Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

Acha upumabvu au wewe ndio Mwele mwenyewe? Hiyo zika iko wapi sasa? Iliishaje?

Yani watu 2000 wafe kwa dengue alafu tufichwe?

Pumabvu kabisa
Usimjibu mpumbavu kadri ya upumbavu wake usije kuwa sawa na yeye. Mithali 26:4
 
Kama jambo hujui acha, hujui jinsi mashirika kama WHO ukisema kuna Ebola ni kiasi gani watafaidi na sie kama nchi kutengwa
Na wewe kwa kuweza ku type hako ka sentensi unajiona unaijua WHO?? Wewe ni tasa tu kwenye ubongo kwa kukariri unayoambiwa na watu wenye chuki.
 
Wenyewe walitegemea clinical symptoms na sidhani kama walielewa kuwa ukiwa na antibodies ina maana at one point ulipata exposure.... its more of scientific proof than political maana mwanasiasa yeye ataka sifa tu kuwa hakuna ila watoto wanaozaliwa na microcephaly wanaweza kuwepo... too sad
Halafu mtu anakuanbia Jiwe ana PhD?? Vitu vya msingi tu hawezi kutumia common sense
 
Kuna comment nyingine ukizisoma zinashangaza sana..nadhani kuna wageni wengi walio ndani ya mipaka yetu..mwele anabahati labda kwa sababu ana jina la mstaafu..ile adhabu haikumtosha...ilikuwa ndogo mno.
 
No, please, serology ilionyesha kuwa kuna antibodies against Zika virus! Means kuna infection .. au positive serology had a history of exposure to Zika, sijui kama umesoma immunobiology
Mbona mnadharilisha nchi as if elimu ya immunology mmesoma peke yenu..kuna taratibu za kutoa habari za msiba..lazima kuwe na kigugumizi hasa mnapojua mwathirika atopokea namna gani..sio kurupuka tu..
Angalia NGO zinavopambana na kusaka
Data..unadhani nani wanataka hizo DATA..aibu kwenu sijui mnataka nyie mue marais? Anyway labda 2025.
 
ahaa alisimamia NYEUPE ni NYEUPE sio nyeusi!😆😅😂
Ukisikia mtu anasema Dar kipindupindu hakiwezi kwisha... ukasikia mtu mwingine anajibu Dar kipindupindu ni historia.. kuna mawili hapo "AIDHA MTU HUYO HAISHI DAR AU HAJAWAHI KUFIKA KARIAKOO... KAMA HAJAWAHI KUFIKA DAR AFADHALI MAANA ANATANGAZA HABARI ZA KUAMBIWA... LAKINI KAMA ANAISHI DAR NA AMEWAHI KUFIKA KARIAKOO BASI KUNA MAWILI... MITIRIRISHO YA "MAJI" YALE HUIONA KAWAIDA NA "TAKA" ZILE KWAKE SIO AJABU AMA ATAKUWA NA KALE KAUPOFU ILI UCHAFU ULE UWE SI WA KULETA KIPINDUPINDU!!!
 
21st century mtu anapongeza matundu ya choo! Wonder shall never end.
It's true, wonders shall never end. Katika miradi yote inayoendeshwa na serikali ya awamu ya tano watu wanaona matundu tu??😁😁😁
 
Ukisikia mtu anasema Dar kipindupindu hakiwezi kwisha... ukasikia mtu mwingine anajibu Dar kipindupindu ni historia.. kuna mawili hapo "AIDHA MTU HUYO HAISHI DAR AU HAJAWAHI KUFIKA KARIAKOO... KAMA HAJAWAHI KUFIKA DAR AFADHALI MAANA ANATANGAZA HABARI ZA KUAMBIWA... LAKINI KAMA ANAISHI DAR NA AMEWAHI KUFIKA KARIAKOO BASI KUNA MAWILI... MITIRIRISHO YA "MAJI" YALE HUIONA KAWAIDA NA "TAKA" ZILE KWAKE SIO AJABU AMA ATAKUWA NA KALE KAUPOFU ILI UCHAFU ULE UWE SI WA KULETA KIPINDUPINDU!!!
PAMOJA MKUU WATU VIONGOZI WANAUCHUKIA UKWELI!
 
Magufuli ni sadist shetani mwenye Royo mbaya Alivyo mpuuzi alidhani alivyomfukuza angerudi kulia Lia kwake ulimwengu ulimuona ulijuwa ana PHD halisi sio ya kwake ya kuchonga alie tu uraisi wenyewe umemshinda zero kabisa
 
Bado ana chuki na yule mtoto masikini! Mungu atamlaani Jiwe
Eti atamlaani, wewe ni nani, unamjua Mungu ww, mtajikuta mnajichumia laana wenyewe, mwenzio ni mpango wa Mungu kuongoza hii nchi. Alafu amlaani, mshalaaniwa nyinyi.
 
Sijui dr Mwele alimkosea nn mh Raisi?! Dr Mwele atumwe na mabeberu ili iweje ? Kwa uchumi upi tulionao adi hao mabeberu waweke vita na Tanzania? [emoji27][emoji27]

Hisije ikawa Lemutuz alimfitinisha dada yake wa kufikia kwa Mh Raisi kwa kupitia Bashite

Lemutuz na watoto halali wa Malecela hawaelewani kwa Sababu ya tabia zake
Huo ugonjwa ulikuwepo lkn? What was de motive behind ya kutangaza ugonjwa upo ilhali haukuwepo, what was the agenda behind
 
Back
Top Bottom