Rais Magufuli ampigia simu Diamond akiwa jukwaani, Diamond amuhakikishia ushindi 2020

Rais Magufuli ampigia simu Diamond akiwa jukwaani, Diamond amuhakikishia ushindi 2020

Waberoya,
Umaarufu wake upo wapi?
Ugumu wa maisha
Ukosefu wa ajira
Kutojari maslahi ya watumishi wa umma
Kuidharau katiba
Kuwa na maamuzi ya ajabu

Ukitaka kuona anavyogalagazwa aruhusu siasa safi uone saa mbili asubuhi tunafunga vituo vya kupigia kura

Yani kaifanya siasa iwe nyepesi haijawahi tokea na ngoja bunge livunjwe itafahamika ipi mbivu ipi mbichi kipindi hana mawaziri kipindi ambacho anategemea busara za wana ccm ndio utajua ooh kumbu uyu mbwebwe za bure tu

Na sasa hivi ni mwendo wakumvuruga tu vuruga bala wewe unafikilia kina bashiru kina polepopole wana ujanja upi wa chaguzi na kampeni mbele ya kinana, nape, makamba nk wana ujanja upi ngoja uone mzee anavyopotea

CCM tunaijua CCM na tunayo sisi nyie na meko mna sare tu na muhuri ya chama
 
Pamoja na Rais kuwapenda watu wake wote anaowaongoza lakini pia anao marafiki. Na 1wapo wa marafiki zake ni Diamond. So kumpigia simu na kumpa plomo siyo mbaya. Kumbuka aliyepata sifa hapo ni Diamond kuongea na Rais na siyo Rais kuongea na Diamond.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyepata 'promo' kwa majority ya waliohudhuria ile show ni Magu, wengi wa vijana waliohudhuria pale Diamond ni mtu wanayemkubali na kumpenda sana hivyo yoyote aliye na urafiki naye wanaweza pia kumchukulia kama rafiki yao pia, rais ametumia fursa lakini ni dirty trick kufanya kampeni kabla ya wakati na ndicho alichofanya pale.
Kutumia nafasi yake ya urais kufanya kampeni kabla ya wakati si sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umarufu wake upo wapi?
Ugumu wa maisha
Ukosefu wa ajira
Kutojari maslahi ya watumishi wa umma
Kuidharau katiba
Kuwa na maamuzi ya ajabu

Ukitaka kuona anavyogalagazwa aruhusu siasa safi uone saa mbili asubuhi tunafunga vituo vya kupigia kura

Yani kaifanya siasa iwe nyepesi haijawahi tokea na ngoja bunge livunjwe itafahamika ipi mbivu ipi mbichi kipindi hana mawaziri kipindi ambacho anategemea busara za wana ccm ndio utajua ooh kumbu uyu mbwebwe za bure tu

Na sasa hivi ni mwendo wakumvuruga tu vuruga bala wewe unafikilia kina bashiru kina polepopole wana ujanja upi wa chaguzi na kampeni mbele ya kinana, nape, makamba nk wana ujanja upi ngoja uone mzee anavyopotea

CCM tunaijua CCM na tunayo sisi nyie na meko mna sare tu na muhuri ya chama

Kama unajua ana uwezo huo wote, anamuogopa.nani?
 
Waberoya, Very stupid analysis, unajitoa ufahamu au ndiyo unashindwa kutumia akili japo kidogo zilizopo(kama kweli zipo) kwenye fuvu lako?
Rais hakubaliki kama unavyojaribu kupotosha, ile kuwa tyrant haunts him day and night ndiyo maana kwenye show za burudani anaongelea mambo ya kujenga barabara. Pure campaign.
Ametumia fursa kulazimisha kukubalika lakini kuanza kampeni kabla ya wakati,kampeni za usiku wa manane kisa tu kuna mkusanyiko wa watu si sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very stupid analysis, unajitoa ufahamu au ndiyo unashindwa kutumia akili japo kidogo zilizopo(kama kweli zipo) kwenye fuvu lako?
Rais hakubaliki kama unavyojaribu kupotosha, ile kuwa tyrant haunts him day and night ndiyo maana kwenye show za burudani anaongelea mambo ya kujenga barabara. Pure campaign.
Ametumia fursa kulazimisha kukubalika lakini kuanza kampeni kabla ya wakati,kampeni za usiku wa manane kisa tu kuna mkusanyiko wa watu si sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kampeni atashindana na Nani?, Be honest
 
Aliyepata 'promo' kwa majority ya waliohudhuria ile show ni Magu, wengi wa vijana waliohudhuria pale Diamond ni mtu wanayemkubali na kumpenda sana hivyo yoyote aliye na urafiki naye wanaweza pia kumchukulia kama rafiki yao pia, rais ametumia fursa lakini ni dirty trick kufanya kampeni kabla ya wakati na ndicho alichofanya pale.
Kutumia nafasi yake ya urais kufanya kampeni kabla ya wakati si sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha akili ndogo

Kila afanyacho rais utaSema hayo

Anashindana na Nani?
 
Unaposema Rais ni mtu asiyekubalika unatumia vigezo gani? Ni data zenye msingi upi wa kitakwimu?.

Kumbuka rais ni mwanasiasa licha ya kuwa na mamlaka makubwa.

Obama na binti zake huwapakulia watu chakula kwenye shughuli za kijamii haiwi ajabu kwa JPM kumpigia simu Diamond jukwaani.

Rais anawapigia simu clouds asubuhi, anawapigia simu mawaziri akiwa ziarani cha ajabu ni kipi kumpigia Diamond.

Ondokaneni na nongwa za 2019 huu ni mwaka 2020.
 
Hii ndo 2020 yenyewe na kampeni lazima zianze kiaina!


Sent from my iPhone using JamiiForums
Rika la Vijana ndilo lenye wapiga kura wengi, na strategy ni kuwapata hao wapiga kura! Kina Domo wapo kazini na usishangae hayo matamasha ya "bure" yatakavyotamalaki katika mwaka huu wa uchaguzi.
 
Kampeni atashindana na Nani?, Be honest
Low self-esteem ndilo tatizo linamkabili na si suala la mtu wa kushindana naye, pale mtu anapotamani kuwa anakubalika kwa wingi lakini anajua tabia na matendo yake vinagharimu uwezekano huo ndipo takataka hizi za 'mapromo' ya usiku vijana wakiwa kwenye burudani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana mh rais wewe ni rais wa wote


State agent

Sent using Jamii Forums mobile app
raisi wa wote hapori korosho za wakulima
raisi wa wote hatukani wahanga wa tetemeko yeye huwafariji
raisi wa wote hauwi na kufungulia kesi za uongo wakosoaji wake
raisi wa wote wala hatukani watumishi wa umma awapo jukwaani bali huwaongezea mishahara na kulipa stahiki zao
raisi wa wote habomolei watu nyumba bila kuwaelekeza waende wapi
raisi wa wote haiti watengengeneza ndege chumbani pake na kuagiza ndege bali hutumia sheria ya manunuzi ya wote kuagiza ndege za wote.
hatukani wanafunzi wanaopata mimba kwa umasikini uliotopea bali hutafuta suluhisho
 
Low self-esteem ndilo tatizo linamkabili na si suala la mtu wa kushindana naye, pale mtu anapotamani kuwa anakubalika kwa wingi lakini anajua tabia na matendo yake vinagharimu uwezekano huo ndipo takataka hizi za 'mapromo' ya usiku vijana wakiwa kwenye burudani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kumbe unaishia kwa hisia?
 
Back
Top Bottom