Nani aliye "wakeup" mpaka sasa na si mwanachama wa UN?Ndio,UN ni mabeberu mkuu.You people must wake up,so much seems to be hidden from you.
.jinga ww, hapo ulipo una dhiki had makalioni, uyo Mwele Kwaní amefanya baya lipi??? Kamtusi mungu wenu
Hizo hesabu za akina Mange, una vyuo vingapi vya kutoa walimu 91000😀😀Walimu 4000 wanahitajika,waombaji 91000.
Inabidi tumshauri Mtukufu Raisi tujitoe huko Umoja wa Mataifa, kwanza hata wachangiaji wakubwa ni mabeberu wakiongozwa na Marekani...kwa hiyo Raisi anaituhumu UN-WHO ambao ndio waliomuajiri Dr.Mwele Malecela kuwa wanaipiga vita Tz?
Jitoeni basi....Unashangaa nini UN na WHO kutumiwa na wabaya? Kwa taarifa yako huko wamejaa majasusi ya kibeberu!
Kutoa hapana bali tunapambana tu!Jitoeni basi....
amekua mkandarasirais anajenga reli, mabwawa ya umeme, elimu bure bado unamuona wa ajabu?
Mkuu wewe ukipewa jukumu hilo utashindwa wakati kodi unakusanyarais anajenga reli, mabwawa ya umeme, elimu bure bado unamuona wa ajabu?
Faizafoxy with all due respect,nadhani hukunielewa.I am talking about people or individuals,not nations.Nani aliye "wakeup" mpaka sasa na si mwanachama wa UN?
Wenye kura ya veto ndiyo UN yenyewe na ni mabeberu kweli. Marekani walienda kumpiga Saddam ingawaje UN walikataa!!Umoja wa Mataifa ni mabeberu?
Mbona na sisi tumo?
Anajiona mwamba wakati ndege kanunua kwao,misaada anapata kwa Mabeberu, Hela anatengeneza kwao mabeberu, utakuwa huendi Ulaya unawatukana, eti anamuiga Nyerere.
Mwele kapata kazi majungu tena huyu tumpindue tu hana lolote. mimi naanza
Weka ushahidi kuwa "UN walikataa".Wenye kura ya veto ndiyo UN yenyewe na ni mabeberu kweli. Marekani walienda kumpiga Saddam ingawaje UN walikataa!!
Google!Weka ushahidi kuwa "UN walikataa".
Mwele kaajiriwa na UN au Merekani?
The burden is on you. If you can't substantiate what you preach you know what it means? Lie.Google!
Tatizo la stone ni double standards na kufikiri hiyo nafasi inamfanya awe na uwezo zaidi ya watanzania wengine. Nchi hii kuna watu wanafanya makosa kuliko hilo na hawaguswi, fanya wewe uone. Naikumbuka makala ile ya 2015 kwenye gazeti moja la kila wiki na nadhani kweli stone ana shida upstairs.Hivi Tanzania mamlaka huwa zinafanyaje kazi?
Mathalani kama kuna mlipuko wa ugonjwa mkubwa kama Zika, si kwamba kabla ya kujulikana kwa wananchi Rais inabidi afahamishwe na waziri husika?
Ilikuaje Mwele kutangaza tamko kubwa kama lile pasipo kuwa na backup ya waziri wake?
Mwite mamayo awe raisTuna Rais wa ajabu haijawahi tokea!
mama yako ni hawala yanguMwite mamayo awe rais