Uchaguzi 2020 Rais Magufuli amnadi Patrobas Katambi, aahidi kumpa kazi nyingine Stephen Masele

Hapo ndo mjue Rais Magufuli ni genius, unaweza ukazani kamsahau mtu ama kamuonea kumbe anampango naye mwingine mkubwa, mfano ni huyo Steven Masele.

Ambaye anaweza kuwa balozi kuwakilisha nchi kwenye taifa jingine, ama SADC, AU, na UN.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hauko serious mkuu, kwamba jiwe ni genius?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu ndiye mgombea anayewania nafasi ya kuwa Amiri Jeshi Mkuu lakini hajui mfumo wa vyombo vya ulinzi na usalama vinavyotambuliwa kidheria. Mgambo chini ya JWTZ na peoples militia (Sungusungu) chini ya jeshi la Polisi.
 
Magufuli ameshajikubalisha kwamba atakuwa rais mpaka anaanza kutangaza nani atampa kazi gani?

Yani hajashinda uchaguzi kashaanza kutangaza nani atampa kazi gani?
 
Wewe uliyesema Lissu hatorudi bado unataka tuendelee kukuamini ? Lissu amerejea na anatwaa Urais wa Nchi , natambua kuna wengi hawaamini lakini hii nakupa ili ujiandae kisaikolojia .

Nothing lasts longer
 
Sura ya katambi unaweza kumtishia shetani akakimbia
 
Katambi anatakiwa aanze clinic ya meno kwanza
 
Hapo ndo mjue Rais Magufuli ni genius, unaweza ukazani kamsahau mtu ama kamuonea kumbe anampango naye mwingine mkubwa, mfano ni huyo Steven Masele.

Ambaye anaweza kuwa balozi kuwakilisha nchi kwenye taifa jingine, ama SADC, AU, na UN.
Hivi wewe unafikiri ukuu wa mkoa unadili zaidi ya ubunge?sasa kwa nn asimpe ukuu wa mkoa huyo katambi wake akamwacha aliyeshinda kura za maoni?
 
Hii ni katika kuweka sawa kura za chama cha mapinduzi
 
Kwa hiyo anataka sisi mjini tuchague polygon? Haiwezekani hata mara moja! Katambi hashindi labda akapige mswaki kwanza ili meno yawe meupe?

Aisee kumbe tunawaza sawa huyu jamaa hua ana kinywa kichafu halafu inaonekana wala hajijali
 
Hahahaa kazi anayo magu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…