Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea kunyamaza, itafika siku Uongo huu utageuka Ukweli!

Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea kunyamaza, itafika siku Uongo huu utageuka Ukweli!

Watuache Waafrika tuendelee na kanuni zetu za kiutawala, wao wanataka tufuate kanuni yao wanayoita democracy! Sisi system yetu ya kiutawala ni kama zile Chifu Mkwawa, Mtemi Mirambo, Chifu Isike, nk. Hatutaki watulazimishe wanayoyataka wao
Utakuta ati nawe ni msomi [emoji85] Kwa nini wafuasi wa viongozi wetu ni watu wasiojielewa hivi ?! UCHIFU NA UTEMI KARNE HII KWELI ?!
 
Paskal,hili jarida halijakosea chochote kweli huyu raisi wetu ni "rogue president", tafsiri ya "rogue" ni "dishonest or unprincipled man"...

Sasa Paskal nambie kweli huyu raisi wetu hana "profile" ya "dishonest or unprincipled man" (kutokuwa muaminifu na hana kanuni),..

Raisi anaposema waziwazi kuwa hawa" msiwavunjie kwasababu wamenipigia kura",raisi hafati sheria wala katiba za nchi,kama huyu mtu si rogue ni nani,..!??

Raisi wetu hayuko "muaminifu" kwa raia wake,hana "kanuni" za kuwaongoza anaowaogoza,anaongoza anavyotaka yeye,...,unapoongoza kwa kuwabagua unaowaongoza unafikiri huyu jamaa ni nani kama si "rogue president"
 
mahakama kazi yake ni nini? kama kila mtu atachukulia hatua kwa yale anayosikia na kuyaona? nenda mahakamani wacha ujinga, ndio maana mnaitwa washamba
 
JAMAA NI MWANA FASIHI MZURI.

ANAJUA KUITUMIA FASIHI YAKE VIZURI.
"THE BEATYFUL ONES ARE NOT YET BORN". UKISOMA KICHWAKICHWA UTADHANI MADEMU LAKINI....... WANAOFAHAMU MAANA YA "IRONY/SARCASM/SATIRE/CAUSTIC REMARK" NDIO WAMEMWELEWA.

SISHANGAI KUONA WADAU WANAMSHAMBULIA.
WENGI SIYO WASOMI.

THREAD ZAKE NYINGI KAZIANDIKA KWA MTINDO HUO.
Tuko pamoja sana mkuu.
 
Mkuu Pascal wanaosoma magazeti ya kiingereza humu JF ni Mimi na wewe tu wengine huwa hasomi

Gazeti Kama The citizen au Guardian tunasoma watu wawili tu nchi nzima usihofu taarifa haitasambaa sana
Hilo nalo ni tusi jingine jipya kwa PiiheechiDii Just Praise Me.
 
Kweli Mayala, maelezo hayo nimeyaona Jana na mbaya zaidi yakishabikiwa na mtanzania mwenzetu akishiriki kumkashifu raising JPM! Je, tufanye nini kwa hawa wenye jarida hili linalomtukana raisi wetu?
Kwahiyo wewe hujui chakufanya mpaka Pasco au yule msukuma wa Detroit akwambie?
 
Sijui ni mie peke yangu, lakini nikijaribu kulisoma hili bandiko la Pascal Mayalla between the lines, naona kama vile anapigia mistari makala nzima ya gazeti hilo..
Kiukweli Pascal Mayalla ka-highlight "mambo muhimu" kwenye hayo makala kwa rangi ing'aayo sana ili yasomeke vizuri from a distance. Kaamua kuyaweka kabisa kwenye yale mabango makubwa ya TV barabarani ili "kilichomo" kisomeke vizuri hata na wenye uono hafifu kama wale fisimaji wa mtaa gani sijui.
 
Huu uongo wa kila siku kumuita rais Magufuli kuwa ni Dikiteta na hakuna anayekanusha, mimi naogopa sana pale uongo unaposemwa na kuachwa kujirudia rudia bila kukanushwa, ..
Paskali
Tena mi naona The Economist wamekuwa wapole mno...huyu jamaa ni Ibilisi kabisa!
 
Nadhani unawapa credit kubwa sana hawa kiasi kwamba watu wanatakiwa kujali wanachosema.

Wanachofanya ni kujaribu kusabotage maana kwa muda sasa hivi hawana puppet President. Hawajawahi kuwa na Rais Afrika ambaye anaweza kuwaambia "hapana" na wakawa hawana la kufanya. Kinachotokea ni majaribio tu ya kumstabilize Magufuli. Usije kushangaa hawa hawa wakageuka baadaye na kuaanza kuimba sifa za Magufuli.

Inanikumbussha jinsi gani Western media walivyojitahidi sana kumdiscredit Nyerere wakati wake... as a matter of fact.. hata kwenye nchi zao media wasipokupenda na usipochukua msimamo wao wa kilibererali unakuwa ni target yao kubwa..

very well articulated Mzee Mwanakijiji

mwenye masikio na asikie...
 
Mkuu huyu ni Raisi chaguo la Mungu
Na anasubiriwa mbinguni kupewa cheo cha kuongoza maika uchumi umepanda kila Mwanaichi wa tz ana uhakika wa kula milo hata 10 kwa siku
Afanye haraka apate kwenda kuongoza malaika wa mbinguni.
 
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limekiri kuwafurusha waombolezaji waliokuwa katika msiba eneo la Mabatini, kwa mabomu ya machozi kwa madai ya Chadema kutumia msiba huo kufanya vikao vya siri vya kisiasa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza DCP Ahmed Msangi amesema "Ni kweli tumewafurusha, na tutaendelea kuwafurusha. Hatuwezi kuruhusu misiba kutumika kama kichaka cha kufanyia siasa. Kama watu wanataka kufanya mikutano ya kisiasa wafuate utaratibu. Waje waombe kibali kama wenzao (CCM) na sisi tutaamua either kuwaruhusu au kutowaruhusu, sio kutumia msiba kufanya siasa. Waambieni wakikusanyika tutawafurusha tena. Na sio kwenye msiba tu, hata kwenye harusi, matanga, vikao vya ukoo tukigundua wanafanya siasa tutawafurusha. Hata hivyo this time tumetumia nguvu ndogo sana. Siku nyingine tutatumia nguvu kubwa zaidi."


AKIANDIKWA VIBAYA PASCAL UNALALAMIKA.
 
Back
Top Bottom