Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,157
- 10,829
Umejitahidi Sana hata kuandika hivi....una roho ngumu
Wenzako wanakimbia
Diamond Tangu 2010 yupo extremely CCM mbna hajaporomoka, serikali ipo nyuma ya mafanikio ya jamaaDiamond na Harmonize wajichunge sana na siasa za CCM...
Siasa inaweza kukuporomosha kwa sekunde na jamaa wanakusepa unabakia mdomo wazi..wakumlaumu humwoni.
Unataka kusema kwamba na ile 1.5T yumo?Diamond Tangu 2010 yupo extremely CCM mbna hajaporomoka, serikali ipo nyuma ya mafanikio ya jamaa
Sijasema hvo...!!Unataka kusema kwamba na ile 1.5T yumo?
Tatizo bongo kumejaa wajinga na wengi ni wa kaliba yakoHayo ni mawazo yako tu ya kijuha mtu asipende muziki wa mtu? Unafikiri Rais naye hana muda wa kupumzika na ku enjoy baada ya kazi ngumu ya kuwahudumia nyie waropokaji hovyo mwacheni ale maisha naye kidogo kaeni na roh zenu za korosho
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] plomo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Pamoja na Rais kuwapenda watu wake wote anaowaongoza lakini pia anao marafiki. Na 1wapo wa marafiki zake ni Diamond. So kumpigia simu na kumpa plomo siyo mbaya. Kumbuka aliyepata sifa hapo ni Diamond kuongea na Rais na siyo Rais kuongea na Diamond.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nyakanazi ipo kigoma mjini ? Hiyo barabara ipo kwenye majimbo ya ccm ...Zito hana chake Kigoma Mjini. Barabara ya Nyakanazi hadi Kigoma Mjini inakuja. Sasa Mambo ni good kwa Wana Kigoma
Tofa
Hayo ni mawazo yako tu ya kijuha mtu asipende muziki wa mtu? Unafikiri Rais naye hana muda wa kupumzika na ku enjoy baada ya kazi ngumu ya kuwahudumia nyie waropokaji hovyo mwacheni ale maisha naye kidogo kaeni na roh zenu za korosho
Zito hana chake Kigoma Mjini. Barabara ya Nyakanazi hadi Kigoma Mjini inakuja. Sasa Mambo ni good kwa Wana Kigoma
Tofa
Nafikiri mamaako anamjua vizuri zaidi na unamuonaga akipigiwa simu na huyo bwana ... Hivyo unaona wivu wa kupoteza babaSo ulitaka ampigie mama yako ndio ungekaa kimya.
Siasa ni namna gani unatumia fursa kdg ulioipata.
Hata wewe umetumia fursa hapa JF kumuonea wivu.
Watanzania tunashida mahali.
Tofa
Babu seya ni wewe kweli unashusha hesabu hii kuwa Magu hana 50%Hiyo ni hadaa tu Magufuli anajaribu kuwa hadaa wasanii kwamba yuko pamoja nao ili wampe back up uchaguzi ujao ambao utakua mgum sana kwake kwani umaarufu wake unaporomoka kwa mwendo kasi hivi tunavyoongea upo chini ya 50%
Penye KINYESI, NZI hamukosekani!So ulitaka ampigie mama yako ndio ungekaa kimya.
Siasa ni namna gani unatumia fursa kdg ulioipata.
Hata wewe umetumia fursa hapa JF kumuonea wivu.
Watanzania tunashida mahali.
Tofa