Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Usimjibu mpumbavu kadri ya upumbavu wake usije kuwa sawa na yeye. Mithali 26:4Acha upumabvu au wewe ndio Mwele mwenyewe? Hiyo zika iko wapi sasa? Iliishaje?
Yani watu 2000 wafe kwa dengue alafu tufichwe?
Pumabvu kabisa
Na wewe kachukue kadi yako ya clinic wahi kupima mimba yako. Naona kifafa cha mimba kinakusumbuaEndelea kuwatumikia bao mabwana zako huko uliko
Tafadhari kaa mbali na nchi yetu.Tuna Rais wa ajabu haijawahi tokea!
Na wewe kwa kuweza ku type hako ka sentensi unajiona unaijua WHO?? Wewe ni tasa tu kwenye ubongo kwa kukariri unayoambiwa na watu wenye chuki.Kama jambo hujui acha, hujui jinsi mashirika kama WHO ukisema kuna Ebola ni kiasi gani watafaidi na sie kama nchi kutengwa
Halafu mtu anakuanbia Jiwe ana PhD?? Vitu vya msingi tu hawezi kutumia common senseWenyewe walitegemea clinical symptoms na sidhani kama walielewa kuwa ukiwa na antibodies ina maana at one point ulipata exposure.... its more of scientific proof than political maana mwanasiasa yeye ataka sifa tu kuwa hakuna ila watoto wanaozaliwa na microcephaly wanaweza kuwepo... too sad
Mi mwenyewe sijausikia tena, ni kama ulichikichia kiainaKiukweli Zika haikuwepo na Mwele alisema uongo!
Alipiga "nduru kuhusu uchumi..." kinachonishangaza ni kwanini Dr. Mwere hakufunguliwa mashtaka ya uhujumu uchumi!!!NA BENNO NDULU YEYE NINI ALIFANYA???
Mbona mnadharilisha nchi as if elimu ya immunology mmesoma peke yenu..kuna taratibu za kutoa habari za msiba..lazima kuwe na kigugumizi hasa mnapojua mwathirika atopokea namna gani..sio kurupuka tu..No, please, serology ilionyesha kuwa kuna antibodies against Zika virus! Means kuna infection .. au positive serology had a history of exposure to Zika, sijui kama umesoma immunobiology
ahaa alisimamia NYEUPE ni NYEUPE sio nyeusi!ππ πAlipiga "nduru kuhusu uchumi..." kinachonishangaza ni kwanini Dr. Mwere hakufunguliwa mashtaka ya uhujumu uchumi!!!
Ukisikia mtu anasema Dar kipindupindu hakiwezi kwisha... ukasikia mtu mwingine anajibu Dar kipindupindu ni historia.. kuna mawili hapo "AIDHA MTU HUYO HAISHI DAR AU HAJAWAHI KUFIKA KARIAKOO... KAMA HAJAWAHI KUFIKA DAR AFADHALI MAANA ANATANGAZA HABARI ZA KUAMBIWA... LAKINI KAMA ANAISHI DAR NA AMEWAHI KUFIKA KARIAKOO BASI KUNA MAWILI... MITIRIRISHO YA "MAJI" YALE HUIONA KAWAIDA NA "TAKA" ZILE KWAKE SIO AJABU AMA ATAKUWA NA KALE KAUPOFU ILI UCHAFU ULE UWE SI WA KULETA KIPINDUPINDU!!!ahaa alisimamia NYEUPE ni NYEUPE sio nyeusi!ππ π
Mheshimiwa Rais kaongea kwa uchungu sana, nimemwelewa sana leo.
It's true, wonders shall never end. Katika miradi yote inayoendeshwa na serikali ya awamu ya tano watu wanaona matundu tu??πππ21st century mtu anapongeza matundu ya choo! Wonder shall never end.
PAMOJA MKUU WATU VIONGOZI WANAUCHUKIA UKWELI!Ukisikia mtu anasema Dar kipindupindu hakiwezi kwisha... ukasikia mtu mwingine anajibu Dar kipindupindu ni historia.. kuna mawili hapo "AIDHA MTU HUYO HAISHI DAR AU HAJAWAHI KUFIKA KARIAKOO... KAMA HAJAWAHI KUFIKA DAR AFADHALI MAANA ANATANGAZA HABARI ZA KUAMBIWA... LAKINI KAMA ANAISHI DAR NA AMEWAHI KUFIKA KARIAKOO BASI KUNA MAWILI... MITIRIRISHO YA "MAJI" YALE HUIONA KAWAIDA NA "TAKA" ZILE KWAKE SIO AJABU AMA ATAKUWA NA KALE KAUPOFU ILI UCHAFU ULE UWE SI WA KULETA KIPINDUPINDU!!!
Eti atamlaani, wewe ni nani, unamjua Mungu ww, mtajikuta mnajichumia laana wenyewe, mwenzio ni mpango wa Mungu kuongoza hii nchi. Alafu amlaani, mshalaaniwa nyinyi.Bado ana chuki na yule mtoto masikini! Mungu atamlaani Jiwe
Huo ugonjwa ulikuwepo lkn? What was de motive behind ya kutangaza ugonjwa upo ilhali haukuwepo, what was the agenda behindSijui dr Mwele alimkosea nn mh Raisi?! Dr Mwele atumwe na mabeberu ili iweje ? Kwa uchumi upi tulionao adi hao mabeberu waweke vita na Tanzania? [emoji27][emoji27]
Hisije ikawa Lemutuz alimfitinisha dada yake wa kufikia kwa Mh Raisi kwa kupitia Bashite
Lemutuz na watoto halali wa Malecela hawaelewani kwa Sababu ya tabia zake