MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,063
- 6,405
Hata mie nashangaa.. hivi kwenye vita kuna kusameheana kweliHivi hii vita ya kiuchumi tunapambana na nani hasa?
Kama hata hao mliotangaza kwa mbwembwe wahujumu uchumi unaamrisha DPP awasamehe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mie nashangaa.. hivi kwenye vita kuna kusameheana kweliHivi hii vita ya kiuchumi tunapambana na nani hasa?
Kama hata hao mliotangaza kwa mbwembwe wahujumu uchumi unaamrisha DPP awasamehe?
Inasemekana ZIKA inafanana kabisa na DENGUE pia haina dawa kama dengue inawezekana kabisa tuliumwa na ZIKA tukaambiwa ni DENGUE.Kama ilikuepo sasa ilienda wap?
Hey!! Kumbe Tanzania kuna elimu ya hovyo iliyotolewa ktk miaka hii inayokaribia minne ya Magufuli? Hivi mnapimaje huo u hovyo, maana naamini walioanza std1 au form 1 2016 hata mitihani ya Taifa ya kumaliza elimu zao hawajafanya?
Au huu ujenzi wa shule, vyumba vya madarasa, maabara za Sayansi na Teknohama, matundu ya vyoo na ukarabati mkubwa kwa shule kongwe ndio u hovyo wa elimu? Kweli midomo kazi yake kuongea lakini basi na macho iwe kazi yake kuona🙊🙊🙊
Unashangaa nini UN na WHO kutumiwa na wabaya? Kwa taarifa yako huko wamejaa majasusi ya kibeberu!
Sijui dr Mwele alimkosea nn mh Raisi?! Dr Mwele atumwe na mabeberu ili iweje ? Kwa uchumi upi tulionao adi hao mabeberu waweke vita na Tanzania? 😰😰
Hisije ikawa Lemutuz alimfitinisha dada yake wa kufikia kwa Mh Raisi kwa kupitia Bashite
Lemutuz na watoto halali wa Malecela hawaelewani kwa Sababu ya tabia zake
Yule Mwele kwa hakika alitumiwa.
Sijui dr Mwele alimkosea nn mh Raisi?! Dr Mwele atumwe na mabeberu ili iweje ? Kwa uchumi upi tulionao adi hao mabeberu waweke vita na Tanzania? [emoji27][emoji27]
Hisije ikawa Lemutuz alimfitinisha dada yake wa kufikia kwa Mh Raisi kwa kupitia Bashite
Lemutuz na watoto halali wa Malecela hawaelewani kwa Sababu ya tabia zake
Unaongea vitu gani wewe?No, please, serology ilionyesha kuwa kuna antibodies against Zika virus! Means kuna infection .. au positive serology had a history of exposure to Zika, sijui kama umesoma immunobiology
Wacha awe daraja kwa kutukanwa na kudhalilishwa ili yanayopita yapite kwa maana wanaoshushwa iko siku watapanda.... Ndiposa watu wanataka binti wa Sas aje kutumikia nchi hii!!! Nchi ambayo wasomi wenye maarifa hawajawahi kupendwa wala kuthaminiwa, nchi ambayo wanasiasa na wajinga ndio wenye akili!!! Nchi ambayo ukweli ni uhaini na wakati mwingine utajiri ni ufisadi!! Nchi ambayo mafisadi waliotufikisha hapa wapowanadunda na wanaitwa waheshimiwa....Mwele Malecela, PhD
Dr. Mwele Malecela is a World Health Organization (WHO) Director in the Office of the Africa Regional Director and is the first woman to hold this position. She is also director of the Tanzania Lymphatic Filariasis Elimination Program.
Dr. Malecela holds a Bsc in zoology from the University of Dar es Salaam and an Msc and PhD in parasitology from the University of London (London School of Hygiene and Tropical Medicine). She specialized in filarial immunology, specifically on filarial immune evasion mechanisms.
Dr. Malecela has worked at the National Institute for Medical Research for 24 years, where she started off as a junior scientist. As director general, she has focused on institutional strengthening, research capacity building, and the translation of research into action, policy and practice. Dr. Malecela has been in the forefront of priority setting for health research activities in Tanzania where she facilitated the Tanzania National Health Research Priority Setting process in 1999 and revision of these priorities in 2005.
Dr. Malecela chairs the Medical Research Coordinating Committee (MRCC), which is the main body responsible for oversight of health research in the country. She has served on a number of international committees including the Technical Advisory Group of the Global Program to Eliminate Lymphatic Filariasis, the Mectizan Expert Committee and the advisory board of the Initiative on Public?Private Partnerships in Health (IPPPH).
Dr. Malecela is currently a member of the WHO Strategic and Technical Advisory Committee for Neglected Tropical Diseases and a member of the Medicine in Need Steering Committee on Innovation, Alliance and Translation Management (MITAM). Dr. Malecela is also on the International Advisory Board of Grand Challenges Canada.
She is an adjunct faculty member of the Public Health Sciences Institute of Morehouse College. Dr. Malecela was president of the Global Alliance to Eliminate Lymphatic Filariasis and chair of the representative contact group of the Alliance.
She has also been involved in a number of philanthropic organizations, chairing the Tanzania Chapter of the African Reflections Foundation and is on the advisory board of the Lake Tanganyika Floating Health Clinic.
TDr. Malecela is patron and Founder of the IMANI Group, which is a support group of people living with HIV/AIDS.
NA BENNO NDULU YEYE NINI ALIFANYA???Akielezea ni kwa namna gani humpelekea kufanya kazi hadi usiku Rais Magufuli amesema katika vita hasa ya kiuchumi adui mbaya zaidi hutoka ndani kwa maana ndiye huwa kiungo wa maadui wa nje.
Ametolea mfano wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NIMR TANZANIA Bi Mwele Malecela alilazimika kumfuta kazi baada ya yeye kutoa taarifa za uongo kwamba wakati ule kulikuwa na ugonjwa wa Zika ilhali haikuwa kweli.'Je huo ugonjwa wa Zika ulionekana tena!?'alihoji Mheshimiwa Rais!
Amesema hali hiyo ya Mwele kuutangazia uongo Ulimwengu kuhusu uwepo wa zika Nchini Tanzania ilimkwaza sana na dhahili alionekana kutumiwa na washindani wa vita ya kiuchumi na Nchi yetu.
'Na ndiyo maana baada ya kumfuta kazi wiki moja baadae waliomtumia walimpa kibarua kingine'alisema Mheshimiwa Rais.
Kwa hiyo unafuta kauli ya Rais muwekezaji ktk miradi isiyo na return, kutoa "Elimu ya hovyo kupata kutokea"?You have a point (na kusema ukweli SIWEZI kumlaumu moja kwa moja Magufuli kwa hili la elimu ya hovyo). But again there's a catch; anawekeza kwenye elimu ya hovyo aliyoikuta. Hajalazimishwa kuendelea na hiyo elimu ya hovyo lakini bado anaiendeleza na ikiwa inaharibiwa zaidi kwa sababu ya watendaji anaowateua YEYE MWENYEWE bila kushurutishwa na mtu yeyote - na hapangiwi remember? - kwa mantiki hiyo nani wa kubebeshwa mzigo huo?
Zika ilikuwepo?Sijui dr Mwele alimkosea nn mh Raisi?! Dr Mwele atumwe na mabeberu ili iweje ? Kwa uchumi upi tulionao adi hao mabeberu waweke vita na Tanzania? 😰😰
Hisije ikawa Lemutuz alimfitinisha dada yake wa kufikia kwa Mh Raisi kwa kupitia Bashite
Lemutuz na watoto halali wa Malecela hawaelewani kwa Sababu ya tabia zake