Kichefu chefu!View attachment 1623842
Namnukuu
On behalf of the Government and the people of Tanzania, I congratulate President-elect
@JoeBiden
and Vice President-elect
@KamalaHarris
on your victory in the US General Election. Be assured that Tanzania will continue to cherish the relationship that exist between our countries...
Ndiyo maana jamaa wana maendeleo ya kweli na siyo maigizoNdiyo ujue tume yao iko huru . Ingekuwa hapa jambo Rais halipendi na kulituhumu. IngekuwaJe ??!!!.
Tz inahitaji tume huru
YapKwasababu hiyo tume haiundwi na Rais kama huko kwenu
Mkuu Tanzania uchaguzi haukufanyika, zile kura za wananchi hazikuhesabiwa ila walihesabu kura fekiKwa hiyo unataka kusema Tundu Lissu alishinda hapa Tanzania? We unaota nini!
This is too low, grow up dudeHawa jamaa wa Ufipa walishaghilimisha bongo zao kitambo; wanajua Mzungu ndiye perfect super-human. Poleee
Magufuli ametumia nguvu nyingi kuandika kiingereza [emoji23][emoji23][emoji23]
Hio tweet sio yake, itakuwa kabudi kamuandikia
Unafiki mkubwa! Unafurahia ushindi wa mwenzako kutokana na uchaguzi uliofanyika, kwako hutaki kufanya uchaguzi, unafanya maigizo kuhalalisha udikteta.
Kushinda kwenye uchaguzi kuna raha yake maana unakuwa na uhakika kuwa wananchi wengi wanapenda uwe kiongozi wao.
Hata akijipendekeza, kibano cha wizi wa kura na ukiukaji wa haki za raia, kipo pale p
Hata Trump anadai hivyo lakini hana ushahidi kama wewe unavyodai.Mkuu Tanzania uchaguzi haukufanyika, zile kura za wananchi hazikuhesabiwa ila walihesabu kura feki
Kutopatikana kwa ushahidi haina maana ushahidi haupoHata Trump anadai hivyo lakini hana ushahidi kama wewe unavyodai.
Mzee hapa hakutakiwa mpongeza nakubaliana nawe,Aende kujifunza wanavyofanya uchaguzi wao, sio kupongeza tu.
Kule hawatumii mabegi meusi.
On behalf of the Government and the people of Tanzania, I congratulate President-elect (ninakupongezeni Rais-mteule) @JoeBiden and Vice President-elect (na Makamu Rais-mteule) @KamalaHarris for your victory (kwa ajili ya ushindi wenu) in the US General Election. Be assured that Tanzania will continue to cherish the relationship that exists between our countries...Hicho kiingereza hakijakaa vizuri. Mfano, kuchanganya second and third person - anawataja kwa majina kama vile anaongea na watu wengine kuhusu wao halafu anawa-refer kwa second person possessive adjective.
Pia fomu ya kitenzi 'exist' sio sawa kwa sababu 'relationship' ambayo ni subject ni singular. Ilitakiwa kuwa 'exists'.
Sky Eclat Mshana Jr
[emoji120]View attachment 1623842
Namnukuu
On behalf of the Government and the people of Tanzania, I congratulate President-elect
@JoeBiden
and Vice President-elect
@KamalaHarris
on your victory in the US General Election. Be assured that Tanzania will continue to cherish the relationship that exist between our countries...
Acha uboya wewe aliyeshinda kwa kura feki ni nani??Huko hatujaona mabegi ya kura feki wala mawakala wa upinzani wakitolewa nje.
Pia, huyo sio raisi mteule kwa kura feki.
Na huko tunaona wenzetu wana haki ya kwenda mahakamani kupinga matokeo.
Happy unaowasifia wanaenda mahakamani kufanya Nini Sasa Kama kila kitu kipo vizuri kimifumoHuko hatujaona mabegi ya kura feki wala mawakala wa upinzani wakitolewa nje.
Pia, huyo sio raisi mteule kwa kura feki.
Na huko tunaona wenzetu wana haki ya kwenda mahakamani kupinga matokeo.
Mbona wao Wana malalamiko mengi kuliko kwetu..inakuwa vipi mtu Kama Trmp analalamika kaibiwa kura..Aende kujifunza wanavyofanya uchaguzi wao, sio kupongeza tu.
Kule hawatumii mabegi meusi.
Jomba Kama Kuna wizi wa kura mbona hampeleki ushahidi mahakamani...mahakama hazina watu zinasubiri..mbona..wote mnajipanga kukimbia nchi eti mmetishiwa kuuwawa..vioja hivi...mbona wengine wapo wanaendelea kutanua mjini, kamanda Mbowe Tena mwenyekiti, haya ACT mbona wapo ,vyama vingine zaidi ya kuminywa wapo wanaishi kwa amani...jamaa wametengeneza maigizo kila mtu anawashangaa..eti Lemaa ana Nini yule tapeli tu wa magari,. Hata Nyalandu sijui naye kajiingiza na maigizo yao,. Lissuu ndio mchovu kabisaaa...Hana loloteUnafiki mkubwa! Unafurahia ushindi wa mwenzako kutokana na uchaguzi uliofanyika, kwako hutaki kufanya uchaguzi, unafanya maigizo kuhalalisha udikteta.
Kushinda kwenye uchaguzi kuna raha yake maana unakuwa na uhakika kuwa wananchi wengi wanapenda uwe kiongozi wao.
Hata akijipendekeza, kibano cha wizi wa kura na ukiukaji wa haki za raia, kipo pale pale.