Tulia uandike kwa ufasaha! Au hapo ndio mwisho wa uwezo wako?Wewe unamatope kwenye hakiri zako! Ulitaka ampigie mkeo! Diamond nimtanzania km wewe ambae nae amepata fulsa za kuwa rafiki wa jpm, hii nikama nyie mlivyo na bahati yakuwa karibu na hao vibaraka wenu akina roma nahao wengine
Kuna sifa gani kuongea na dudu kama hili? Ona bichwa lake kama chungu kilichokosa mfinyanzi bora.Pamoja na Rais kuwapenda watu wake wote anaowaongoza lakini pia anao marafiki. Na 1wapo wa marafiki zake ni Diamond. So kumpigia simu na kumpa plomo siyo mbaya. Kumbuka aliyepata sifa hapo ni Diamond kuongea na Rais na siyo Rais kuongea na Diamond.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama anapendwa sasa ni kwa nini anawaogopa wapinzani kiasi cha kuwazuia wasifanye siasa?Kama hapendwi nilisikia mashabiki wakiita magu magu
HahahahaaKuna sifa gani kuongea na dudu kama hili? Ona bichwa lake kama chungu kilichokosa mfinyanzi bora.
HahahaaaaSo ulitaka ampigie mama yako ndio ungekaa kimya.
Siasa ni namna gani unatumia fursa kdg ulioipata.
Hata wewe umetumia fursa hapa JF kumuonea wivu.
Watanzania tunashida mahali.
Tofa
Wewe kila anayefikiria tofauti unamwita chadema? kwann huwaiti cuf wala nccr wala kile chama cha mgonjwa wa kisukari?CHADEMA mna nongwa sasa atapigiwa simu Roma akiwa jukwaani ili mridhike
Sent using Jamii Forums mobile app
nilivyosikia ulemwimbo siku ya kwanza nikajua huyo aliyeimba kishaula tayari YAANI UMSIFIE MSUKUMA VILE MAWEEEEKwahiyo Magu ana shobo na Diamond Platnumz? Kama hamuamini sikilizeni ule wimbo wa "Baba Lao". Sifa zote za mwanzo ni kwa Diamond, Magu anatajwa mwishoni kabisa.
Ndio mnaongoza kwa hasira humu jukwaanihovyo wewe kila anayefikiria tofauti unamwita chadema? kwann huwaiti cuf wala nccr wala kile chama cha mgonjwa wa kisukari?
Sikiliza vizuri huo wimbo. Sifa zote za mwanzo ni kwake mwenyewe, Magu anakuja baadaye.nilivyosikia ulemwimbo siku ya kwanza nikajua huyo aliyeimba kishaula tayari YAANI UMSIFIE MSUKUMA VILE MAWEEEE
Angepiga na tandahimba ingependeza kwerikweriZito hana chake Kigoma Mjini. Barabara ya Nyakanazi hadi Kigoma Mjini inakuja. Sasa Mambo ni good kwa Wana Kigoma
Tofa
Zito hana chake Kigoma Mjini. Barabara ya Nyakanazi hadi Kigoma Mjini inakuja. Sasa Mambo ni good kwa Wana Kigoma
Tofa
Hayo ni mawazo yako tu ya kijuha mtu asipende muziki wa mtu? Unafikiri Rais naye hana muda wa kupumzika na ku enjoy baada ya kazi ngumu ya kuwahudumia nyie waropokaji hovyo mwacheni ale maisha naye kidogo kaeni na roh zenu za korosho
Unajiumiza moyo wako mwishowe utapata kisukariUkifuatilia sana utagundua kwamba bwana mkubwa JPM anahisi kutokubalika kwa watanzania walio wengi. Pia ni kama mtu anayeomba huruma ya wapiga kura
Sefu huyo si kila siku anapiga kampeni mpaka ma RPC wameng'okaSEIF ALIVYOSEMA NAELEKEA KUSHINDA, JECHA AKAFUTA UCHAGUZI
??Rais alijuaje kwamba angepigiwa simu muda ule?