Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea kunyamaza, itafika siku Uongo huu utageuka Ukweli!

Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea kunyamaza, itafika siku Uongo huu utageuka Ukweli!

n.

Uongo kwenye Makala hii ni kama ifuatavyo.
​
  1. Kichwa cha habari, Democracy under assault Tanzania’s rogue president, Japo ni kweli demokrasia yetu Tanzania iko under assault, jee ni kweli rais Magufuli ni rogue?​
Paskali

Hahahaha! Mkuu Pascali u hodari sana wa kukoroganya watu.

Unanikumbusha sana namna Polisi wetu wanavyofanya kazi. Huwa wanamkamata mtu, wanamtia hatiani, wanamhukumu kwa maneno na vipigo, halafu wanampekela mahakamani - sio akashitakiwe, bali wakitarajia akapemewe hukumu nyingine zaidi ya ile waliyomhukumu tayari!

Sasa Mkuu Paskali umeshasema "Uongo kwenye Makala hii ni kuweka kichwa cha habari "Democracy under assault by Tanzania's rogue president", iweje tena unatuuliza ni kweli raisi Magufuli ni rogue preseident?

Ila mie nimekupata sana. Ila kusaidia wale ambao hawajakupata nitasema tuanzie hapa, tutathmini mambo kisayansi, kisomi sio kishabiki

Sasa tuanze na nini maana ya "rogue person"?

Rogue person: no longer obedient, belonging, or accepted and hence not controllable or answerable; one that does not conform to a desired standard e.g rogue cop

Rogue person kwa kiswahili = mtu ambaye hasikilizi/hana staha tena, haendani au kukubalika na wengine na hivyo hadhibitiki na hawajibishwi na yeyote, na hafuati kanuni/viwango/taratibu zinazokubalika

Sasa tuanishe: Magufuli Vs rogue president

upload_2018-3-16_11-2-13.png


Sasa imagine unam-score Magufuli katika hivyo vipengele vitano hapo juu, kila kimoja ukimpa pointi za juu kabisa 20 na chini kabisa 0. Atapata maksi ngapi jumla?

Kama akipata maksi zozote zaidi ya 50, basi The Eonomist hawajakosea. Na akipata zaidi ya 81%, basi the Economist wamempendelea (modest), maana itakuwa Magufuli ni zaidi ya kuwa rogue president. In fact wametusifia kuwa sisi Tanzania ni "democracy" kitu ambacho huwezi sema kwa nchi nyingi.

Kumbuka ukiwa mlevi nikasema wewe ni mlevi, basi sijakutukana, nimeongea ukweli ulivyo (fact based on observation) na si kuwa ninatoa maoni (opion).
 
Kikulacho kinguoni mwako! Hizi ni mbio za kupokezana vijiti za ukoloni maomboleo kwa jina la watetezi wa demokrasia, wanaharakati wa haki za binadamu, uhuru wa vyombo vya habari pamoja na mawakala wao ambao ni ndugu zetu wa damu! Nitashangaa kama kuna kiongozi ataliona jambo hili kama geni! Siku zote akutukanaye akuchagulii tusi! Na ukiona umetukanwa ujue aliye kutukana umemzidi maarifa katika medani ya vita! Sasa, basi sisimizi Magufuli, anampigisha kwata tembo! Tayari Magufuli yuko ndani ya mkonga wa tembo, na tembo hana cha kufanya zaidi ya kutia rabsha za hapa na pale. HEKO, DR. MAGUFULI rais wa Tanzania, bepari, mnyonyaji wa raslimali za nchi kwa kivuli cha uwekezaji, demokrasia na utawala bora, umemshikisha adabu! Maendeleo kwanza, siasa baadae!
 
Mimi nawaunga mkono!! Wamesema mambo ya kweli!!

Alafu kwanini unasema magufuli ni baba yangu? Una akili timamu? Toka lini magufuli akawa baba yangu??

Waliyoyasema ni ya ukweli na hamna waliloficha!!
 
Nimependa sana uandishi wako,umeandika kwa lugha ngeni halafu umetafsili hata sisi wengine tulioishia la 3 B tumekuelewa. hoja yangu ni kwamba hao wanaosema hivyo wanatakwimu?
 
Wanabodi,

Angalizo Kuhusu Uzalendo.
Rais wa nchi ni kama baba kwenye familia, na sisi wananchi wote, rais ni kama baba yetu, sisi Watoto, inapotokea baba anakosea, tunaweza kumkosoa na tukilewa tunaweza hata kumtukana, na isiwe a big deal!, lakini huwezi kuona baba yako anatukanwa na wewe ukakaa kimya, vivyo hivyo kwa rais Magufuli, Watanzania wazalendo, hawawezi kuona rais wao akitukanwa na kusingiziwa uongo, huku tumekaa kimya. Ukiona rais wako anatukanwa na kudhalilishwa na wewe kukubali na kukaa kimya au hata kushangilia, ujijue una matatizo!, ukimuimagine rais Magufuli kama ni baba yako, hutataka atuanwe, udhalilishwe, asingiziwe uongo.

Sio mara moja wala mara mbili, nimekuwa nikisisitiza humu, uongo ukisemwa sana, na kuachwa kujirudia rudia bila kukanushwa, mwisho wake sio tuu utaonekana kama ni ukweli, bali unaweza kugeuka ndio ukweli wenyewe kwa sababu kauli huumba!.

Ni muda sasa jarida la The Economist limekuwa likiisema vibaya nchi yetu, na kumsema vibaya rais wetu, ikiwemo kumuita majina ya ajabu ajabu, mimi nikiwa ni mwandishi wa habari, kanuni kuu nambari moja kwa mwandishi wa habari, ni kusema ukweli daima, hivyo sina tatizo kabisa na chochote kitakachoandikwa kwenye gazeti, kama ni cha kweli, lakini natatizwa sana na uongo wowote unaoandikwa kwenye magazeti na majarida ya kimataifa, likiwemo jarida hili la The Economist, kwa lengo la kuhadaa ulimwengu kwa kutoa story za uongo kuhusu Tanzania, na kuzieneza kimataifa, wanaoujua ukweli kuhusu haya yanayosemwa ni sisi Watanzania, nchi yetu inatungiwa uongo, tumenyamaza!, rais wetu anatungiwa uongo!, anapachikwa majina ya ajabu ajabu, anadhalilishwa na kutukanwa!, sisi tumenyamaza!, kwa vile uongo huu unasambazwa kimataifa na huku sisi tumenyamaza bila kuukanusha, matokeo yake sio tuu jamii ya kimataifa, itatuelewa hivyo na kumuelewa rais wetu hivyo, bali uongo ukisemwa sana bila kukanushwa, hugeuka ukweli, hivyo kuyanyamazia haya, kunaweza kupelekea haya kuja kutokea Tanzania kwa siku za usoni!.

The Economist walianzia hapa ‪Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist"

Tukanyamaza, sasa wameibuka tena na uongo mwingine

Tanzania's rogue president - Democracy under assault - The Economist

Katika report hiyo, wamemtukana rais wetu kuwa Rogue President. Kwa vile mimi sijui Kiingereza, ilinibidi nikatafute kamusi kuangalia neno rogue ni nini, mtu anaeitwa rogue ni mtu wa namna gani, na taifa likiitwa rogue state ni taifa la namna gani, naomba kwa heshima ya rais wetu, nisitoe ufafanuzi wa neno hilo, ila kwa kifupi ni rais wetu ametukanwa!.

Kwenye report yao, wameripoti mambo mengi ya uongo kuhusu Tanzania, na mambo mengi ya uongo kumhusu rais wetu.

Story yenyewe ni hii, naomba nisiitafasiri nisije nikabadili maana, ila nimekufahamu kutukanwa huku kupita thread hii
Economist: Tanzanias Rogue President
Democracy under assaultTanzania’s rogue president
Strong constitutions matter
Mr Magufuli was an unlikely candidate to run Tanzania. Though it has had multiparty elections since 1994, the country has been run exclusively by one organisation, Chama Cha Mapinduzi (CCM), the “party of the revolution”, since its formation in 1977. But unlike his predecessors, Mr Magufuli is no party man. In the nomination process for the election of 2015 he was not the favourite of any faction. Facing the biggest challenge to its rule since 1994, however, the party seemed minded to pick somebody with the aura of being an “outsider” who was not tainted by the allegations of corruption dogging it. Mr Magufuli seems to have won by having few enemies rather than many allies.

Within weeks of taking office, he excited even sceptics. He turned up at offices to check if Tanzania’s famously lackadaisical civil servants were at work. Businesspeople swooned after he sacked dozens of officials suspected of cronyism. In neighbouring Kenya, where president Uhuru Kenyatta’s government has not prosecuted a single major corruption case in six years, fans demanded their own Magufuli.

But the honeymoon did not last long. When Mr Magufuli last year presented Acacia, a London-listed gold-mining company, with a bill for $190bn in supposedly unpaid taxes (a figure equivalent to roughly four times Tanzania’s entire GDP), it was the latest confirmation that Mr Magufuli’s anti-corruption strategy is about as precise as a blunderbuss. He distrusts not only Western investors but also the Chinese, who are building infrastructure across east Africa. He tells his ministers that they are “not the same Chinese” as the Maoists who built the Tazara railway line linking Tanzania to Zambia in the 1970s. Rather than being freed from corruption, the economy is grinding to a halt under the weight of arbitrary tax demands.

Mr Magufuli’s approach to political opposition is no better. Though CCM has never lost an election, in recent years Tanzania’s politics did seem to have been opening up. Under Mr Magufuli, that has all changed. Less than a year after coming to power, he had banned all political rallies (the president gets around the ban himself by having “non-political” public events with civil servants). MPs are allowed to campaign only in their own constituencies (and several have been arrested). Several newspapers have been temporarily closed by the government, and two, linked to Chadema, an opposition party, remain so.

Extrajudicial violence, which used to be almost unknown on the mainland, is escalating. In September Tundu Lissu, a prominent opposition MP, was shot and injured outside his house in Dodoma, the sleepy capital. Minor political figures have simply disappeared.

Not all of the violence is by the state. Over the past year about a dozen police officers have been killed in Kibiti, a mostly Muslim coastal town about 70km south of Dar es Salaam. The police have seemingly responded in kind. Yet little news leaks out from the region. Foreign journalists are turned back long before they reach Kibiti; a Tanzanian journalist investigating the killings has been missing for three months.

Tanzania’s politics have never been truly open, but what is different now is that even CCM, which is by far the country’s most stable institution, is cowed. Under Tanzania’s constitution, little changed since it was written in 1977 by Julius Nyerere, the country’s founding father, power is almost entirely concentrated in the presidency (Nyerere himself once joked to a BBC reporter: “I have sufficient powers under the constitution to be a dictator”). Mr Magufuli is both head of state and chairman of the party, with the power to hire and fire civil servants, including judges, as he pleases. On taking office, he quickly filled important posts in the government and the party with his own allies.

Few are willing to speak up against the presidency, says one CCM MP. There is little hope of change coming through the ballot box since the opposition is crushed and the next election, in 2020, will probably be rigged. Nor is there much hope that the party can restrain Mr Magufuli. Some hope that Jakaya Kikwete and Benjamin Mkapa, two former presidents, can persuade him to change course. Others dream, seemingly forlornly, that the party will revolt.

The main lesson of Tanzania is that constitutions which concentrate power in the presidency can quickly be subverted. Democracy flourished between 1994 and 2015 because the bigwigs in CCM saw the benefits of a more open, pluralistic economy. But they failed to do the tedious work of strengthening institutions and limiting the powers of their successors. Now they have lost their chance to embed the reforms and the country faces ruin. That should be a lesson to other African elites.

This article appeared in the Middle East and Africa section of the print edition under the headline "Falling into dictatorship"
Mkuu Nairobian, asante kutujulisha jinsi rais wetu anavyotukanwa na hili jarida la the economist, ngoja nimweleze Dr. Abasi pale Maelezo ili jarida hili lipewe onyo na ikibidi lifungiwe kama the East African.

Uongo kwenye Makala hii ni kama ifuatavyo.
​
  1. Kichwa cha habari, Democracy under assault Tanzania’s rogue president, Japo ni kweli demokrasia yetu Tanzania iko under assault, jee ni kweli rais Magufuli ni rogue?​
  2. Mr Magufuli was an unlikely candidate to run Tanzania-hapa wanamaanisha Magufuli hana uwezo wa kuitawala Tanzania!, jee hii ni kweli?.​
  3. Though it has had multiparty elections since 1994, the country has been run exclusively by one organisation, Chama Cha Mapinduzi (CCM), the “party of the revolution”, since its formation in 1977. Hii ni kweli.​
  4. But unlike his predecessors, Mr Magufuli is no party man-hapa wanasema Magufuli hakuwa kada!, jee ni kweli?.​
  5. In the nomination process for the election of 2015 he was not the favourite of any faction-hapa wanadai katika uteuzi Magufuli hakuwa anapendwa na upande wowote!, hii ni kweli?.​
  6. Facing the biggest challenge to its rule since 1994, however, the party seemed minded to pick somebody with the aura of being an “outsider” who was not tainted by the allegations of corruption dogging it. Wanasema kuduatia CCM kuchafukwa kwa rushwa, waliamua kumtafuta mtu baki.​
  7. Mr Magufuli seems to have won by having few enemies rather than many allies. Magufuli alishinda uteuzi kwa sababu alikuwa na maadui wachache, lakini sio wengi waungaji mkono wengi.​
  8. Within weeks of taking office, he excited even sceptics. He turned up at offices to check if Tanzania’s famously lackadaisical civil servants were at work. Hapa wamewatukana watumishi wote wa umma Tanzania kwa kuwaita lackadaisical civil servants, jee ni kweli watumishi wetu wa umma ni lackadaisical?.​
  9. Businesspeople swooned after he sacked dozens of officials suspected of cronyism. In neighbouring Kenya, where president Uhuru Kenyatta’s government has not prosecuted a single major corruption case in six years, fans demanded their own Magufuli. Hapa wanaisifu kasi yake ya tumbua tumbua za mwanza zilizofanya Kenya watake kuwa na Magufuli wao.​
  10. But the honeymoon did not last long. When Mr Magufuli last year presented Acacia, a London-listed gold-mining company, with a bill for $190bn in supposedly unpaid taxes (a figure equivalent to roughly four times Tanzania’s entire GDP), it was the latest confirmation that Mr Magufuli’s anti-corruption strategy is about as precise as a blunderbuss. Hapa wanamponda kuwa vita vyake vya rushwa ni blunderbuss!. Wamezungumzia bili ya Acacia kuwa ni mara 4 ya GDP ya Tanzania!, hii ikimaanisha wanaitangaza Tanzania kama nchi ya ajabu, kuwa huwezi kudai bili ya mara 4 ya GDP yako!, na hapa ndipo Watanzania tunabidi kuungana na rais wetu kuwa hata kipimo cha GDP yetu kiko chini kwa sababu utajiri wetu wote ulikuwa unaibiwa!, hivyo baada ya kutolea Acacia ile bili ya $190bn. BOT ipeleke WB taarifa hiyo ijumlishwe kwenye pato la taifa, hivyo kuinua GDP yetu!. Kumbe Tanzania ndio nchi mzalishaji kubwa wa dhahabu number moja duniani!, lakini dhahabu yetu yote ilikuwa inabiwa na hawa Acacia!. Tuwadai Fedha zetu, watu tupewe Noah zetu!.​
  11. He distrusts not only Western investors but also the Chinese, who are building infrastructure across east Africa. Hapa wanasema Magufuli hawaamini wawekezaji wa Ulaya na hata Wachina!. Huu ni uchonganishi!, jee ni kweli rais Magufuli hawaamini wawekezaji?.​
  12. He tells his ministers that they are “not the same Chinese” as the Maoists who built the Tazara railway line linking Tanzania to Zambia in the 1970s. Jee ni kweli rais Magufuli amewaambia mawaziri wake kuwa wawekezaji wa kichini hawa wa sasa sio kama wale wa Enzi za Mao?.​
  13. Rather than being freed from corruption, the economy is grinding to a halt under the weight of arbitrary tax demands. Wanadai badala ya rushwa kupungua, uchumi wa Tanzania unaporomoka na serikali inakamua kodi za ajabu!.​
  14. Mr Magufuli’s approach to political opposition is no better. Though CCM has never lost an election, in recent years Tanzania’s politics did seem to have been opening up. Under Mr Magufuli, that has all changed. Less than a year after coming to power, he had banned all political rallies (the president gets around the ban himself by having “non-political” public events with civil servants). MPs are allowed to campaign only in their own constituencies (and several have been arrested). Several newspapers have been temporarily closed by the government, and two, linked to Chadema, an opposition party, remain so. Hapa kuna ukweli na ndio huu udikiteta tunaouzungumza.​
  15. Extrajudicial violence, which used to be almost unknown on the mainland, is escalating. In September Tundu Lissu, a prominent opposition MP, was shot and injured outside his house in Dodoma, the sleepy capital. Minor political figures have simply disappeared. Hii ni kweli.​
  16. Not all of the violence is by the state. Over the past year about a dozen police officers have been killed in Kibiti, a mostly Muslim coastal town about 70km south of Dar es Salaam. The police have seemingly responded in kind. Yet little news leaks out from the region. Foreign journalists are turned back long before they reach Kibiti; a Tanzanian journalist investigating the killings has been missing for three months. Kunakitu hapa kimezungumzwa kuhusu Kibiti, naomba nisikiseme, ila wanadai waandishi wa nje wamezuiliwa wasikaribie Kibiti na kumtaja Azori aliyepotea hadi sasa.​
  17. Tanzania’s politics have never been truly open, but what is different now is that even CCM, which is by far the country’s most stable institution, is cowed. Hapa wanadai siasa Tanzania hazijawahi kuwa za uwazi! ba sasa hata CCM wenyewe ni waoga!, huu ni uongo wa ncha kweupe!.​
  18. Under Tanzania’s constitution, little changed since it was written in 1977 by Julius Nyerere, the country’s founding father, power is almost entirely concentrated in the presidency (Nyerere himself once joked to a BBC reporter: “I have sufficient powers under the constitution to be a dictator”). Hapa wanasema ni Katiba ya Tanzania inayompa mamlaka rais wa Tanzania akitaka kuwa dikiteta anaweza. Kama ni katiba ya Tanzania inamruhusu rais kuwa Dikiteta na Nyerere anasema hakutaka, them Magufuli ametaka, hivyo kila anachokifa kiko kwenye Katiba!, swali linabaki jee ni kweli kila anachofanya rais Magufuli, anafanya kwa mujibu wa Katiba?.​
  19. Mr Magufuli is both head of state and chairman of the party, with the power to hire and fire civil servants, including judges, as he pleases. On taking office, he quickly filled important posts in the government and the party with his own allies. Hapa pia ni uongo wa mchana kweupe kuwa rais Magufuli anaweza kufukuza kazi watumishi wote hadi majaji!. Sii kweli, wanamsingizia, rais gana mamlaka ya kumfukuza kazi jaji!.​
  20. Few are willing to speak up against the presidency, says one CCM MP. There is little hope of change coming through the ballot box since the opposition is crushed and the next election, in 2020, will probably be rigged. Hapa wanasema Magufuli anaogopwa sana kuambiwa ukweli. Sisi hapa jf hatumuogopi rais Magufuli bali tunamuheshimu, ndio maana kila ukicha tunampa ukweli point blank, ila hapa pia wamedanganya kuwa uchaguzi wa 2020 utavurugika!. Hawa the Economist bi prophets of the doom, wanatiombea mabaya, leo ni 2018, uchaguzi ujao ni 2020, wamejuaje uchaguzi utaharibika?!.​
  21. Nor is there much hope that the party can restrain Mr Magufuli. Hapa wanadai eti kuna matumaini CCM, itamzuia Magufuli asigombee tena!, sijui ni nani anayewadanganya watu hawa!, CCM gani ya kumzuia Magufuli?!, kama hapa alipo, Magufuli tayari yuko juu ya Katiba, hawajui kuwa Magufuli ndie CCM!, na CCM wanaule uratibu wao wa rais aliye madarakani hapingwi!, kuna CCM gani ya kumzuia Magufuli wakati yeye ndiye CCM?.​
  22. Some hope that Jakaya Kikwete and Benjamin Mkapa, two former presidents, can persuade him to change course. Others dream, seemingly forlornly, that the party will revolt. Haua pia ni matumani ya ndoto kuwa Mkapa na JK watamkabili Magufuli kumshawizi abadlike,na eti wana CCM wataasi!. Hawajui kuwa CCM ni kipusa watu wanagombea kujiunga!.​
  23. The main lesson of Tanzania is that constitutions which concentrate power in the presidency can quickly be subverted. Hapa wanazungumzia matumaini ya Katiba mpya!.​
  24. Democracy flourished between 1994 and 2015 because the bigwigs in CCM saw the benefits of a more open, pluralistic economy. But they failed to do the tedious work of strengthening institutions and limiting the powers of their successors. Now they have lost their chance to embed the reforms and the country faces ruin. That should be a lesson to other African elites. Hapa kuna ukweli ila jee ni kweli taifa letu linakwenda kuangamia?.​
Jarida hili lina international circulation, hivyo uongo wake unasambaa dunia nzima. Mara ya kwanza wamemtukana rais wetu kuwa ni dinaeauria wa Dodoma, tukawaacha, leo wamemtukana rogue tukiwaacha, kesho tena watakuja na tukano jingine!. Mimi wasiwasi wangu ni kwa huu uongo anaosambazwa kimataifa, huku vyombo vyetu vipo, vinajua ni uongo, kwa nini vinanyamaza?. Kauli huumba, hata mjusi tuu, kila siku ukimuita kenge, kuna siku hiyo kaulli yako itambadili huyo mjusi na kugeuka kenge ukweli!. Huu uongo wa kila siku kumuita rais Magufuli kuwa ni Dikiteta na hakuna anayekanusha, mimi naogopa sana pale uongo unaposemwa na kuachwa kujirudia rudia bila kukanushwa, sio naogipa kwa sababu uongo huo unaweza kuonekana kama ukweli, bali naogopa sana uongo huu utakapo kuja kugeuka na kuwa ndio ukweli ukweli!, na wakati huo ukifika!, sina hata uhakika sisi tunaowapeni taarifa hizi kama tutakuwepo!, maana mageuzi hayo ninayoyaogopa, mara zote huanzia na watu wa sekta yetu!.

Nawatakia Furahi Day Njema,

Paskali
Kuna mambo ya kushangaza hapa duniani, na kuna wakati nakushangaa sana Mhe. Paskali. Rais hawezi kulinganishwa na baba wa familia. Na maneno haya ndicho chanzo cha viongozi wetu kuwanyanyasa raia wao kwa kudhani wao ni bora kuliko mwingine yeyote. Hii sio kweli. Ukweli ni huu.
1. Katika Jamhuri hii ya Muungano wa Tanzania, watu wote tuna hadhi sawa ila tuna majukumu tofauti.
2. Kwa maana hiyo hakuna baba, mama, kaka au dada wa mwenzie. Heshima ya ubinadamu wa Rais ni sawa na heshima ya ubinadamu wa mtoto wa dakika chache tangu aingie duniani. Sote ni watanzania wa daraja moja wenye majukumu tofauti.
3. Wote tunaongozwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania- Hakuna haki wala sababu itakayopelekea mtu yeyote awaye kujunjwa kwa hata mstari mmoja sembuse kifungu kimoja cha katiba aachwe salama.
4. Rais wa Jamhuri akithibitika kuvuja katiba kwa makusudi ndilo kosa pekee linaweza kumtoa madarakani.
Yote uliyoyasema kuhusu vyombo vya habari vya magharibi ninakubaliana nayo. Tumtetee Rais kwa maana anawalisha hadhi yetu na si kwa kuwa kama baba. Tumtetee rais kwa kuwa amesheshika ngao yetu kwa kuwa ni miongoni mwetu.

Kwa kuwa Paskal ni " objective writer" jitoe katika ushabiki usiokuwa na mbele wala nyuma, tunakuheshimu. Acha upotoshaji.
 
Back
Top Bottom