Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

Naomba nikae kimya kwenye hili kwa sababu nina maslahi kwa hawa ndugu wawili yaani Dada na jiwe
Naomba tu wasameheane na maisha yaendelee kukosea kupo kikubwa ni kusameheana na maisha yanasonga mbele
Hebu fungeni huo ukurasa
 
..kwa hiyo Raisi anaituhumu UN-WHO ambao ndio waliomuajiri Dr.Mwele Malecela kuwa wanaipiga vita Tz?
Inabidi tumshauri Mtukufu Raisi tujitoe huko Umoja wa Mataifa, kwanza hata wachangiaji wakubwa ni mabeberu wakiongozwa na Marekani.
 
Ukikosa busara na hekima unaonekana kituko mbele ya watu wenye uelewa,Mungu tuepushe na hawa viongozi wasio na busara maana nchi inaweza ikapata laana kubwa sana
 
Anajiona mwamba wakati ndege kanunua kwao,misaada anapata kwa Mabeberu, Hela anatengeneza kwao mabeberu, utakuwa huendi Ulaya unawatukana, eti anamuiga Nyerere.

Mwele kapata kazi majungu tena huyu tumpindue tu hana lolote. mimi naanza
 
Wenye kura ya veto ndiyo UN yenyewe na ni mabeberu kweli. Marekani walienda kumpiga Saddam ingawaje UN walikataa!!
Weka ushahidi kuwa "UN walikataa".

Mwele kaajiriwa na UN au Merekani?
 
Hivi Tanzania mamlaka huwa zinafanyaje kazi?

Mathalani kama kuna mlipuko wa ugonjwa mkubwa kama Zika, si kwamba kabla ya kujulikana kwa wananchi Rais inabidi afahamishwe na waziri husika?

Ilikuaje Mwele kutangaza tamko kubwa kama lile pasipo kuwa na backup ya waziri wake?
Tatizo la stone ni double standards na kufikiri hiyo nafasi inamfanya awe na uwezo zaidi ya watanzania wengine. Nchi hii kuna watu wanafanya makosa kuliko hilo na hawaguswi, fanya wewe uone. Naikumbuka makala ile ya 2015 kwenye gazeti moja la kila wiki na nadhani kweli stone ana shida upstairs.
 
Back
Top Bottom