You got the pointHivi Tanzania mamlaka huwa zinafanyaje kazi?
Mathalani kama kuna mlipuko wa ugonjwa mkubwa kama Zika, si kwamba kabla ya kujulikana kwa wananchi Rais inabidi afahamishwe na waziri husika?
Ilikuaje Mwele kutangaza tamko kubwa kama lile pasipo kuwa na backup ya waziri wake?
Si umeona Chalamila angalau kafuata utaratibuKwanza aliruka utaratibu wa kawaida aliopaswa kumwarifu Katibu Mkuu wa Wizara ya afya kabla ya kutamka
Hujui kuwa hata baba mwehu anaweza kulaza watoto na njaa akatumia hela zote kujenga banda la mbwa?rais anajenga reli, mabwawa ya umeme, elimu bure bado unamuona wa ajabu?
Inaonekana uelewa wako ni mdogo sana katika masuala ya afya.Yule Mwele kwa hakika alitumiwa.
Ile ttheory inaitwaje?Akielezea ni kwa namna gani humpelekea kufanya kazi hadi usiku Rais Magufuli amesema katika vita hasa ya kiuchumi adui mbaya zaidi hutoka ndani kwa maana ndiye huwa kiungo wa maadui wa nje.
Ametolea mfano wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NIMR TANZANIA Bi Mwele Malecela alilazimika kumfuta kazi baada ya yeye kutoa taarifa za uongo kwamba wakati ule kulikuwa na ugonjwa wa Zika ilhali haikuwa kweli.'Je huo ugonjwa wa Zika ulionekana tena!?'alihoji Mheshimiwa Rais!
Amesema hali hiyo ya Mwele kuutangazia uongo Ulimwengu kuhusu uwepo wa zika Nchini Tanzania ilimkwaza sana na dhahili alionekana kutumiwa na washindani wa vita ya kiuchumi na Nchi yetu.
'Na ndiyo maana baada ya kumfuta kazi wiki moja baadae waliomtumia walimpa kibarua kingine'alisema Mheshimiwa Rais.
HaswaaaInaonekana uelewa wako ni mdogo sana katika masuala ya afya.
Dr. Mwele hakuwahi kusena kuwa Tanzania kulikuwa na ugonjwa wa zika bali alitoa taarifa ya matokeo ya tafiti ambapo ilionekana kwenye sample za zilizochukuliwa kwa baadhi ya watu kuna vimelea vya vijidudu vinavyosababisha ugonjwa wa zika.
Tusiwe wendawazimu wa kujifanya tunaelewa kila kitu. Na wala tusiwe wapumbavu wa kudanganywa na maneno ya wanasiasa laghai.
Kwa akili yako unaamini hakuambiwa?Hivi Tanzania mamlaka huwa zinafanyaje kazi?
Mathalani kama kuna mlipuko wa ugonjwa mkubwa kama Zika, si kwamba kabla ya kujulikana kwa wananchi Rais inabidi afahamishwe na waziri husika?
Ilikuaje Mwele kutangaza tamko kubwa kama lile pasipo kuwa na backup ya waziri wake?
Pole mgonjwa wa Zika wa mwele malecela mbona hukujitokeza kudai kuwa unaumwa kipindi kile.Sometimes it needs to be smart or intelligent enough to understand the intelligent person.
Pia,wakati mwingine inahitaji uwe expert kumuelewa expert.
Yaani badala ya kujisikia aibu kuwa yeye alimshusha SAA 7.30 usiku Mungu akampandisha chati SAA 4.00 asubuhi?Mzee ana chuki na kila mtu, kumfuta kazi kwake ndo alitegemea na Mungu afute ridhiki yake ama,yaan utadhani yeye ndo mtoa ridhiki
Unaujua ugonjwa wa Zika?tuanzie hapo maana nahisi unadhani ni kama Ebola au KipindupinduPole mgonjwa wa Zika wa mwele malecela mbona hukujitokeza kudai kuwa unaumwa kipindi kile.
Naye ana watoto wa kike, amashindwa kuwa na mapenzi na watoto!Mzee ana chuki na kila mtu, kumfuta kazi kwake ndo alitegemea na Mungu afute ridhiki yake ama,yaan utadhani yeye ndo mtoa ridhiki
Kwanza mawaziri hawa ni wa kuwaamini chini ya Magu? Upepo ukipinda waziri anakuruka peupeKwa nini Mwele hakufuata utaratibu wa kawaida wa kumuarifu Waziri wa afya kabla hajatoa lile tamko!?
Jiwe amesoma Chemistry lakini hajaelimika. Sikutegemea Mwanasayansi kama yeye aje na argument ya uharo namna hii.Akielezea ni kwa namna gani humpelekea kufanya kazi hadi usiku Rais Magufuli amesema katika vita hasa ya kiuchumi adui mbaya zaidi hutoka ndani kwa maana ndiye huwa kiungo wa maadui wa nje.
Ametolea mfano wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NIMR TANZANIA Bi Mwele Malecela alilazimika kumfuta kazi baada ya yeye kutoa taarifa za uongo kwamba wakati ule kulikuwa na ugonjwa wa Zika ilhali haikuwa kweli.'Je huo ugonjwa wa Zika ulionekana tena!?'alihoji Mheshimiwa Rais!
Amesema hali hiyo ya Mwele kuutangazia uongo Ulimwengu kuhusu uwepo wa zika Nchini Tanzania ilimkwaza sana na dhahili alionekana kutumiwa na washindani wa vita ya kiuchumi na Nchi yetu.
'Na ndiyo maana baada ya kumfuta kazi wiki moja baadae waliomtumia walimpa kibarua kingine'alisema Mheshimiwa Rais.
Wewe umejuaje kama watendaji wa wizara hawakuambiwa? NIMR is an autonomous institute ipo kwa mujibu wa sheria na siyo kwa mujibu wa kick za kisiasa.Kwa nini Mwele hakufuata utaratibu wa kawaida wa kumuarifu Waziri wa afya kabla hajatoa lile tamko!?
Ajabu sana! Kweli maneno ya Halima Mdee kuwa huyu jamaa afungwe speed governor ya mdomo...kwa hiyo Raisi anaituhumu UN-WHO ambao ndio waliomuajiri Dr.Mwele Malecela kuwa wanaipiga vita Tz?
Ni chuki tu hata leo akiulizwa jiwe hataleta sababu ya msingi kuhusu Dr MweleSijui dr Mwele alimkosea nn mh Raisi?! Dr Mwele atumwe na mabeberu ili iweje ? Kwa uchumi upi tulionao adi hao mabeberu waweke vita na Tanzania? [emoji27][emoji27]
Hisije ikawa Lemutuz alimfitinisha dada yake wa kufikia kwa Mh Raisi kwa kupitia Bashite
Lemutuz na watoto halali wa Malecela hawaelewani kwa Sababu ya tabia zake
Hakuna cha vita, ni chaka la kushughulikia na kuonea anao tofautiana nao.Hivi hii vita ya kiuchumi tunapambana na nani hasa?
Kama hata hao mliotangaza kwa mbwembwe wahujumu uchumi unaamrisha DPP awasamehe?
anapigana vita nanani huyo hata mabomba ya SINDANO anapewa msaada. atwambie kwenye bajeti kuna shiling ngapi za kuhudumia watoto (child protection)Akielezea ni kwa namna gani humpelekea kufanya kazi hadi usiku Rais Magufuli amesema katika vita hasa ya kiuchumi adui mbaya zaidi hutoka ndani kwa maana ndiye huwa kiungo wa maadui wa nje.