REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,283
- 11,558
Aliyepata 'promo' kwa majority ya waliohudhuria ile show ni Magu, wengi wa vijana waliohudhuria pale Diamond ni mtu wanayemkubali na kumpenda sana hivyo yoyote aliye na urafiki naye wanaweza pia kumchukulia kama rafiki yao pia, rais ametumia fursa lakini ni dirty trick kufanya kampeni kabla ya wakati na ndicho alichofanya pale.Pamoja na Rais kuwapenda watu wake wote anaowaongoza lakini pia anao marafiki. Na 1wapo wa marafiki zake ni Diamond. So kumpigia simu na kumpa plomo siyo mbaya. Kumbuka aliyepata sifa hapo ni Diamond kuongea na Rais na siyo Rais kuongea na Diamond.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umarufu wake upo wapi?
Ugumu wa maisha
Ukosefu wa ajira
Kutojari maslahi ya watumishi wa umma
Kuidharau katiba
Kuwa na maamuzi ya ajabu
Ukitaka kuona anavyogalagazwa aruhusu siasa safi uone saa mbili asubuhi tunafunga vituo vya kupigia kura
Yani kaifanya siasa iwe nyepesi haijawahi tokea na ngoja bunge livunjwe itafahamika ipi mbivu ipi mbichi kipindi hana mawaziri kipindi ambacho anategemea busara za wana ccm ndio utajua ooh kumbu uyu mbwebwe za bure tu
Na sasa hivi ni mwendo wakumvuruga tu vuruga bala wewe unafikilia kina bashiru kina polepopole wana ujanja upi wa chaguzi na kampeni mbele ya kinana, nape, makamba nk wana ujanja upi ngoja uone mzee anavyopotea
CCM tunaijua CCM na tunayo sisi nyie na meko mna sare tu na muhuri ya chama
WatanzaniaKama unajua ana uwezo huo wote, anamuogopa.nani?
Very stupid analysis, unajitoa ufahamu au ndiyo unashindwa kutumia akili japo kidogo zilizopo(kama kweli zipo) kwenye fuvu lako?
Rais hakubaliki kama unavyojaribu kupotosha, ile kuwa tyrant haunts him day and night ndiyo maana kwenye show za burudani anaongelea mambo ya kujenga barabara. Pure campaign.
Ametumia fursa kulazimisha kukubalika lakini kuanza kampeni kabla ya wakati,kampeni za usiku wa manane kisa tu kuna mkusanyiko wa watu si sahihi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyepata 'promo' kwa majority ya waliohudhuria ile show ni Magu, wengi wa vijana waliohudhuria pale Diamond ni mtu wanayemkubali na kumpenda sana hivyo yoyote aliye na urafiki naye wanaweza pia kumchukulia kama rafiki yao pia, rais ametumia fursa lakini ni dirty trick kufanya kampeni kabla ya wakati na ndicho alichofanya pale.
Kutumia nafasi yake ya urais kufanya kampeni kabla ya wakati si sahihi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wanashinda mbele ya keyboard kinachoendelea huko mikoani hawakijui.Kampeni atashindana na Nani?, Be honest
Je ulichukia jinsi watu walivyoshangilia?Ilikuwa ni burudani kama simu wangepigiana private sio public.Watu walifata show awakufata kusikiliza Simu.Labda tu kama nia ilikuwa ni ufunguzi wa kampeni kupitia show
Je ulichukia jinsi watu walivyoshangilia?
Viva #Bulldozer [emoji1241][emoji818]
Sent using Jamii Forums mobile app
Rika la Vijana ndilo lenye wapiga kura wengi, na strategy ni kuwapata hao wapiga kura! Kina Domo wapo kazini na usishangae hayo matamasha ya "bure" yatakavyotamalaki katika mwaka huu wa uchaguzi.Hii ndo 2020 yenyewe na kampeni lazima zianze kiaina!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna mtu alipokonywa passportHiyo takwimu umeokota uvungu gani ?
Chuki ukaa moyoni mwa mtu mjingaJe ulichukia jinsi watu walivyoshangilia?
Viva #Bulldozer [emoji1241][emoji818]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hiyo barabara inamuhusu nini zitto jimbo lake lami hadi chooniZito hana chake Kigoma Mjini. Barabara ya Nyakanazi hadi Kigoma Mjini inakuja. Sasa Mambo ni good kwa Wana Kigoma
Tofa
Anashindana na stupidity ndani ya 'akili' yake,au hilo haulifahamu.Acha akili ndogo
Kila afanyacho rais utaSema hayo
Anashindana na Nani?
Low self-esteem ndilo tatizo linamkabili na si suala la mtu wa kushindana naye, pale mtu anapotamani kuwa anakubalika kwa wingi lakini anajua tabia na matendo yake vinagharimu uwezekano huo ndipo takataka hizi za 'mapromo' ya usiku vijana wakiwa kwenye burudani.Kampeni atashindana na Nani?, Be honest
raisi wa wote hapori korosho za wakulima
huna hoja unalipwa buku 7 za wanaccm ili utukane watu hovyoooooWeka namba ya simu ya mamako awe anampigia Wivu wa kimalaya huo pumbavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Low self-esteem ndilo tatizo linamkabili na si suala la mtu wa kushindana naye, pale mtu anapotamani kuwa anakubalika kwa wingi lakini anajua tabia na matendo yake vinagharimu uwezekano huo ndipo takataka hizi za 'mapromo' ya usiku vijana wakiwa kwenye burudani.
Sent using Jamii Forums mobile app