila mwenye wizara akiwa anaalika mashirika ya sehemu anayoongoza itakuwaje?

hilo shirika litafilisika,liombe kinga ofisi kuu,mialiko imezidi
 
Huyo mama jimboni kwake ilemela wananchi wamaishamchoka hata mwaka haujaisha...
 
Mtaka ni Mkuu wa mkoa kama walivyo wakuu wa mikoa wengine kote nchini mwenge ulikopita,kinachomtofautisha Mtaka na wkuu wengine wa mikoa mwaka huu ni kuwa Mbio za mwenge zinamalizikia mkoani kwake na hivyo kumfanya kuwa mwenyeji wa shughuli hiyo.Logistic za nani aalikwe kuhudhuria shughuli hiyo haizifanywi na ofisi yake,hili si jambo la kimkoa ni la kitaifa sana sana yeye atausik na kualika wageni wa mkoani tu pale pengine na vikundi vya ngoma.Hii ya kusema Mh Rais ameshituki ni kutaka tu kuendeleza sifa zile za ukasuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…