BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,813
- 3,430
Sijaona mpaka hapo walichokosea kukinena dhidi ya mhusika,zaidi naona Wewe na Pascal kujifanya hamjui kinachotokea nchini na mnauma na kupuliza kuhusu hali ya nchi ya Democracy na uchumi! Indicators mnazo ila undumila kuwili na kulinda itikadi vina watatiza.Nadhani unawapa credit kubwa sana hawa kiasi kwamba watu wanatakiwa kujali wanachosema.
Wanachofanya ni kujaribu kusabotage maana kwa muda sasa hivi hawana puppet President. Hawajawahi kuwa na Rais Afrika ambaye anaweza kuwaambia "hapana" na wakawa hawana la kufanya. Kinachotokea ni majaribio tu ya kumstabilize Magufuli. Usije kushangaa hawa hawa wakageuka baadaye na kuaanza kuimba sifa za Magufuli.
Inanikumbussha jinsi gani Western media walivyojitahidi sana kumdiscredit Nyerere wakati wake... as a matter of fact.. hata kwenye nchi zao media wasipokupenda na usipochukua msimamo wao wa kilibererali unakuwa ni target yao kubwa..