herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,155
- 4,744
Kinyume chake kabisa....rais ndiye anayepata sifa kuongea na Diamond...hata siku akiongea na Samatta yeye ndio anapata sifa kuongea na Samatta.Pamoja na Rais kuwapenda watu wake wote anaowaongoza lakini pia anao marafiki. Na 1wapo wa marafiki zake ni Diamond. So kumpigia simu na kumpa plomo siyo mbaya. Kumbuka aliyepata sifa hapo ni Diamond kuongea na Rais na siyo Rais kuongea na Diamond.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni mawazo yako tu ya kijuha mtu asipende muziki wa mtu? Unafikiri Rais naye hana muda wa kupumzika na ku enjoy baada ya kazi ngumu ya kuwahudumia nyie waropokaji hovyo mwacheni ale maisha naye kidogo kaeni na roh zenu za korosho
Wewe ni fala sana,huyu mpiga cm anajifanya ni mpenda watu wakati anaua watu mchana kweupe.Anajifanya anawapenda Watanzania wakati anawachezea akili...mnajifanya watu wa maana kumbe mnafanya siasa huku mkiwa mmezuia wapinzani kufanya kampeniHayo ni mawazo yako tu ya kijuha mtu asipende muziki wa mtu? Unafikiri Rais naye hana muda wa kupumzika na ku enjoy baada ya kazi ngumu ya kuwahudumia nyie waropokaji hovyo mwacheni ale maisha naye kidogo kaeni na roh zenu za korosho
Zito hana chake Kigoma Mjini. Barabara ya Nyakanazi hadi Kigoma Mjini inakuja. Sasa Mambo ni good kwa Wana Kigoma
Tofa
Zito hana chake Kigoma Mjini. Barabara ya Nyakanazi hadi Kigoma Mjini inakuja. Sasa Mambo ni good kwa Wana Kigoma
Tofa
Usimtukanie mtu Mama yake ambaye hausiki kwenye huu mjadala, simply kwasababu una mahaba na huyo zombie, kama wewe unampenda sana na hupendi kusikia akikosolewa basi nenda ukalale kwake ili ufuahie na kuridhisha nafsi yako, Mama wa mtu anaingiaje hapa ?, jiheshimu basi, Jukwaa hili lilianzishwa kwa ajili ya Great thinkers.So ulitaka ampigie mama yako ndio ungekaa kimya.
Siasa ni namna gani unatumia fursa kdg ulioipata.
Hata wewe umetumia fursa hapa JF kumuonea wivu.
Watanzania tunashida mahali.
Tofa