Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

Hapo waziri wa kipindi icho alimtoa kafara uyo mkurugenzi katika kutangaza
 
Bado ana chuki na yule mtoto masikini! Mungu atamlaani Jiwe
Mwele siyo mtoto! Ni bibi yule. Kumbuka alihitimu Udsm 1986 akiwa na miaka 23 au 24, Leo bado ni mtoto?? Alihitimu mwaka mmoja na aliyerithi nafasi yake pale NIMRI profesa Mgaya!!
 
Hivi baada ya muda kidogo homa ya zika ililipuka nchini au haikulipuka? Nimesahau kidogo mwenye jibu tafadhari.
 
Yeye alitoa matokeo ya tafiti, sasa kuuliza ugonjwa upo au la , hilo swali lingejibiwa na tafiti.
Kumfukuza na wengine kumchukua, inaonesha alivyokuwa na umuhimu kwa Dunia na si Tanzania tu. Tanzania ilitupa dhahabu, wengine wenye shida nayo wakaiokota na sasa inawafaa
 
rais anajenga reli, mabwawa ya umeme, elimu bure bado unamuona wa ajabu?
Tunajua and yes tunajua wapigaji wengi wanapitia miradi ya ujenzi tu! alionja alipokuwa wizara ya ujenzi. Huyu ni mpigaji tu. ref. Vote 20 nani anajua kilicho ndani ya kodi yetu iliyopo vote 20? Hili ni jizi tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…