Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea kunyamaza, itafika siku Uongo huu utageuka Ukweli!

Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea kunyamaza, itafika siku Uongo huu utageuka Ukweli!

Vita ya kiuchumi ni ngumu sana kaka Pascal, huko nje inapiganwa na mabeberu wenyewe na humu ndani wanatumika mawakala wao.

Usifikirie kitendo cha yule bosi wa Barrick kuja hapa nchini mara mbili ni kitendo ambacho mzungu anakipenda.

Ni kwamba mzungu hapendi kuonekana kashindwa au katii jambo ambalo msingi wake ni mtu mweusi.

Usifikiri kuwa wale matajiri waliokuwa wanafaidika na Tanzanite yetu, kwa sasa wana hali ile ile kiuchumi, hata kidogo.

Tupo kwenye right track, huu upuuzi mwingine wa demokrasia ni njia tu ya kututoa kwenye akili za utafutaji maendeleo.

Ni vizuri serikali ikawajibu hawa mabeberu, lakini cha muhimu ni kutambua kuwa siku zote mwenye kumpigania masikini hawezi kupendwa na tajiri.
 
Na kwa njia ya huyu usitegemee maendeleo[emoji85] [emoji196]
 
huwa hilo jarida haliandikwi kwaajili ya watanzania. ni kwaajili ya wawekezaji na wahisani/donors. na huwa hawapuuzi hizo ishu. ishaurini serikali ijisafishe kwa matendo. ikishindwa basi kwa maneno. si picha nzuri inajijengea kimataifa.
Haya ni yale yale madai ya Tundu Lissu kwamba eti tutashtakiwa MIGA. Alichokiweza mzungu ni kumfanya muafrika ajione kuwa ana haki ya kuwa wa mwisho kwenye kila jambo, hapa namaanisha hata katika matumizi ya rasilimali ambazo muafrika amejaaliwa na Mungu.
 
Wanabodi,

Ni muda sasa jarida la The Economist limekuwa likiisema vibaya nchi yetu, na kumsema vibaya rais wetu, ikiwemo kumuita majina ya ajabu ajabu, mimi nikiwa ni mwandishi wa habari, kanuni kuu nambari moja kwa mwandishi wa habari, ni kusema ukweli daima, hivyo sina tatizo kabisa na chochote kitakachoandikwa kwenye gazeti, kama ni cha kweli, lakini natatizwa sana na uongo wowote unaoandikwa kwenye magazeti na majarida ya kimataifa, likiwemo jarida hili la The Economist

The Economist walianzia hapa ‪Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist"

Tukanyamaza, sasa wameibuka tena na uongo mwingine

Tanzania's rogue president - Democracy under assault - The Economist

Katika report hiyo, wamemtukana rais wetu kuwa Rogue President. Kwa vile mimi sijui Kiingereza, ilinibidi nikatafute kamusi kuangalia neno rogue ni nini, mtu anaeitwa rogue ni mtu wa namna gani, na taifa likiitwa rogue state ni taifa la namna gani, naomba kwa heshima ya rais wetu, nisitoe ufafanuzi wa neno hilo, ila kwa kifupi ni rais wetu ametukanwa!.

Kwenye report yao, wameripoti mambo mengi ya uongo kuhusu Tanzania, na mambo mengi ya uongo kumhusu rais wetu.

Story yenyewe ni hii, naomba nisiitafasiri nisije nikabadili maana, ila nimekufahamu kutukanwa huku kupita thread hii
Economist: Tanzanias Rogue President

Nawatakia Furahi Day Njema,

Paskali

Mkuu Pascal Mayalla

Heshima kwako

Kimsingi hawa jamaa wanajiita "The Economist" popote walipo ama lugha yeyote wanayotumia kuandika habari kuhusu Tanzania na viongozi wake akiwamo raisi wetu mpendwa Dr John Magufuli hawana jipya. Kwanza taarifa wanazoandika wanapewa na baadhi ya Watanzania wasioitakia mema nchi yetu.

Mkuu Pascal Mayalla umeainisha kwamba hutaki kufasiri neno "rogue", fasiri ya haraka "rogue individual" ni mtu hasa kiongozi asiyezingatia sheria, kanuni na taratibu. Kwamba Mh Raisi Magufuli hafuati taratibu sio kweli. Hawa The Economist wana-amini kiongozi anayefuata taratibu ni yule anayetumikia mabepari?

Waandishi wetu wa habari muwe makini kidogo na hizi propaganda.

Maoni yangu ni kwamba hawa The Economist watuache kidogo tufanye yetu. Wasubiri kwanza Mh Magufuli aondoke madarakani ili wapate viongozi goigoi watakaowatumikia mabwanyenye. Kwa sasa waendelee kusema watakavyo.
 
Nadhani unawapa credit kubwa sana hawa kiasi kwamba watu wanatakiwa kujali wanachosema.

Wanachofanya ni kujaribu kusabotage maana kwa muda sasa hivi hawana puppet President. Hawajawahi kuwa na Rais Afrika ambaye anaweza kuwaambia "hapana" na wakawa hawana la kufanya. Kinachotokea ni majaribio tu ya kumstabilize Magufuli. Usije kushangaa hawa hawa wakageuka baadaye na kuaanza kuimba sifa za Magufuli.

Inanikumbussha jinsi gani Western media walivyojitahidi sana kumdiscredit Nyerere wakati wake... as a matter of fact.. hata kwenye nchi zao media wasipokupenda na usipochukua msimamo wao wa kilibererali unakuwa ni target yao kubwa..
Sawa lakini Rais wetu nae inaonekana anafurahia na kuunga mkono mambo ya kipuuzi yanayoendelea nchi kama jamaa walivyo elezea!!!!!!
Nchi haiwezi kusonga kwa VITISHO,MAUWAJI, UTEKAJI NA KUWAZIBA WATU MIDOMO!!!
 
Wewe unayeyaleta humu ndio unakosea na kuyakuza, ungeacha huko huko ulipokuta. Nani kakwambia Watz tunasoma hayo magazeti yao???
 
Nadhani unawapa credit kubwa sana hawa kiasi kwamba watu wanatakiwa kujali wanachosema.

Wanachofanya ni kujaribu kusabotage maana kwa muda sasa hivi hawana puppet President. Hawajawahi kuwa na Rais Afrika ambaye anaweza kuwaambia "hapana" na wakawa hawana la kufanya. Kinachotokea ni majaribio tu ya kumstabilize Magufuli. Usije kushangaa hawa hawa wakageuka baadaye na kuaanza kuimba sifa za Magufuli.

Inanikumbussha jinsi gani Western media walivyojitahidi sana kumdiscredit Nyerere wakati wake... as a matter of fact.. hata kwenye nchi zao media wasipokupenda na usipochukua msimamo wao wa kilibererali unakuwa ni target yao kubwa..
Kum stabilize au kum destabilize?
 
Pascal Mayalla rogue ni tapeli,jambazi mhuni.....what goes around comes back around ukizoea kutukana wemzako siku ukotukanwa wewe kuwa mpole.....Tuliitwa wajinga sisi wapumbavu pale Jangwani tukawa wapole...na yeye atulie sasa Rogue pres!
 
Hakuna la Uongo hapo kwa mujibu wa upeo wangu wa kufikiri. Labda kwa upeo wako ulipoishia kufikiri Ndio hapo.

Na hilo jarida wamesahau kuongeza huyo ni Raisi wa jamhuri ya watu wa Ccm sio rahisi kwa vyama vingine Tanzania.
Dear sister
Jaribu kumsoma pascal Mayala between the lines utamuelewa
Ameandika kwa njia ya satire (kejeli) mfano ameandika
"Hakuna rais anyechukia matendo ya Mnyeti na Bashite kama Magufuli" sasa soma katikati ya mistari hapo
 
Siyo wengi wamelisoma sasa usijegeuziwa kibao na kuitwa mchochezi kwa kusambaza hayo unayoyaita matusi, ngoja niishie hapa mjomba Pasco.
 
Nadhani unawapa credit kubwa sana hawa kiasi kwamba watu wanatakiwa kujali wanachosema.

Wanachofanya ni kujaribu kusabotage maana kwa muda sasa hivi hawana puppet President. Hawajawahi kuwa na Rais Afrika ambaye anaweza kuwaambia "hapana" na wakawa hawana la kufanya. Kinachotokea ni majaribio tu ya kumstabilize Magufuli. Usije kushangaa hawa hawa wakageuka baadaye na kuaanza kuimba sifa za Magufuli.

Inanikumbussha jinsi gani Western media walivyojitahidi sana kumdiscredit Nyerere wakati wake... as a matter of fact.. hata kwenye nchi zao media wasipokupenda na usipochukua msimamo wao wa kilibererali unakuwa ni target yao kubwa..
Umejibu vyema
Media can build or destroy you
Wateteaji wake endeleeni kumtetea time will tell
Hata kama ni 20yrs down the road atakuwa destroyed to the maximum nanyi mtakuja kusema oh kumbeeee
Enyi wateteaji wake muwe na huruma au hekima zaidi kumshauri swahiba wenu
Ni Kuongoza sio Kutawala Kuzidisha upendo na umoja sio Kubomoa umoja na Upendo tulioachiwa na Mwl Julius
Aache double standards ukabila udini na kuminya demokrasia
Ni Raisi wa WaTz wote sio nusu nusu
Alipokuwa JK uliongoza jukwaa zote humu kumkashifu au sababu alikuwa mwislam na hakuwa msukuma! Hizi ndio double standards zako
Aliyoyafanya JK hayana tofauti kubwa na anayoyafanya huyu so kwa nini asiandikwe vibaya?

Well done The Economist! More to come
 
Yesu mwenyewe alitukanwa na kudhihakiwa sembuse Magufuli
Hakuna kipya kwenye hiyo makala wala kwa yanayosema humu. Magufuli anasimama kwenye muda wake na anatenda haki japo mam-provoke kila uchao.
Magufuli ana Mungu. Sitegemei waliotumbuliwa na wezi watampenda
 
Nashauri kwamba hao waandishi wa hilo gazeti wakamatwe na kushtakiwa na serikali yetu tukufu, kisha nao wapate kifungo kama walivyofungwa Kina Sugu( Mbunge wa Mbeya Mjini).Kifungo cha Miezi sita kila mmoja kitawafaa sana,,, Hatuwezi kukubali Raisi wetu mtukufu sana atukanwe hivyo.....na hawa waandishi wa magazeti ya wazungu,,wasiojua neema tuliyoipata kama nchi baada ya kumpata huyu kiongozi.
Ni muhimu sana waandishi hao wa wafungwe,,, Rais wetu ni Mwanademokrasia sana,,,, Hao wanaomwita dikteta hawamuelewi,, Na hata uchumi wa nchi unakuwa sana,,,,, ndio maana watanzania hawaruhusiwi kutamka Vyuma vimekaza mambo ni Mazuri mno. Hata miili inayookotwa kwenye bahari na mito,, inatoka kwa nchi majirani zinazoizunguka nchi yetu pendwa inayoongozwa na Raisi Mtakatifu,,,, atakayekuja kuwa kiongozi wa Malaika Mbinguni.
 
Back
Top Bottom